Audio: Alichosema Askofu Dkt. Josephat Gwajima kwa Kardinali Pengo

Imeandikwa kwa bibilia usimnyoshee kidole mpakwa mafuta Wa Bwana..Kwajima kama Mchungaji hakupaswa kutoa lugha ya matusi na kejeli hivyo
 
Mimi ni mkristo ila na kusema kweli sijakubaliana kabisa na maneno ya Cardinali Pengo. Lakini nashukuru busara imenitangulia kiasi cha kuyaheshimu yale anayoyasema japokuwa sikubaliani naye.

Ila pia tukumbuke kuna UHURU WA KUONGEA hivyo aliyoyasema Pengo yale ni yake binafsi hivyo mawazo yake yaheshimiwe. Pia hatuna shuruti la kuyafuata aliyoyasema yeye sababu KURA ni siri ya mtu na nafsi yake.

Mwisho nimesikitishwa sana kwa kusikia kiongozi wa kiroho kama Gwajima anatoa maneno ya kashfa na kushambulia nafsi mpaka kufikia kiasi cha kumuita majina, kwa kweli ni aibu sana. Gwajima kajifedhehesha sana na sijui kama Biblia anayosoma ni ileile ya maandiko matakatifu inayosomwa na Wakristo walio wengi.

Bible says we have an obligation to love our fellow man as ourselves

 
Itakuwa maajabu ya hali ya juu asiye muislam kuielewa kwani wakristo wa hapa kwetu hawana zaidi ya chuki,tena chuki ya ajabu sana. Ivi leo hii gwajima hata kiuelewa mdogo unaweza kumlinganisha na Pengo?!!!

Mpaka ujitoe faham ndio unaweza kuwalinganisha. Pengo ni Identity ya Kathoric duniani hata shule na uelewa wa mambo ya kijamii pengo yupo juu na huyo mpiga kelele wa kawe ambae kanisa lake hata hapa hapa bongo mikoa mingine hulikuti na shule aliyosoma haieleweki.
 
gwajima ni mpiga dili tu. Gwajima akiwa mtumishi wa Mungu basi kila mtu duniani ni mtumishi wa Mungu.
 

acha kupotosha mkuu Wa kanisani lipi...mhuni tu yule acha apewe...
 
Ukisikiliza kwa makini utagundua huyo Gwajma anamatatizo ya kisaikolojia. Katika chumba cha ushairi nasaha, inashuriwa client apewe uhuru wa kuongea atakavyo. Nasikitika, Gwajma kwa kuwa ana akili fupi sana, anapayuka mbele ya waumini.

Muumini mwenye akili hawezi kwenda kumsikiliza tena au hata kumwomba ushauri - hata wa kiimani. Mbaya zaidi frustration zake hazijakwisha, sijui nani atafuata kwa kukashfiwa.

Haya maghehebu ya dini yanaangamia kwa kuwa viongozi wake ni wehu. Kwa bahati mbaya sasa, waumini wao hawawajui mpaka hapo watakapojidhihirisha wazi kama alivyofanya huyo Gwajma.
 

mkuu uko sawa kabisa
 

Kumtukana Pengo sio sahihi hata kidogo kwani tunaamini yule ni mtumishi wa Mungu anayestahili heshima si kama wanasiasa wanao - ongozwa ns tamaa za madaraka.

Lakini pia kama serikali iliona ni vema kuipigia debe katiba inayopendekezwa ili ipigiwe kura ya NDIYO katika matatizo na changamoto zake nyingi!

Basi na Maaskofu wetu makini walistahili kutuelekeza tuipigie kura ya HAPANA kama serikali haitasitisha huo mradi wake na kusubiri ufanyiwe marekebisho katika kasoro ulio nazo pia huyo Gwajima kajionesha ni mpuuzi kwani hauwezi kupinga mawazo au matakwa ya mtu kwa kumtusi ilhali yeye hakutusi mtu tena ukiwa ni kiongozi wa kiroho labda kwa hayo madhehebu yanayofuata upako Naigeria
 
Kadnali Pengo si cho chote nje ya kajimbo kake Dar;full stop.
Pengo si msemaji mkuu wa katoliki Tz; bali baraza la TEC.
 
Kadnali Pengo aache unafiki kama tumjuavyo !
Mbona Pengo ameshindwa kuwachukulia hatua mafisadi ndani ya katoliki yako ?
 

Achen unafiki, leo makanisa yakiwaambia watu wake mpge kura ya hapana inakua nongwa lakin vyama vyenu vikiwalazimisha kupga kura za ndio hapo hakuna tatzo.

Tusipotezeane muda hapa wacha kila mtu ajitape kwenye hmaya yake kwasababu kila upande n taasisi
 

Kama Kilaini alipata mgao wa hela za dhambi (escrow), inaingiaje akilini kuwa yeye Pengo akose huo mgao? ulizia akaunti za stabic kama ya kwake haipo. Kwa hali hiyo unadhani hawezi kufanya mambo ya kujikosha kwa ccm?

usiwe mwenye kushindwa kufikiri. Mbali na hilo yeye ni kiongozi mkubwa tena wa kiroho, angekuwa na busara angeongea na viongozi waliotoa matamko hayo kuwa wanakosea na si kwenda public kwenda kuleta malumbano na kuwaaibisha wenzanke.

Juu ya hilo yeye alikuwa wapi wakati wenzake walipokutana na kujadili hayo matamko. PENGO NI MNAFIKI NA MPENDA SIFA.
 
Nijuavyo BAOBAO ni kwamba ask.pengo hajawahi kuwa mpakwa mafuta wa Mungu;labda miungu kwa mujibu wa Biblia ! HANA SIFA.
 
Last edited by a moderator:
ni kweli kuwa Pengo ameonyesha udhaifu mkubwa wa kiuongozi - kutokuheshimu collective respondibility ya maamuzi ambayo alishiriki katika vikao vilivyofanya maamuzi hayo.

ni kweli kuwa Pengo ana-deserve reaction inayosikika kwenye hii audio clip. he asked for it!

but....si sahihi kabisa kwa reaction ya aina hii kutolewa na kiongozi mkubwa wa kanisa kama Gwajima. 2 wrongs don't make it right. he should have sent his message across differently...

kama Pengo ali.....jamba, basi Gwajima kaji.....harishia!
 
imbombo ngafu , kama kuna dhehebu mwaka huu litakiunga mkono ccm basi litakuwa limelaaniwa na Mungu wa israeli, isaka na yakobo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…