Audio: Alichosema Askofu Dkt. Josephat Gwajima kwa Kardinali Pengo

Kwa hiyo Ngwajima kumbe hapo alikuwa ana mtukuza Mungu? Hakika huko mna mungu wenu..

Na Yesu alipopinduapindua meza za wale walogeuza nyumba ya Bwana na kulifanya pango la wanyang'anyi alikuwa anafanya nini?
Au je hasira hii ya Gwajima na ile ya Yesu zina utofauti?
Mtumishi wa kweli lazima alitetee kanisa.

Biblia inaagiza ' karipia, kemea, onya.... kwa uvumilivi wote'
 
bomouwa;

haihitaji akili nyingi saana kujua kwamba Gwajima,,,, amemtukana Kadinali PENGO,,,kama wewe unaamini hayo aliyenena sio MATIUSI basi.....embu waite wazazi wako hayo maneno....au kama umeajiriwa/au jiajiri...muite boss wako au wafanyakazi wako

Tambua Pengo anaajibika Jimbo kuu la Dar es salaam,,,,na aliruhusu waraka ule usomwe makanisani....alikuwa na mamlaka ya kukataa na wala hao maaskofu wenzake wasingemfanya kitu....

Tambua alichokifanya GWAJIMA....kinaacha maswali mengi tena kwa jamii...naweza ku question hata credibility yake na hiyo injili anayohubiri......Tambua MIAKA YA NYUMA Yupo mhubiri kama yeye UGANDA aliwaaminisha waumini wake kila anachokisema ametumwa na roho mtakatifu.....mwissho wasiku aliwachoma moto waumini wote......Ndicho hicho gwajima anawaaminisha wahubiri wake

Mtu mzima mwenye akili timamu huwezi nihamulia.....tambua hili taifa sio la wakristu tu peke yao...wapo waislam, wasiokuwa na dini nk...na wao wakija na maelekezo kwa wafuasi wao kutakuwa na nchi kweli????????...

Kwawenye akili wanajua gwajima alifanya timing tu..alijua akiropoka hivyo...atapata public attention na atasikika na yeye yupo....I am sure ukienda ndani zaidi na ahayo anayofundisha unaweza gundua yeye hana tofauti na wajasiriamali wengine wanaosaka pesa tu
 
Last edited by a moderator:

Huyu ni shetani. Ndio maana wanadamu nawashangaa. Linaibuka jitu linasema nimetumwa na Mungu wakati wanalijua kuwa linatafuta kuishi kwa kutumia mgongo wa dini. masikini watu kwa sababu ya shida mbali mabli zisizo na solutions wanajikuta wameangukia kwa matapeli!
 
Kongi;

Mkuu
Pengo alisema kabisa MAASKOFU WALIPOKUTANA ARUSHA HAKUWEZA KUHUDHURIA, ANGEKUWEPO NADHANI HUO WARAKA USINGEKUWA HIVYO....

Na hapo katoa maoni yake kama askofu,raia, na mtu anayeona mbali......na alichokifanya ni kitendo cha busara na anatakiwa augwe mkono na sio kutukanwa......Nyie mnashabikia tu hapa hamjawahi ona moto wa kidini....ungebahatika kwenda rwanda kipindi kile cha mauwaji...south sudan ndo ungejua...huu moto maaskofu wanaotaka kuuchochea itakuwa ngumu saana kuuzima

Ni vema tukawa na mjadala mpana....tambua yakitokea machafuko tu hapa Gwajima na wenzake wanakimbilia japan na kwingineko haraka, watakao baki hapa na kuumia na kufa ni hao hao waumini wake maskini
 
Last edited by a moderator:
Tatizo kubwa sana ifikie hatua tuanze kuwapima viongozi wetu wa dini kwa maisha yao wanayoishi na matendo yao.
 
Ya Kaisari mpeni Kaisari na ya Mungu mpeni Mungu!
 
Hatari sana
 
kiongozi wa dini hua ana maono ,TZ hii ni dalili tosha tunaelekea ku collapse
 
ALEYN;

Kuna eneo hapa tunazidi kupoteana kabisa. Nikukumbushe tu mipaka na majukumu ya mabaraza kama CCT, TEC & CPCT dhidi ya Jukwaa la wakristu. Tukiyajua haya itatusaidia kuupeleka vizuri mjadala tukiongozwa na mantiki zaidi na siyo hisia.
 
Last edited by a moderator:
kazi ipo!!

Kardinali Pengo anastahili hizo za uso alizopigwa, na bado sisi Wakatoliki tutampa za usoni na kisogoni. Watu wanalewa madaraka na kutuona hatuna akili sasa wataanza kutambua kuwa tunaishiwa na ukondoo.
 
tatizo ni wanasiasa kujipenyeza kwenye vikundi vya kisiasa wanakosa utashi wa kidini wanalewa na upenzi wa kisiasa na siku zote siasa ni unafiki uliokubuhu
 
Ilitakiwa vijana wa kikatolic mkamtie dispiline,nashangaa mpaka sasa kimya.

Aliyekuambia wakatoliki ni magaidi nani?, Hatuna Akili finyu kama za wale waliondamana kisa kibonzo cha mwandishi wa habari!
 
mimi sihusiani na dini hizo hapo juu ila kama unataka kumkosoa kiongozi mkubwa kama Pengo hakutakiwa afanye hadharani tena kwa lugha ya uswahilini,mimi nimeamini kweli huyu jamaa anauza madawa ya kulevya na alimjaza mimba mke wa Mbasha kwa attitude hii tu aliyoionyesha ,He is so stupid ,arrogant ,monster etc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…