Audio: Alichosema Askofu Dkt. Josephat Gwajima kwa Kardinali Pengo

This is too much..

ni kweli kuwa Pengo ameonyesha udhaifu mkubwa wa kiuongozi - kutokuheshimu collective respondibility ya maamuzi ambayo alishiriki katika vikao vilivyofanya maamuzi hayo.

ni kweli kuwa Pengo ana-deserve reaction inayosikika kwenye hii audio clip. he asked for it!

but....si sahihi kabisa kwa reaction ya aina hii kutolewa na kiongozi mkubwa wa kanisa kama Gwajima. 2 wrongs don't make it right. he should have sent his message across differently...

kama Pengo ali.....jamba, basi Gwajima kaji.....harishia!
 
vijana wa chadema kwa double standard ,wanamkosoa pengo sababu tu kapingana na maaskofu wenzie,ila wanampongeza sheikh wa wilaya bagamoyo,kwa kukanusha kauli ya masheikh wengi

Chadema imeingiaje tena hapa mkuu?? Au umedandia treni kwa mbele?
 

Kichaa ni yupi kati ya hawa? anayeongoza kondoo wake shimoni au anayetaka wavuke salama?
 

Huyo Pengo yeye kapata wapi hayo mamlaka ya kutetea hiyo katiba ya Sita na Chenge? Wacha porojo!
 
Duh, anachamba nakurudia rudia kama yuko Kwenye Kigodoro, angemueleza kwa hekma sio Kwa vijembe, sasa kuna tofauti gani naona Ya yeye na huyo Pengo?
 

"Mbona serikali inatuambia tukapige kura ya ndio"Hapa ndipo tulopofika na bado tupo njian nyie subrikini!!
 

Mkuu umemaliza kila kitu. Ndo maana amefananishwa na ZZK.
 
Pengo hastahili kutukanwa kama gwajima alivyofanya!! Kama MUNGU angekuw anatuadhibu pale tunapokoseq sidhani kama duniani pangekalika ila yeye gwajima anaeneza neno la Mungu kakosea sana!!!

Mkuu kuna matendo ambayo malipo yake ni hapa hapa duniani. Haya ni mbali na adhabu au malipo ya mungu.
 

Kwa hiyo kama mjumbe mmoja hakuwepo lakini korumu ya wenzake imetimia na kuweka maazimio ya kikao rasmi na msemaji akatangazia uma maamuzi ya kikao huyo Pengo anaweza kubadilisha? Nini sasa maana ya kuwa na kikao na kufanya maamuzi?
 
Ahsante sanaaaa GWAJIMAAAAAAAA, mpe vyake huyo kibaraka wa Kikwete, ameshashiba pesa za ESCROW anaropoka tuu. Mpe vyakeeeeeee, shenzi kabisa huyo Pengo.
C sahihi sana kutoa matusi kwenye jukwaa la mawazo huru. Pia moderator ni utamaduni mpya wa kutoa matusi kwa mawazo pingana?
 
Kanisa Katoliki si chama cha siasa kwamba linafuata misingi ya wengi wape. Kanisa Katoliki ni biblia na canon laws full stop.

Nani kazungumzia siasa hapa? Issue ni kikao walichokaa wenzake na kufanya maamuzi, yeye si ni mjumbe tuu kama wenzake? Kama angekuwa na maamuzi pekee kuna haja gani ya kuwa na hilo baraza?
 
Asisitiza hakuna MAHAKAMA, POLISI WALA BUNGE lenye mamlaka ya kumfanya chochote.

Nimeaattach clip yote.

Mytake: Pengo anastahili heshima zote, si sahihi kutukanwa kwa kutoa mawazo yake hata kama huyapendi. Nawaomba vyombo va sheria vimchukulie hatua kali
 

Attachments

Pengo baada ya kujipendekeza CCM hata mimi nimemdharau sana
 

Very well said!!
 
Pendo ndo kajidharirisha, Pengo ni mpumbavu hata mimi namuunga mkono Gwajima, kwa hali ya sasa ya Tanzania hakuna mtu mwenye akili timamu ataunga mkono MAHAKAMA YA KADHI.

Kwa hiyo ulitaka Pengo atulazimishe anachotaka yeye au kanisa ndio liamue kwamba sema ndio au hapana, kila mtu ana haki yake anachotaka na ukizingatia Tanzania ni nchi ya demakrasia utachagua unachotaka na sio kusurutishwa na mtu kama anavyotaka gwajima.

Sema jingine kama una chuki na Pengo, lakini hapo Pengo yupo sawa. Pengo ni kichwa anajua nini anachofanya sio gwajima kutaka umaarufu wa kujitafutia wateja kanisani pake.

GWAJIMA HAMNA KICHWANI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…