Audio: Alichosema Askofu Dkt. Josephat Gwajima kwa Kardinali Pengo

Jambo kama hulijui ni bora ukae kimya la sivyo utakuwa unajidhalilisha! unajua maana ya kardinali ni nini? unafahaamu makardinali pekee wa kila nchi ndio uwaklisha nchi katika mtaguso wowote wa vatican? maaskofu uteuliwa na papa baada ya majina kupendekezwa na kardinali wa nchi husika?? je unafahamu ni nani anaskofisha maaskofu Tanzania? Kardinali pengo ndio mkuu wa kanisa Katoliki Tanzania, balozi wa papa anafanya kazi zake za kidiplomasia kama mwakilishi wa vatican as a state but has no mandate or influence on any matters regarding the internal issues of Catholic Church
 

Mpe na lile na Mathayo10:8 ambalo ndio wito wa Dr.Gwajima:lol:
 
Nina hamu ya kujua kaongea nini tafadhali fazili hebu nipe kidogo
 
Last edited by a moderator:
Mtafungua thread kibao kuhusu Gwajima. Watu wameshaonge kwenye threads zingine hujapitia hoja au umepata chochote kufungua yako.

Sio swala la kufungua thread...Penda usipende Gwajina ni muhuni....

Mtu mwenye akili timamu hawezi kutamka matusi makubwa kiasi kile kwanza kwa mtu mzima sawa na Babu yake....
 
Mnajua maana ya matusi au mnaropoka tu......pumbavu.....mpuuzi..... Mjinga..... Si tusi...... Uyo pengo ndie hayo niliotaja

Maneno haya kamwe huwezi mwambia mtu unaeheshimu, hata yeye kabainisha hatamuheshimu Pengo. Kwako wewe matusi ni yepi.
 
Brightdeemed
Mapovu kichwa hamna kitu bendera fuata upepo siipendi ccm lakini siwezi kwenda kama Punda mfano wako aibu
 
Kwenye nchi yeyote ile Kuna Nguzo Nne zinazoibeba nchi na zinategemeana ambazo ni
1. DINI
2. SIASA
3. UCHUMI
4. JESHI

Gwajima ana haki ya kuipinga mahakama ya Kadhi na kumpinga Pengo kwa kauli nzito maana angeongea kawaida ujumbe usingemfikia ipasavyo yaani amemshika anapostahili kushikwa
 

Narudia tena unaweza kufanya ishara zote,lakini ukaishia kuzimu,kama utaendelea na tabia hii chafu ya kudharau wengine,kanisani mwenu mnaweza mkawa hamna sanamu lakini ninyi wenyewe mkawa nazo mioyoni mwenu,soma Efeso 5:5 na kolosai 3:5,na labda nikwambie sasa tupo agano jipya tutahukumiwa kwa vile vilivyo ndani mwetu na si kwenye majengo Marko 7:20-23
 
Ask.Pengo ni kiumbe kama wengine na aweza kuwa mkosefu kwa matamanio yake.

JE PENGO NI NANI ASIKEMEWE PALE APOTOSHAPO ?
 
Mie naona kumwita huyo gwajima mhuni, zezeta au hata msukule bado ni kumpendelea. Yeye no zaidi ya hayo majina. Naamini hata mvuta bhangi wa kawaida asingewezayasema hayo, sembuse yeye anayejipambanua kama mtumishi wa Mungu.. Simtetei Pengo kwa alichokisema lakini majibu ya gwajima ni ya punguwani tu anayeweza kusema vile.
 
Mpuuzi kweli wewe...!!!

Kwani maana ya Cardinal ni nini..???

Pengo hana ukuu wa Kanisa....Kila Jimbo lina Askofu wake...Na majimbo madogo yapo chini ya Arch Diocese ya mahali....

Usipende kuwa na confidence kwa mambo ambayo hujui...
 
Kama shetani na ibilisi anakemewa sembuse akina ask.Pengo ambaye hajawahi kuwa hata malaika wala kumwona Muumba wake tu!
 
fazili,


Kiongozi tatizo lako unaangalia Ulipoangukia badala ya kuangalia ulipojikwaa?! tafuta kiini au chanzo cha tatizo! panua wigo, ruhusu akili yako ivinjari kutafuta kwa nini Gwajima aliyasema aliyosema na kwa mpangilio ule,

style na msisitizo! Kwa nini Gwajima akamshukia Pengo na sio Malasusa au Kakobe au Bagonza?! vinginevyo utaishia kutukana, kukebehi na kuwaita watu majina yasiyona maana; simply shouting!! na mwisho wa siku you will achieve nothing substantial;

except wasted time and negative energy only!!
 
Last edited by a moderator:

Wewe Mahnaim hapo ndipo mwisho wa fikra zako potofu kwasababu umelelewa kwenye uhuni na hujui kutenganisha uhuni na ustaarabu. Ndivyo walivyo vijana wengi wa kitanzania siku hizi na mtu yeyote anayeshabikia matusi ya Gwajima kama wewe
 
MTK,

Hakuna mtu mwenye akili timamu anaweza support matusi yale ya Gwajima.....

Kama Gwajima alishawahi ugua kichaa hapo naweza sema huenda kulikuwa na recurrance..
 
Last edited by a moderator:
Kila mtu anamponda Gwajima, ngoja niitafute audio clip yake niisikilize alichosema kwanza ili nijue anastahili hizi lawama au vipi ili nikirudi hapa nipate cha kuchangia pasipo kufuata mkumbo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…