Audio: Emmanuel Gekul akitoa vitisho vya kutaka kumdhuru anayedaiwa kusambaza Video ya kijana aliyefanyiwa ukatili na Pauline Gekul

Audio: Emmanuel Gekul akitoa vitisho vya kutaka kumdhuru anayedaiwa kusambaza Video ya kijana aliyefanyiwa ukatili na Pauline Gekul

Hapo kategeshwa tuu na huyo mama. Huyo mama kampigia simu mwenyewe with malice kwa lengo la ku aggravate tatizo kuimsliza familia nzima. Unaona jinsi alivyokuwa anamvutia pole pole huku aki mprovoke kitaalamu. Kwa vyovyote ndugu yako akiwa kwenye peril lazima uta provoke kirahisi
Huyu mama ansema huyo Emma ndiye aliyeanza kumtumia meseji za vitisho.
 
Ila TANZANIA nyko kiongozi hata akutwe na kashfa lakini kuachia nafasi yake haachi mpaka atunguliwe
Wenzetu mbele kiongozi akikutwa na kashfa mwenyewe Ana resign

Ova
Na kweli boss kwa nchi masikini ni ngumu sana
Huku kashfa kama hiyo hata mme anamuacha let alone yeye kuachia ngazi maana ni aibu kubwa sana
Reporters wanasumbua mpaka unaikimbia nyumba
Ila kwa huku naona familia inatetea ujinga
Emma kaingia kichwa kichwa 😄
 
Undugu unauma, hakuna mtu anayependa kusikia habari mbaya za ndugu yake baada ya kuharibu. Usiombe uzingirwe na Wana harakati na Wana habari baada ya kutenda kosa. Hizi habari ni nzuri ukiwa unazisikiliza zikiwa hazikuhusishi wewe Wala ndugu yako. Ni vyema mambo haya yashugulikiwe kwa mujibu wa sheria, hapo huyo mwanamke amezalisha kosa kwa kumtegesha huyu ndugu yake ambaye yupo matatizoni. Anataka kuiingiza familia nzima kwenye makosa. Ukipata tatizo ndio utamjua ndugu yako na jirani yako wa kweli ni yupi

Hawa jamaa wanashindwa kujua hekima ndogo tu. "Ukikaa kimya kipindi ya mtafaruku, hata ukiwa huna busara utaoneka unazo"
 
Back
Top Bottom