stupid.Hili ndilo tatizo la kulala kwenye kachumba kamoja na kila kitu humo kama store!.
Hivi unaakili timamu kweli?,Hao members maarufu ni mabwana zako?au na wewe unataka umaarufu kupitia mimi!.
Maisha yangu wewe na ukoo wako hamuwezi kufikia mbugira wewe!
Nikome Sorongai wewe,mimi si levo zako
Tafuta pesa zako mwenyewe ili usije ukanyanyasika utakapo olewa,maana bila pesa utakuwa na hasira sana kwa watu usiowafahamu na mumeo hatokufaidi!stupid.
Sheikh tupeane vigezo vya kualikana basi. Ili na sisi wengine siku moja tupate huo mwaliko.Nipo hapa ukumbini nafuatilia kwa karibu sana hii awesome event.
Niwashukuru JamiiForums Moderator Maxence Melo Invisible na team nzima kwa kunipa mwaliko kushiriki tukio hili adhimu na muhimu kwa jamii yetu.
Eneo la misosi lilitendewa haki mia mia kama asemavyo jamaa yangu figganigga
Ahsanteni kwa zawadi ya kumbukumbu nzuri kuwa nilikuja
View attachment 2775089
Unafanyaje kushiriki? Je kunahitajika kufichua majina halisi?
Not Mgagamo ni Kihesa Mgagao kule Kilolo Iringa Mkuu.Wapigania uhuru wengi wa bondenii walikaa Mazimbu, Dakawa, Kongwa na Mgagamo
Huyo mbona kama mganga mfawidhi wa JF
Hayo ni maoni ya kusaidia taifa kwenda mbeleHivi hayo maandiko ya washindi huwa yanakuwa mali ya nani ? Huwa yanasajiliwa popote ili kulinda haki za mwandishi ?
Aisee ina maana kina Mpwayungu hawajaambulia hata moja!!??Amechukua nafasi ya 2 na ya 1
Kwahiyo maoni yakisaidia taifa kwenda mbele ndiyo hayasajiliwi ?Hayo ni maoni ya kusaidia taifa kwenda mbele
Asante MkuuNot Mgagamo ni Kihesa Mgagao kule Kilolo Iringa Mkuu.
Hayasajiliwi hayana vigezoKwahiyo maoni yakisaidia taifa kwenda mbele ndiyo hayasajiliwi ?
Hivyo vigezo vimeandikwa wapi ?Hayasajiliwi hayana vigezo
Rejea sheria ya kulinda ubunifu/ Intelectuual Property and Security LawHivyo vigezo vimeandikwa wapi ?