Audio: Alichosema Askofu Dkt. Josephat Gwajima kwa Kardinali Pengo

Ni vile Catholics si watu Wa Shari....angekuwa ame mtusi Shehe Mkuu Wa waislam duu SAA hivi zamani hilo kabisa lake ni majivu na wanatafuta kichwa chake
 
GWAJIMA ASHUKURU CATHOLICS SI WAGOMVI ILA HIYO COMMENT ANGEITOA KWA SHEHE MKUU.....LEO TANZANIA INGE MAKE HEAD LINES KWA INTERNATIONAL NEWS...as hilo kanisa lingekuwa ni majivu mchana huu
 
Wala halimpati ng'oo....hivi una usafi kiasi gani mpaka uweze kumpa mtu laana?mbona mnapenda kujifanya nyie wasafi?

Kinachowauma watumishi wa mungu na maaskofu kwa Pengo,ameshindwa kufaham yakwamba amekosea na badala yake amekuwa akitoa matamko mengine kwenye vyombo vya habar yanayokinzana na wenzie,Hivi jamani wakristo tuna katiba nyingine zaidi ya BiBlia?je,kuna haja gani ya kiongozi wa dini kusimama na kutetea katiba ya tawala za nchi badala ya kutetea Neno la mungu?ni vyema tukatafakari sana,na kama upengo aliona uamuzi wa maaskofu wenzie haukumfurahosha Asingetia sign maadhimio 15 yaliyopitishwa.Nachojua ni kwamba wakristo wengi wa tanzania ni watu wenye kushabikia mambo pasipo kufata nini Roho wa bwana anasema nini juu ya jambo husika,
Hii inanipa wasiwasi sana juu ya baadhi ya watumishi wa mungu wenye imani kama ya pengo,mwezi juzi nikiwa nafanya opereshen ya askofu mmoja,nilimkuta kiongozi huyo akiwa na chale kibao eneo husika la jeraha,sasa tuwe makini sana..Baadhi ya viongozi wanasimama kutetea masirahi ya chama au wanasiasa flani,huku wakijawa na ushirikina mwingi zaidi.Tuweni makini na kila jambo,ni vyema kutokuwa mlopokaji badala yake tuwe watu wakumtegemea mungu anasema nini katika jambo husika.
 
GWAJIMA ASHUKURU CATHOLICS SI WAGOMVI ILA HIYO COMMENT ANGEITOA KWA SHEHE MKUU.....LEO TANZANIA INGE MAKE HEAD LINES KWA INTERNATIONAL NEWS...as hilo kanisa lingekuwa ni majivu mchana huu

Acha upuuzi wewe,Catholic si wagomvi lakini washirikina,kwanza hata hiyo imani ya kweli hamna,ni kuabudu sanam tu ya bikira maria,Kama mtu amekosea aambiwe na si kunyamaziwa,
 
Huyo ni kiongozi wa kanisa na waumini wamejaa kumsikiliza????
Nimeshangaa sana kusikiliza hiyo clip....sad sad...
 
HILO NI DUKUDUKU LA GWAJIMA,JE LA KWAKO LIKO WAPI..?au MNACOMMENT TU UPUUZI WENU MWINGI PASIPO KUJA NA HOJA YA MSINGI,,,,,,!
 
Samahani Pengo si mkuu wa kanisa katoliki Tanzania. pengo ni askofu mkuu wa jimbo kuu Dar-es-Salaam full stop.Mkuu w kanisa Katolki anzania ni Rais wa EC askofu Ngalalekumtwa.
 
atakua kamsalit mamako mpaka username otherwise utakua unatumwa hata chacha alikufa kabla ya kuthibitishiwa tuhuma....
Punguza jazba. Hata Zitto anayekutuma uje uharishe mitandaoni hana akili za kipuuzi namna hii. Heshimu mama wa wenzio kama na wewe unataka mama yako aheshimiwe. Ukitaka tuhusishe mama humu tutakesha. Msaidie Zitto kwa kuwa mstaarabu
 
Samahani Pengo si mkuu wa kanisa katoliki Tanzania. pengo ni askofu mkuu wa jimbo kuu Dar-es-Salaam full stop.Mkuu w kanisa Katolki anzania ni Rais wa EC askofu Ngalalekumtwa.

Ni bora kuuliza kama huelewi Pengo ndiye kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki Tanzania na Sio Tz tu Hata Kenya na Uganda hazina makadinali hivyo Pengo ni msimamizi pia. Watu wanashindwa kuelewa hoja ya Msingi alichokisema Pengo ni maoni yake binafsi na sio kosa mtu kutoa maoni yake binafsi
 

Kwa nini Pengo hakutoa maoni yake walipokuwa kwenye vikao? Mpaka akaweka signature!
Kuna kitu kinaitwa collective responsibility.....dunia inaenda hivyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…