Athanas Myonga aibuka Mshindi wa kwanza wa Shindano la Stories of Change 2023

Athanas Myonga aibuka Mshindi wa kwanza wa Shindano la Stories of Change 2023

Alafu wote Wakristo hakuna muumiani hata mmoja liyeshinda nyie vitu kama hivyo hamuwezi andika. Mnachojua ni kuandika threads za kuuponda Ukristo 😀😃😄😁😆😅 au mods ni wadini wamependelea upande wa pili.
Acha udini mkuu
 
Ningeomba uongozi na team nzima iliyohusika katika mchakato mzima wa shindano hili mtoe list hata ya top 50 ya makala bora katika shindano hilo.

Hii itasaidia kutoa taswira kwa waandishi ni mahali gani walipo kutokana na makala zao ili kujua ni mahali gani wajirekebishe au kuboresha ili wakati ujao watoe makala bora zaidi katika siku za usoni.

Lakini pia kama ingefaa mngetoa vigezo vya jumla vilivyotumika kuwapata washindi.

Mwisho kabisa tena kwa umuhimu hongera kwa uongozi na team nzima ya JamiiForums kwa fursa wanazoendelea kutoa kwa watumiaji wake.

Lakini pia pongezi za dhati kwa washindi wote walioibuka kidedea katika shindano hilo.
 
msimu huu haukuhusisha akina cocast watu wa story za macelebrity au si tuzo hizi nimechanganya
 
Bro, sikuwa namaanisha ila nilikuwa namtania tu jamaa yangu. Mbona limeshaisha hilo?
Nimeona mkuu mshayamaliza.
Ujue sisi wengine huwa tunasoma comment after comment.
So kipindi niko juu juu huko ndo nikakutana na hiyo comment ila nilivyoshuka chini ndo nikaona mlivyoyamaliza
 
Back
Top Bottom