Audio: Alichosema Askofu Dkt. Josephat Gwajima kwa Kardinali Pengo

Mimi namshangaa mkatoliki anayemtetea Pengo na kusahau kuwa anatakiwa aulinde Ukristo wake hawa viongozi wa dini huja na huondoka lakini nini hatima ya ukristo kwa vizazi vijavyo mbele ya Mahakama ya Kadhi ambayo leo mnaona Pengo anayeitetea ameonewa?

Pili, Pengo ni mnafiki kwa sababu anasema ameruhusu isomwe kwenye makanisa ya Jimbo Kuu la Dar es Salaam alafu baadae anasema Lakini hivi lakini vile!! Kama alikua kweli hakubaliani asingeruhusu isomwe kabisa ila kinyume na hapo ndio mana anaonekana ni msaliti na mnafiki kwa wenzake.

Tatu, hoja ya yeye kwenda kinyume na maamuzi ya Baraza la Maaskofu huku yeye akiwa mwanachama ni kitendo cha kisaliti iwe alikuwepo au hakuwepo kwani kwa taratibu maamuzi hupitishwa ikiwa Theluthi mbili ya wajumbe wamekubaliana na jambo husika na wote waliobaki hufuata maamuzi yaliyopita.

Kinyume na hapo alichofanya bwana Pengo ni USALITI
 
Wakatoliki hawarudishii chochote.Maandiko ya nakataza kisasi.Wanafanyiwa mengi,wanakaa kimya.Kila dhehebu matusi kwa wakatoliki,makanisa kuchomwa,lakini kimyaaa.Tunaamini Mungu yupo


Wewe umeanza kuzungumza UTUMBO, UPUUZI NA UTAAHIRA!

Wakatoliki wanaingia sehemu gani hapo? Kosa la Pengo sio la wakatoliki ndio mana maaskofu wengine wa kikatoliki walikubaliana na kuweka saini katika Tamko lao.

Acha kuleta mambo ambayo hayapo, hii ni issue binafsi ya unafiki wa Pengo na sio wakatoliki.
 
Hapa hakuna dini yaani hata busara ya kawaida imeshindwa kutumika kwa Gwajima
 
Gwajima hatatukana, kasema kweli tupu, Pengo ni mnafiki na mshenzi mkubwa, tabia za kiCCM kugeuka maaumuzi ya pamoja.
 
kwenye ishu ya matusi ya gwajima nime'prove kwamba watu wengi wanaendeshwa na mihemko kuliko critical analysis..

Kisha wanajiita magreat thinkers, poor reasoning capacity ndiyo inafanya wawashabikie hata wendawazimu. Kama ilimuuma alishindwa nini kumuandikia waraka?
 
OK kwa tafsiri yako hiyo utajisikiaje nikikuita Mpumbavu kwa kuwa kuna vitu vingine hapa duniani huvijui?

Naomba nikuulize swali mkuu

Galatia 3:1 Paulo anawaita wagalatia wapumbavu,wasio na akili(neno la kigiriki lililotumika hapo lina,anoetoi,linamaanaisha watu wasio na akili kwa kiwango kikubwa sana,unaweza kusema hawana ubongo kabisa) je aliwatukana?
Mathayo 15:16,yesu anawaita/wauliza wanafunzi wake wapumbavu,watu wasio na akili,je aliwatukana?
 
Lumumba mmekuwaje tena? Toka Chaburuma aachie ngazi ya team buku 7 hamjielewi tena.
 

Ndio maana nakuambia akili yako inaendana na profile pic yako. Hivi nikikwambia bwana wako au baba yako amevalishwa pampaz kama mtoto utashangilia na kuona umesifiwa? Acha kubwabwaja, au unadhani matusi ni mpaka nitaje sehemu nyeti za mzazi wako? Grow up!
 
Gwajima hatatukana, kasema kweli tupu, Pengo ni mnafiki na mshenzi mkubwa, tabia za kiCCM kugeuka maaumuzi ya pamoja.
Slaa ameamua kulisaliti kanisa kwa sababu ya huyu malaya mwenzake. Hatari sana
 


Bado hujajibu swali,jibu swali langu kwenye bold black ili tuendelee
 
CCM kiboko Pengo wa kwao.Sheikh mkuu wa BAKWATA :siku hizi ana shangingi la nguvu: pia wao,katiba itapita by hooks or crooks
 
Kardinali Pengo amekuwa siku zote mwiba kwa serikali na hana haja hata kidogo ya kujipendekeza kwa watu waliopo chini yake.

Kwa hiyo wewe unakubaliana na kulazimishwa upige kura ya hapana na unafurahi tu kwa jinsi ulivofilisika kiuelewa wa mambo

Lini pengo amekua mwiba kwa serikali? ni jambo gani pengo amewahi kusema likavuta attention ya watu na serikali?
 
Gwajima alikosa hekima na akaongea kwa jaziba akabwata.Vinginevyo hakuna shida. Cardinal ajue huwezi kukubali watu waaminishwe kitu ambacho sio sahihi,katiba haina maridhiano we unasema waache tu.Hatukulazimishwa kuikataa tumeshauriwa tuikatae.
 
.
pengo angekuwa na mke na familia inayomliwaza msongo wa mawazo ungempungukia.
pia huruma zingempata kuwa nchi ikibakwa ni pamoja na watoto wake watakaokuwa wamebakwa.
kwa nini kila mara awadhalilishe maaskofu wenzake? ni upofu wa pesa ya escrow?
 
Bado hujajibu swali,jibu swali langu kwenye bold black ili tuendelee

Nimeshakujibu na kukuonesha matusi ya gwajima hapo juu! Au bado hujaelewa? Badilisha mwelekeo wa akili zako from your ass to your head. Si umesema mwenyewe kichwa ndio mtu? Au kichwa chako ni hicho ulichokiinua kwenye profile pic yako?
 
Pengo ni mpumbavu, kwanza anajivika ukuu wa RC ambao haumhusu, yeye ni Askofu Mkuu wa jimbo kuu la Dar Es Salaam basi!!

Pili kitendo cha yeye kuwa na matamko yake yanayojikanganya kisa tu ni kada wa ccm ni upumbavu wa juu zaidi.

Pengo anasahau kuwa waumini wake ndiyo watanzania wanaolalamika kila leo kwa jinsi ccm na serikali yake wanavyowakatili.

Pengo hawezi kuona matatizo yanayowakumba wananchi ambao ni waumini wake kwakuwa tu yupo altareni period!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…