ATTENTION kwa wanawake ndio SEX kama ilivyo kwa wanaume

๐Ÿ˜๐Ÿ˜ ndio uone sasa sijahemuka ndugu,

Ukitaka demu ahemuke we mnyime attention uone
Tatizo unalinganisha sex na vitu vya hovyo, attention kweli attention ๐Ÿค”๐Ÿ˜… haya bhana labda kama unatumia emotions na sio logic.
 
Tatizo unalinganisha sex na vitu vya hovyo, attention kweli attention ๐Ÿค”๐Ÿ˜… haya bhana labda kama unatumia emotions na sio logic.
In order to use logic you have to reason

Ndio maana nimekwambia ukitaka demu wako ahemuke kama muimba taarabu we mnyime attention.

simple as my underpants.
 
Leo kafika ofisin kwa kuchelewa akaniuliza "mbona nmechelewa na hunipigii hata cm kuuliza shida nn?"
Nkamjibu huwa nina matatizo ya kusahau haraka, nmesahu kama tupogo wawili humu ofisini.
Akaniangaliaa hakujibu ....SJUI NLIHARIBUUU

NB
mm nkichelewaga huwa ananipigia
 
In order to use logic you have to reason

Ndio maana nimekwambia ukitaka demu wako ahemuke kama muimba taarabu we mnyime attention.

simple as my underpants.
Reasonably explained ila sasa kwenye kulinganisha sex na attention hapo naona sio, ila kusema ukimnyima attention atataabika hio iko sawa bin sawia.
 
Hatupendi attention kaka
Seran
Sikufundish upende nini

Hata bwana yako ukimwabia unapenda sana wanawaake, atakuambia no, ila hio gari anayokupelekeaga lounge za tabata ndio hio hio anapatia blow jobs ndani ya gari na mademu wa kimboka

HUMAND MIND IS A MYSTERY, MCHAWI HAJISEMI YEYE NI MCHAWI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ