Jambo kama hulijui ni bora ukae kimya la sivyo utakuwa unajidhalilisha! unajua maana ya kardinali ni nini? unafahaamu makardinali pekee wa kila nchi ndio uwaklisha nchi katika mtaguso wowote wa vatican? maaskofu uteuliwa na papa baada ya majina kupendekezwa na kardinali wa nchi husika?? je unafahamu ni nani anaskofisha maaskofu Tanzania? Kardinali pengo ndio mkuu wa kanisa Katoliki Tanzania, balozi wa papa anafanya kazi zake za kidiplomasia kama mwakilishi wa vatican as a state but has no mandate or influence on any matters regarding the internal issues of Catholic Church
Asante kwa hekima zako!
Pumbavu,demokrasia ya wapi inasema uwaambie watu jinsi ya kupiga kura?
Alichokonesha wa jamii lazima kipingwe kwa nguvu zote kwani ni aibu kwa jamii ya wakristo nchini
Mkuu, ufinyu wetu wa kufikiri ndio huwa unatufanya kila kitu kulaumu tulipoangukia na si tulipojikwaa. Pengo kama Askofu amepungukiwa "collective responsibility" kama kiongozi katika hili tamko na haya ya Gwajima ni matokeo tu ya uzembe wa Askofu Pengo si kicheo wala kibinafsi. Hebu tukumbushame mheshimiwa Mrema kilichomkuta kufukuzwa uwaziri na Rais Mwinyi.ki ukweli ile kauli ya pengo ili kuwa direct sana...wajifunze tu no way out...
uwepo wa watu wanaosupport matusi ya gwajima ni ushahidi tosha kuwa watu wengi wameshaathiriwa na kuelemewa na umaskini kiasi kwamba hawawezi tena kutofautisha mema na mabaya. Hawana uwezo wa kutofautisha ya Mungu na ya shetani.huu ni utumwa wa kiwango cha juu kabisa. watu wanajitoa ufahamu hadi shetani mwenyewe anawashangaa
pengo anajiita padri wakati kazaaa watoto aende zake
Pengo aliongea kwa unyenyekevu na busara hata kama unampinga ulitakiwa useme kwa unyenyekevu
Na ni kwa nini mtumishi awe mnafiki!!?? umeandaliwa waraka akasaini na kuwa tayari usomwe kwenye makanisa siku ya ibada then anaibuka na hoja yake against mapadri na maaskofu wenzie,kuitwa mpuuzi kwa alichokifanya alistahili