Teh Teh
Mkuu mnakwenda kufundishwa matusi..
Asante Gwajma nabii wa bwana, hakika we ni mtumishi kwel unayesimamia haki, kuanzia jumapili ijayo nitaanza rasmi kusali kanisani kwako maana nimeamini hapo upo utikufu mkubwa na nguvu za bwana,
We jamaa kichwani mwako sijui umeweka nini aisee, anyway mimi sina mda wa kuweka mjadala mreeefu na wewe. Kwa kifupi tu ni kwamba mimi naunga mkono kwa wananchi kulazimishwa kupiga kura ya Hapana juu ya katiba hii yenye maslahi ya CCM, wewe kama unaona katiba ina maslahi kwako basi kaipigie kura ila sisi tunaoona kuwa hii katiba sio ya wananchi na ni ya CCM hatuipigii kura.
Mwisho kabisa ni kwamba Mahakama ya kadhi ni janga kwa taifa.
Nadhani wewe ndio mshenzi kwa sababu unamtukana kiongozi wa dini simply because maoni yake aliyotoa hayaendani na matakwa yako. Jaribu kuwa mstaarabu kidogo na kukubali kutokubaliana na wengine.
Kwa akili yako ndogo unadhani kuwaamlia waumini aina ya kura kwa katiba mpya ndio busara? kama ni hivyo basi maaskofu wao wenyewe akiwamo huyo Gwajima waende wao wakapige kura badala yako maana wao wanajua kufikiri kuliko wewe na wana uwezo wa kuamua kwa niaba yako!
lililo na mwanzo halikosi kuwa na mwisho.
Hapana mkuu karibu usikie Habari za Yesu! Matusi ni wale wa Vatican siyo sisi
I salute you Gwajima. Naomba ukishamalizana na Pengo, toa za uso kwa yale mabwege yaliyofunga safari kwenda area D.
mkuu respect wa boda njoo usikilize hapa kwenye theard hii uchanganue mwenyewe,sipendi kukulisha maneno.
Mapendo!
kwa wale wakristo wakatholiki wenye imani thabiti tuungane kwa pamoja kumuomba mwenyezi Mungu amlipe kwa matendo yake anaye jiita mchungaji gwajima kwa kumtusi kiongozi wetu wa kanisa katoliki Tanzania kadinali Pengo.
kwa pamoja tuseme neno!
Mi nadhani hii ya kumwambia Pengo kwamba kafanya makosa walishaijadili maaskofu, ila suala likabaki je nani atampa za uso?? Gwajima, mzee wa full ma confidence akaamua achukue hilo jukumu la kumpa za uso na kweli, amempa za kutosha!!
Mi ni mkatoloki. Pengo kakosea acha anyooshwe tu. Hamna jinsi.
Hahaaaaa kuna mabwege gani tena area D!