Nimecheka sana kwenye hii audio tunakoelekea itakuwa bora ya jana! ngoja aje ahitimishe! kahtaan
kwahio ndio imehalalisha askofu gwajima mtumishi wa Mungu kutoa matusi hayo tena mbele ya madhabahu???
Pengo kaitwa mpuuzi.Teh teh teh!
Wagalatia mnatafunana kwa raha zenu.
Na bado!
Gwajima anauliza ni nani aliyewaloga.?
We mnyonga viuno mpe jibu.
Sasa wewe upo upande gani wa Pengo au Ngwajima.This is too much..
Mkuu Remote, watu wanachanganya madawa tu. Nitaendelea kuwapiga wasaliti wote hadi dakika ya mwisho. Jitu kama Zitto linastahili kuwa CCM. Chadema tulimvumilia sana
Kanisa linamamlaka hayo hasa baada yakujiridhisha kama wanananchi/waumini wake wanatapeliwa kupitia hadaa za Sitta na washirika wake katika mchakato wa kupitisha vifungu vya katiba.
Na kama mchakato mzima ungekua sahihi,kanisa kazi yake ingekua ni kuhamasisha waumini wake wakapige kura tu.
Maboso nikusahihishe Pengo sio Mkuu wa wa Kanisa Katoloki tanzania, vinginevyo kuingekuwa na mwenyekiti wa baraza la Maaskotu ambaye anakuwa msemaji wa. Pengo hadhi yake ni hehima ya kuingia katika baraza ya kumshauri pope. Mkuu wa kanisa ni Pope na kila askofu anawajibika moja kwa moja kwa pope kupitia ubalozi wa Pope kila nchi dunuani.
Hakuna mkuu wa kanisa katoliki Tanzania