Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Emma na Pauline Gekul wameingia kwenye 18 za watanzaniaWabongo wakikubahatisha utakoma
Unaandika upuuzi gani , Chadema iliwahi kumchinja nani ?Kipindi cha Mapanga na Marungu?
Wana drama kama Makonda.Hawa wanaonekana ni wajinga, ndiyo maana wana drama kiasi hicho.
Wenyewe hawajui katika kipindi ambacho wanapaswa kukaa kimya na kuwa na utulivu wa akili ni hiki.
Ona sasa wameingia kwenye mtego. Hasira mbele busara nyuma zilimponza Mr mende kupinduka miguu juu kabla ya kufa. By Chuchu Sound.
Hawa wamewekewa mbuchuchu/chambo halafu wanameza ndoano. Siasa zilivyokuwa zakiwaki lazima kuna watu watachukulia ujiko kwao.Wabongo wakikubahatisha utakoma
Hayo kasema Emmanuel Gekul bwashee 😄😄Unaandika upuuzi gani , Chadema iliwahi kumchinja nani ?
Zao la ChademaHuyu Mjinga akamatwe haraka
Hiyo ndiyo falsafa yao ya CCM mbele kwa mbele kwa kupora,kuua,kupiga,kudhulumu na kulawiti.Aisee aisee aisee
CCM imejaa wauaji balaa.
Lucas mwashambwa
Gekul ni kimeo chenu na huyu naye ndugu yake naye mule mule.
Familia za viongozi zinaakisi tabia za viongozi. Endeleeni kupeana teuzi za kufarijiana huku mkiiangamiza nchi
Emamanel Gekul na dada yake ni chama gani bwashee?Hayo kasema Emmanuel Gekul bwashee 😄😄
Au una bando la Jero!
Huyo dogo mjingaCrdb inabidi wamchukulie hatua huyu.... Anaaibisha hadhi ya kampuni
Wewe ni mpumbavu tu kama wapumbavu wengine kosa watende akina Gekul hukumu ahukumiwe Mbowe kisa Mchaga,pumbavu zenu wauaji wakubwa ninyi.Hii ni evidence nzuri sana kuwa Lisu alipigwa risasi na Mbowe. Mbowe anaongoza genge la wezi, mauaji
Dada yake CCM yeye yuko Ufipa st kwenye amsha amsha za Mapanga Shwaaa 😂Emamanel Gekul na dada yake ni chama gani bwashee?
Acha uchochezi. Tutakuita sentro 🤣Duh
"Unakumbuka amsha amsha za Chadema tulitumia Mapanga na Marungu?"
"Kuwa kama mchagga wewe "
"Ulishawahi kuona mchagga anamuangamiza mchagga mwenzake hata kama amekosea?"
😂😂😂😂😀😀🔥
Tumekusikia, kesho asubuhi anakutana na Termination Letter.Crdb inabidi wamchukulie hatua huyu.... Anaaibisha hadhi ya kampuni
Angeachia mwenyewe bila kuambiwaKazi iendele.
Ulaya mpaka dakika hii pauline asingekuwa mbunge