Atheism sio kuamini Hakuna Mungu, ila ni kutoamini kuwa kuna Mungu

Wanaoamini Mungu mmoja, Nyani, Mizimu na wasiyoamini Mungu awe Mungu mmoja, Nyani, Mizimu au mbwa wote wana nafasi katika dunia hii. Kwahiyo hizo imani zako za kutoamini uwepo wa Mungu baki nazo mwemyewe maana hata hao wanaoamini ng’ombe ni Mungu hawapigi promo imani zao kwa namna yoyote. Zitabaki imani tu na zote ziheshimiwe.
 


Can you prove the existance of pyramids in Egypt if yes then who do you think constructed them and how??--- this counter question is a base before coming to your question in which you need a proof for God existence.
 
Ah wapi..... Hapo Kwa mm hunipati. Hata kama ungekuwa mwezin kipindi hiko uwezekeno wa kutuona sisi huku duniani usingekuwepo
 
Huyu alirogwa tu.. sio bure
 
Can you prove the existance of pyramids in Egypt
Yes, I can show you pictures,videos and if you are desperate enough to pay for a plane ticket, I can take you there
if yes then who do you think constructed them and how??
They exist, but Im not sure who constructed them or how, just as I am pretty sure my great great great great great grandfather existed but I don’t know who he was or where he lived.

But if you tie my hands at gunpoint I’d say I beleive they were created by ancient civilizations using a lost ancient technology (because technology can be lost through time)
Why? Because it is a theory with the least assumptions.
But I can’t say I’m sure of that either as I have no evidence and I could be wrong.
 


you've acknowledged the presence of the pyramids yet you are not sure whether they were built and what technologies were then used in their construction although you doubtfully mentioned the ancient Egyptians to be those who built them, I can say that you have intentionally anticipated and therefore raised the doubts only to stealthly defend yourself from the arguments I'm about to raise in accordance to your answer.

Any way, you need to be truthful, consistent and sure in this case as to who do you think constructed the pyramids so that we can go on otherwise we are stuck right here.
 
SHARKS DON'T KNOW THAT CAMELS EXIST.


Atheists are like sharks 🦈who don't know that camels exist, while indeed camels🐪 do exist.
 
Acha uswahili una uhakika gani kuwa sifa tulizofundishwa shuleni kuhusu mwezi ndo hzo pekee? Ndiyo maana tafiti hufanywa kila siku,, usimbeze jamaa ijapokuwa hatuna uhakika na story take ww ni binadamu kama mimi na hujui chochote kuhusu ulimwengu
NB: USIJIFANYE MJUAJI SANA, Na pia ni wachache sana wanaochunguza vitu MBALIMBALI, swali kwako,, Je, ni lini umelichunguza mwezi?
 
Sasa nikupe ushauri kuanzia Leo Fanya kile kilichondani ya uwezo wako maana hata hao waliokuambia wamefika mwezini,Mara wanajua kuna magimbi mengi kama viazi vya mbeya, huna uhakika kwasababu haujafika Wewe, Wewe na wahindu na hao wakristo tofauti yenu ni ndogo sana yaani huyu anaenda mashariki kufuata mahindi na huyu anaenda kusini kufuata mahindi,

Mimi kama kweli ingekua Mimi ndo huyo Mungu ningewaacha muendelee kuhangaika hivohivo ili kunijua na sitokaa nije nijue mtanifanyaje dadek zenu.
 
Wewe mwenyewe na ukoo wenu mnathibitisha kuwa Mungu yupo, kwasababu ninyi ni kazi yake,
Wewe unataka uthibitishiwe vipi???

Kwani nilzima umuone? Kama yeye hataki kuonwa nawewe kwanini umlazimishe? Fanya yako achana nayeye , ila wewe kutouona upepo haimaanishi kuwa upepo haupo kisa unataka uone na kuushika,
 
Shida yako naona ni Jina tu la Mungu ,ok basi tuseme huo ulimwengu ndio Mungu ,shida Iko wapi apo? Maana ktk andiko bado unaamini kua wenda ulimwengu ndio uliumba kila kitu sasa ww hilo Jina ulimwengu ni nan Aliupa? Kwann umeamini Jina ulimwengu ambalo pia umelisoma Kama ulivyosima Jina Mungu? Kuna tofauti gani apo kama ww unaamini ktk majina? Vip Kama ukiamua ww Mungu umuite ulimwengu ? Au umuite Power beyond everything,bado hakuna tatzo ,bado unaoneka unaamini kila kitu Katik ulimwengu una chanzo Hata Kama chanzo ndo ulimwengu Wenyewe bado ndio chanzo kwahyo hakuna shida hicho chanzo kua ndio Mungu au Jina Lolote utakalo Penda,Tatzo ww umemuweka Mungu ktk umbo na mtazamo wa kibinadamu ,Mungu yy Kama yupo sidhan Kama Ana shida na Jina hilo la Mungu ?unaweza amua kumpa Jina lako ,
 
Hakuna imani ya kutoamini kitu
Ni sawa na kusema mtu ana utajiri wa umasikini
Au kusema mtu ana upendo wa chuki
It doesn’t make sense.
Kwahyo sijaja hapa kuhubiri ‘imani ya kutoamini’
Nimekuja kupinga vitu ambavyo wengi wenu mnaamini bila ushahidi wowote
 
Any way, you need to be truthful, consistent and sure in this case as to who do you think constructed the pyramids so that we can go on otherwise we are stuck right here.
I am truthful by saying I don’t know. I won’t lie to you by pretending I know. Plus I want to discuss on things I know of and not things I beleive.
Tha age of beleiving is gone, now it’s the age of knowing.

It is like finding a house in the forest, you’ll be sure it exists because you see ot but you can’t be sure who constructed it or when. Same thing with the Pyramids and the Universe.

We can come with different theories of who built the house in the forest, you can say its Aliens,angels,Satan,God,or just human beings.
Although I won’t be sure of who it is exactly, but I will go with the theory with less assumptions.
And that would be Humans
 
SHARKS DON'T KNOW THAT CAMELS EXIST.


Atheists are like sharks 🦈who don't know that camels exist, while indeed camels🐪 do exist.
The difference is you and I know that both sharks and camels exist.
you and I are not sharks.
And sharks can beleive There are other sharks on land when they dont exist
 
Mimi kwanza siamini kwamba kila kitu kina chanzo na sababu nimeziweka wazi kwenye post juu…hyo assumption ya kila kitu kina chanzo haina ushahidi wowote maana hatuna data za kutosha.,sample tunayoitumia ni 1 tu,huu ulimwengu, lakini huenda hata kuna ulimwengu nyingi na hazina chanzo kama wanaoamini mungu wanavyosema hana chanzo.

Pili, nliposema ulimwengu unaweza kuwa chanzo chake mwenyewe sikumaanisha kuwa nina uhakika ni hivyo, hapo niliendelea kutoa scenario zingine ambazo zinaweza kuwa ukweli tofauti na hii tuliyokariri ya Mungu.

Tatu, by definition Mungu sio ulimwengu (kwenye hizi dini kuu) Bali yupo ndani na nje ya ulimwengu, ana uwezo wa kuubadilisha ulimwengu atakavyo, yeye ndiye aliyeutengeneza na anaweza akasema neno tu ulimwengu ukapotea ila yeye akabaki ..kwahyo ishu sio Majina ishu ni hizi sifa za uwepo wa Mungu.. yani intelligent power nje ya ulimwengu iliyokuwepo kabla ya ulimwengu na iliyoutengeneza ulimwengu na inaweza kila kitu.
 
Wewe mwenyewe na ukoo wenu mnathibitisha kuwa Mungu yupo, kwasababu ninyi ni kazi yake,
Thibitisha kuwa yeye na ukoo wake ni kazi ya Mungu
Wewe unataka uthibitishiwe vipi???
Kwani nilzima umuone? Kama yeye hataki kuonwa nawewe kwanini umlazimishe? Fanya yako achana nayeye , ila wewe kutouona upepo haimaanishi kuwa upepo haupo kisa unataka uone na kuushika,
Upepo upo kwasababu athari zake zinaonekana na zinapimika (windvane) na mtu yeyote anaweza akauhisi au akupima na kuutambua.

Wala haihitaji mchungaji pekee ajifungie auone halafu aje kuwasimulia habari zake ili mmpe sadaka
 
Hicho mlichoona ni hallucinations, Ureno watu 3000 waliona jua linacheza cheza.

Yes , Hizi huwa ni personal experience.

Mnaweza watu kumi mkaona kitu kimoja, still hiyo haijustify chochote.

Hata yule Mama wa Mwanza Zumaridi, ni kweli alienda mbinguni, na ni kweli alikuta watu wanaongea kisukuma na ni kweli hakukuta mpare yoyote mbinguni. Hizi huwa ni personal experience na ni za kweli katika perspective ya muhusika anae experience.


Shida ni pale personal experience ya mtu mmoja tunapotaka kui generalize na iwe truth kwa wengine. Tatizo ndio linaanzia hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…