Kwani Pengo alisemaje wadau naona na mimi ilinipita. Tatizo mb 8
Acha upuuzi wewe,Catholic si wagomvi lakini washirikina,kwanza hata hiyo imani ya kweli hamna,ni kuabudu sanam tu ya bikira maria,Kama mtu amekosea aambiwe na si kunyamaziwa,
ukristu ni pasua kichwa
Kwa nini Pengo hakutoa maoni yake walipokuwa kwenye vikao? Mpaka akaweka signature!
Kuna kitu kinaitwa collective responsibility.....dunia inaenda hivyo!
hayo siyo matusi bwana rudia tena usikilize vizurikwahio ndio imehalalisha askofu gwajima mtumishi wa Mungu kutoa matusi hayo tena mbele ya madhabahu???
Bora umenisaidia. Huyu mpumbavu katoa comment ya kichonganishi hapo juu, ameona watu hawajamqoute akaamua kuirudia hapo chini kwa caps letters.
Ukiangalia comments hizo zinalenga kuleta ugomvi au kutuaminisha kuwa kundi fulani ni wakorofi/untouchables na lingine ni wapole.
Kardinal Pengo ni kiongozi na alitoa maoni yake japokuwa yalipingana na wenzake. Je! Kama kweli alisaini mkataba ule nini kilimpelekea kuwageuka wenzake hadharani? Alishindwa nini kuwashauri kabla hawajatoa tamko? Na kama aliwashauri wakakaidi, kwa nn alisaini?
Gwajima ametoa na yeye ya moyoni & nampongeza kwa kuwa muwazi na kutokuwa mnafiki japokuwa ni kweli ameovereact.
Tukubaliane tu kusema ukweli kuwa; Ukisikia kilio cha uchungu km hiki ujue Watanzania wameichoka serikali iliyopo na yeyote anayeitetea atatolewa maneno makali zaidi ya hayo.
Simkubali Josephat Gwajima kwa mambo mengi lakini kwa hili la kumpa za uso huyu Mnafiki mkubwa Pengo namuunga mkono kwa nguvu zote.
Kwa bahati mbaya sijaona huo waraka kama Pengo alisaini ila ninachojua mambo ya kanisa katoliki maamuzi yanatolewa na TEC na anayesaini ni Rais wa TEC ambaye si Pengo, na kwa mujibu magazeti niliyosoma Pengo hakuwepo kwenye hicho kikao/mkutano na alichokisema amesema kabisa ni maoni yake binafsi yasichanganywe na huo Waraka
Msimamo wa maaskofu kwa umoja wao ndio msimamo wa kanisa.....lakini Pengo nje ya umoja ule ni mtanzania na ana uhuru wakutoa maoni yake.Jaribu kutofautisha hizo kofia ndipo uje kubishana hapa.
Ni bora kuuliza kama huelewi Pengo ndiye kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki Tanzania na Sio Tz tu Hata Kenya na Uganda hazina makadinali hivyo Pengo ni msimamizi pia. Watu wanashindwa kuelewa hoja ya Msingi alichokisema Pengo ni maoni yake binafsi na sio kosa mtu kutoa maoni yake binafsi
Pengo hakuwepo kwenye huo mkutano ni vizuri ukasoma vizuri hili sakata kabla ya kumlaumu na alichokisema alitanguliza kabisa kuwa ni maoni yake binafsi hivi kusema waumini wanayo akili ya kujua wapige kura ipi bila maelekezo ya kanisa ni kosa? Na kama ni kosa je unataka kusema waumini ni mambumbu hadi waelekezwe?
hajamtusi PENGO ila kaongea juu ya ubaya wa alichokifanya PENGO kwa hisia kali na uchunguNi vile Catholics si watu Wa Shari....angekuwa ame mtusi Shehe Mkuu Wa waislam duu SAA hivi zamani hilo kabisa lake ni majivu na wanatafuta kichwa chake