Audio: Emmanuel Gekul akitoa vitisho vya kutaka kumdhuru anayedaiwa kusambaza Video ya kijana aliyefanyiwa ukatili na Pauline Gekul

Audio: Emmanuel Gekul akitoa vitisho vya kutaka kumdhuru anayedaiwa kusambaza Video ya kijana aliyefanyiwa ukatili na Pauline Gekul

Hawa wanaonekana ni wajinga, ndiyo maana wana drama kiasi hicho.
Wenyewe hawajui katika kipindi ambacho wanapaswa kukaa kimya na kuwa na utulivu wa akili ni hiki.
Ona sasa wameingia kwenye mtego. Hasira mbele busara nyuma zilimponza Mr mende kupinduka miguu juu kabla ya kufa. By Chuchu Sound.
Wana drama kama Makonda.
 
Aisee aisee aisee
CCM imejaa wauaji balaa.
Lucas mwashambwa

Gekul ni kimeo chenu na huyu naye ndugu yake naye mule mule.

Familia za viongozi zinaakisi tabia za viongozi. Endeleeni kupeana teuzi za kufarijiana huku mkiiangamiza nchi
Hiyo ndiyo falsafa yao ya CCM mbele kwa mbele kwa kupora,kuua,kupiga,kudhulumu na kulawiti.
 
Back
Top Bottom