Audio: Alichosema Askofu Dkt. Josephat Gwajima kwa Kardinali Pengo

Leo nimeyakubali maneno ya gwajiboi dhidi ya askofu.
 
Mwaka 2015,Askofu Gwajima akiwa unaunga upande wa upinzani aliwai kudiriki na kumkashifu Mwadhama kardinari Pengo kuwa amekula maharage ya wapi huyu! Kwa hiyo sisi wakatoliki hii kumbukizi hatuwezi kuisahau kamwe bado tunayo katika mihoyo yetu
 
Huyu jamaa alimtukana sana mzee wetu!! Adhabu lazima ailipe!!
Kaweee mpo, vichinjio mnavyoooooo? Haya kitu kinakuja huko.. kishaelekezwa kibra ..nyie tu!!
 
Mwaka 2015,Askofu Gwajima akiwa unaunga upande wa upinzani aliwai kudiriki na kumkashifu Mwadhama kardinari Pengo kuwa amekula maharage ya wapi huyu! Kwa hiyo sisi wakatoliki hii kumbukizi hatuwezi kuisahau kamwe bado tunayo katika mihoyo yetu
Usiseme sisi sema mimi
 
Alifanya Kosa sana hakika
 
Mwaka 2015,Askofu Gwajima akiwa unaunga upande wa upinzani aliwai kudiriki na kumkashifu Mwadhama kardinari Pengo kuwa amekula maharage ya wapi huyu! Kwa hiyo sisi wakatoliki hii kumbukizi hatuwezi kuisahau kamwe bado tunayo katika mihoyo yetu
Huyo ndie chaguo la Ccm Kawe hivi ni Mkatoliki gani anae mheshimu Pengo ata mpa huyu mhuni kura? Ni Mkristo gani ata mpa huyu mzee wa makando kando kura. Ccm mme bugii... Kama mlivyo buggii Siha.. ATTACH=full]1543301[/A
 
Attachments

  • VID-20200820-WA0024.mp4
    6 MB
Technologia huwa haisahau kama sisi binadamu....

Hiyo clip lazima itembee kawe nzima...wakatoriki mpooo....
 
Huyo ndie chaguo la Ccm Kawe hivi ni Mkatoliki gani anae mheshimu Pengo ata mpa huyu mhuni kura? Ni Mkristo gani ata mpa huyu mzee wa makando kando kura. Ccm mme bugii... Kama mlivyo buggii Siha.. ATTACH=full]1543301[/A
Kwa hivyo akiruka juu ma bodyguard nao wanaruka!?
 
Duh...!.
Japo siungi mkono kauli hizi za Gwajima kumtukana Pengo, ila
Wanabodi, kwenye siasa, hakuna rafiki wa kudumu, wala adui wa kudumu, kuna just common interest.
Japo katika bandiko hili, nilitofautiana na Gwajima, lakini kufuatia kwa sasa ni mimi ni kada, na mgombea aliyepitishwa na chama chetu kwa jimbo la Kawe ni Gwajima, naomba kudeclare kuwa sasa namuunga mkono Gwajima 100% kwa 100% nikalikomboe jimbo, tulirejeshe CCM!.
Mimi na Gwaji Boy...dam dam!.
P
 
Kwahiyo askofu wako unakubali atukanwe kijinga?
 
Kwahiyo askofu wako unakubali atukanwe kijinga?
Mkuu Kushina cha Mshahara, mbona nimeongea wazi kabisa kuwa siungi mkono kauli za Gwajima dhidi ya Mwadhama Polycarp, Kardinali Pengo, na tena sio hivyo tuu, humu jf hata huo Uaskofu au Uchungaji wa Gwajima nina mashaka nao kama Gwajima ni mtumishi wa Mungu kweli au ni mtumishi wa mungu tuu!,

Lakini nikasema kwenye politics hakuna rafiki wa kudumu wala adui wa kudumu, maadam sasa mimi ni mwana CCM, na Askofu Gwajima ndiye aliyepitishwa kuwa mgombea wetu Kawe, then ninawajibu sio tuu wa kumuunga mkono, bali kusimama kwenye majukwaa ya kisiasa na kumnadi!.

Kwavile tayari hizi kauli zake za kiajabu ajabu zipo na zitatumiwa na wapinzani wetu kum discredit kwa wapiga kura wa Kawe, this is where I will come along to mitigate this, dilute them, neutralising them and turn them into harmless comments before kampeni hazijaanza, ili by the time wenzetu wanakuja kutaka kuzitumia against us, wanajikuta, they are nothing at all!.

Oktoba 28 ni mashindano kati ya Reality vs Ahadi Hewa?, Je, Watanzania watachagua nini kati ya visible tangible Deliverables vs The Empty Promises?

P
 
Poa we mtetee sisi tutamboa mkosa haya na mtaka kuuteketeza uislamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…