muhamar Gadaf
JF-Expert Member
- Jul 5, 2017
- 1,098
- 1,056
"Pengo amekula maharage ya wapi sijui"Kwani huyo mchungaji alisema kauli gani
Inawezekana"Pengo amekula maharage ya wapi sijui"
Yaani kavimbiwa sasa anachafua hewa.
Mwisho wa Mwanzo wa gwajimaHakika mkuu naona matusi yake yameshaanza kumla mwenyewe.
Msimamo wangu uko palepale hauyumbi wala haubadiriki, Pengo ni mnafki tu period.Laana ya matusi yake nadhani umeiona!.
Sawa bosi ila nami nakuunga mkono kwenye hayo mengine isipokuwa matusi ya gwajima kwa pengo. Kusapoti hayo matuai ni sawa na kusapoti kutekwa kwa ndugu zetu kisa ni wakosoaji hilo si sawa. Badala yake tufuate mfumo wa kisheria katika kutoa uhukumu kwa wanaotukosea.Msimamo wangu uko palepale hauyumbi wala haubadiriki, Pengo ni mnafki tu period.
isitoshe kwangu muhimu ni report ya CAG, IMF, na kuachiwa watu waliotekwa. Hizo filamu zenu mnazotengeneza Holly wood mtajuwana wenyewe.
Huyo unayemuona wewe ni mkosowaji mimi macho yangu yanaona matusi anayoandika mtandaoni kwa verified ID.Sawa bosi ila nami nakuunga mkono kwenye hayo mengine isipokuwa matusi ya gwajima kwa pengo. Kusapoti hayo matuai ni sawa na kusapoti kutekwa kwa ndugu zetu kisa ni wakosoaji hilo si sawa. Badala yake tufuate mfumo wa kisheria katika kutoa uhukumu kwa wanaotukosea.
Ana chamba ndio lakini na yeye yame mkutaDuuh hahaha aise gwajima ana chamba
Usiwe na hofu wasomaji wapoMnaompinga magu mnapata tabu sana Jf.thread nyingi mpaka tunashindwa kusoma zote
Thats my lady, you never disapoint dear, baraka tele kwakoUsiwe na hofu wasomaji wapo