Audio: Alichosema Askofu Dkt. Josephat Gwajima kwa Kardinali Pengo

Kwani Pengo ni nani mpaka asiambiwe ukweli. We ni mpuuzi nini

Toa hoja sio matusi.....limeibuka wimbi la viongozi wa dini kutukana watu.Pengo ametoa mtazamo wake na hakika kabisa si msimamo wa kanisa katoriki,yeye Gwajima angetoa msimamo wake na kanisa lake lakini sio kumuattack mtu kiasi kile.Eti pengo sijui kala maharage ya wapi.....Aliyeonesha upuuzi no Gwajima na wafuasi wake including you.
 
Gwajima ni mpuuzi sana....ana kiburi kiasi kujiona yeye ni Mungu mtu.Awatishe hao hao kina Mbasha maana anajua hawezi kumfanya lolote pamoja yakuwa anamto.mbea mkewe.
 
Huyu gwajima hana heshima hata kidogo. Hekima na mwenye akili hawezi kutamka hivi.

Kinacho anagiwa sio lugha aliyo tumia Gwajima ila je ujumbe unafika?hicho ndio kitu muhimu kuangalia hapa,
Kwa mimi nimemuelewa sana Gwajima na laiti kama siku nikionana naye,nita mpa hongera kwa kuwa jasiri kama simba,maana huwa aangalii wadhifa wa mtu,


Gwajima ni kama Yohana mbatizaji,yeye ni sauti ya mtu aliaye nyikani.
 
aiseeee hiyo dini yenu ina mambo kweli aiseee mimi nilijua ni Wimbo mpya wa Mzee Yusuph kumbe ni Bwana Gwajima akishusha mistari kwa vina kabisa...sasa hayo maneno aliyasema akiwa wapi kanisani au pale Habari na Maelezo?!

#Zitto
 

Hakuna lolote.....kejeli aliyoitoa Gwajima niyakupingwa vikali sana na imeonesha ana kitu kingine cha tofauti kwa Pen go zaidi ya tunachokijadili hapa.
 
Pengo ni takataka kabisa na ni hafai katika jamii haiwezekani kukiuka na kwenda kinyume na maaskofu wenzake,yani namfananisha na kopo la chooni,hafai kabisa
Kwa yeye kukubali ina maanisha wakatoriki wote ni wamekubali mahaka ya kadhi
Mahakama ya Kadhi? Sasa hapa ndipo inapodhihirisha kwamba haufahamu hata alichoongea Pengo. Pia ninaanza kuwa na wasiwasi kuwa huenda hata Gwajima hakusikia alichoongea Pengo. Ni vyema ukafanya utafiti kabla haujaongea. Nilitaka niweke audio clip ya alichoongea Pengo, ila naona nitakuwa napoteza muda tu kujadili na watu kama huyu totoo brst
 
HONGERA SANA ASKOFU DR. JOSEPHAT GWAJIMA KWA KUMWAMBIA WAZI BILA KIFICHO HUYU MSALITI ASKOFU PENGO.

Kwanza kwa wasiojua nini kinaendelea kwa ufupi wake ni kuwa..."Baraza la maaskofu walikutana na kutoa tamko kama viongozi wa kidini nchini na katika baraza hili la maaskofu Pengo naye ni mmoja wa watu wanaounda baraza hili na ni mwanachama kupitia kanisa katoliki kwahiyo maazimio yaliyotolewa katika kikao kwa namna moja au nyingine yalikuwa ni maazimio ya maaskofu wote nchini akiwemo Pengo."

Hoja ya Pengo kuwa hakuwepo na hakushiriki ni UNAFIKI NA USALITI kwa sababu bila shaka aliwasilishwa na wenzake kwani twajua vyema kikao chochote cha kawaida ni halali na maamuzi yake ni halali endapo theluthi mbili ya wajumbe watahudhuria. Kwahiyo maamuzi yaliyofikiwa yalikua halali hata kama Pengo angekuwepo au asingekuwepo na kwa akili ya kawaida twajua Pengo ni mtu mkubwa lazima tu alikuwa na mwakilishi wake au kupitia Baraza la Wanataaluma wa Kikatoliki ambao nao pia waliunga mkono jambo hili walikwisha mwambia tokea hapo awali juu ya makubaliano ya wakristo wote kupitia viongozi wao wa kidini yaani maaskofu.

Kwa namna yeyote ile Pengo hawezi kukimbia lawama, matusi na laana kwa alichokifanya kwani ameridhalilisha kanisa mbele ya jumuiya zinginie na ameonyesha USALITI WA WAZI WAZI KABISA.

Namnukuu Pengo..."Ni kweli nimepata waraka wa maaskofu wenzangu na nimeshindwa kuukata kwani maamuzi yao ni yetu sote lakini napinga kuwa tusiingilie" SASA KAMA ALIKUA NA NIA YA DHATI NA ALIKUBALINA ALIKUWA NA SABABU GANI YA KUITISHA VYOMBO VYA HABARI NA KUPINGA?

Tunajua vizuri kuwa Pengo kama Kardinali ni kiongozi wa nafasi ya juu wa kanisa katoliki hapa nchini na hivyo ana watu wengi wa karibu wanaomshauri. Naimani viongozi wengine walimshauri vizuri lakini TAMAA yake na KUJIKOMBA MBELE ya watawala ndio vinavyomsumbua.

Alichokifanya kwa lugha nyepesi ni sawa na Waziri mmoja kwenda kinyume na Maamuzi ya Baraza la Mwaziri...
#PENGO NI MSALITI NA AMELIAIBISHA KANISA LA TANZANIA NA WAKRISTO WOTE KWA KWENDA KINYUME NA BARAZA LA MAASKOFU HUKU YEYE AKIWA MJUMBE WA BARAZA HILO NA PIA ALIKWISHA WEKA SAINI TAYARI YA KUPITISHWA KWA MAAMUZI.
 
Gwajima akili yake sio nzuri.....asicheze na Pengo.Awatukane hao hao malofa wenzake.

Nadhani humfahamu gwajima.juzi kati kanunia ndege yake .sasa huyo ni lofa , labda ww utuambie una ndege ngapi au hujawahi panda huwa unaziona tu angani
 
Pengo ni Chizi n Gwajima ni Mwehu

#Zitto

Wewe dogo bado hujakomaa akili vizuri,naungana na wewe kwa asilimi mia kabisa kuwa #Pengo ni chizi lakini kwa upande wa Gwajima hapo sikubaliani na wewe,jaribu kufilia madhara ya mahaka ya kadhi endapo itakubaliwa,japo najua haitaweza kabisa kusimama TZ,jiongeze mbele akili yako kuangalia mahaka ya kadhi njinsi ilivyo na madhara,ndipo utajua kuwa Gwajima yupo sahihi.


Acha kukurupuka#mzaramo
 

Kwann unakurupuka kama chiriku jike..?? Kama umeisoma katiba ya CCM mahakama ya kadhi haipo...

Punguza ushabiki wa kihuni..
 

Mkuu iweke kwa manufaa ya wachangiaji wengine
 

Wewe umemsikiliza Pengo vizuri? Toa mapenzi binafsi kisha umsikilizetena Pengo ndio utaelewa kuwa yeye ni msaliti.. Kwa ufupi nikueleze ndugu yangu, Pengo ni mjumbe/mwanachama wa Baraza la Maaskofu Tanzania na maamuzi ya Baraza hufanywa hata kama mmoja wa maaskofu hakuwepo kadharika Pengo alikuwa na mwakilishi wa kanisa katoliki katika kikao kwahiyo maamuzi yaliyofikiwa kwa saini ya mwakilishi wake ilikua ni tosha kuwa Pengo naye amekubaliana na maamuzi.

Baraza la Maaskofu Tanzania ndio chombo cha juu kabisa cha umoja wa madhehebu na dini zote za kikristo hapa nchini, kwahiyo kwenda kinyume na maamuzi ya pamoja ni kuamua kuudharirisha ukristo na jamii nzima ya wakristo nchini.

HAKUNA NAMNA NA HAKUNA JINSI....Alichofanya Pengo ni kitendo cha kipuuzi na kutafuta sifa mbele ya watawala.
 

Laana ya wakulima aliowatukana lazima itamkuta
 
Mama yangu weeeeeee! Ukweli Gwajima katumia lugha isiyokuwa ya kistaarabu. Hata kama anapingana na kiongozi mwenzake wa roho ingekuwa vema akatumia lugha ya kiutu uzima na ya staha kuliko kumchana live kama mtu wa bongo flava. Nimesikilza mpaka nikaona nafsi yangu inaniambia tuna viongozi wachache sana wa dini, wengi ni wajasiliamali wa dini.
 
Nadhani humfahamu gwajima.juzi kati kanunia ndege yake .sasa huyo ni lofa , labda ww utuambie una ndege ngapi au hujawahi panda huwa unaziona tu angani

Mfalme Selemani aliomba kwa Mungu ampe hekima.....ndege ni fahari tu ya duniani.Mwenye akili atajua namaanisha nini lakini misukule ya kawe pale hawawezi elewa.
 

hiyo lugha ni sahihi kabisa kwa wasaliti... Usimuangalie pengo kwa namna anavyoongeaga kwa upole ukasema ameonewa ila maana ya alichokifanya ni udharirishaji kwa jamii nzima ya kikristo iliyotoa maamuzi kupitia baraza la maaskofu tanzanzia.

Pengo ni msaliti na hakuna namna ya kumbembeleza wala kumlamba miguu msaliti au kumwambia kwa kumsifia.

Msaliti ni mslaiti tu, na hastahili kuwa kiongozi wa juu kabisa wa kanisa...
 
missstrong,Afadhali Gwajima kasema kweli ila wewe ndo umemwaga MATUSI mpaka ya kitandani ama kweli wewe ni miss strong.
Gwajima ni mpuuzi sana....ana kiburi kiasi kujiona yeye ni Mungu mtu.Awatishe hao hao kina Mbasha maana anajua hawezi kumfanya lolote pamoja yakuwa anamto.mbea mkewe.
 
Last edited by a moderator:
Kwa akili yako Pengo alipowasaliti Maaskofu wenzake alifanya haki?????
Hakuna lolote.....kejeli aliyoitoa Gwajima niyakupingwa vikali sana na imeonesha ana kitu kingine cha tofauti kwa Pen go zaidi ya tunachokijadili hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…