Athanas Myonga aibuka Mshindi wa kwanza wa Shindano la Stories of Change 2023

Basi acha 🙏.

Nilitaka link niitafute mwenyewe kimya kimya.

Naheshimu faragha ya mtu. Kuweka picha ya mtu hapa jukwaani bila ridhaa yake, si ustaarabu, si heshima, si adabu.
Mbona yako hiyo hapo ipo mtandaoni tena wamesema Bi. Kasie toka Iringa na link sikupi. We sema unataka ya nani na uache blah blah maana niliwapiga wote jana.
 
Shukrani kubwa zifike kwa Muanzilishi wa JF Mr. Maxence (always humble), kongole nyingi kwako na [emoji253] maua yako teleee [emoji4].

Wasalaaam, Bi. Kasinde [emoji846].[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safi sana Imekwenda vzr mno

Ingawa siku alikwa Ila iko Safi

Nawapongeza washindi wote na washiriki wote kwa pamoja
 
Li genta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…