Audio: Emmanuel Gekul akitoa vitisho vya kutaka kumdhuru anayedaiwa kusambaza Video ya kijana aliyefanyiwa ukatili na Pauline Gekul

Huyu mama ansema huyo Emma ndiye aliyeanza kumtumia meseji za vitisho.
 
Ila TANZANIA nyko kiongozi hata akutwe na kashfa lakini kuachia nafasi yake haachi mpaka atunguliwe
Wenzetu mbele kiongozi akikutwa na kashfa mwenyewe Ana resign

Ova
Na kweli boss kwa nchi masikini ni ngumu sana
Huku kashfa kama hiyo hata mme anamuacha let alone yeye kuachia ngazi maana ni aibu kubwa sana
Reporters wanasumbua mpaka unaikimbia nyumba
Ila kwa huku naona familia inatetea ujinga
Emma kaingia kichwa kichwa 😄
 

Hawa jamaa wanashindwa kujua hekima ndogo tu. "Ukikaa kimya kipindi ya mtafaruku, hata ukiwa huna busara utaoneka unazo"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…