Masulupwete
JF-Expert Member
- Feb 15, 2012
- 2,366
- 2,424
mkuu umetoa wapi hayo mambo ya kutiana? mwenzio keshasema "anaitaji mtu wa karibu wa kumwangalia na kumsaidia kwa ukaribu".Sasa na hicho kisukari chake, ataweza kumtia vizuri huyo mkewe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu umetoa wapi hayo mambo ya kutiana? mwenzio keshasema "anaitaji mtu wa karibu wa kumwangalia na kumsaidia kwa ukaribu".Sasa na hicho kisukari chake, ataweza kumtia vizuri huyo mkewe?
Kanuni moja na ya pekee ambayo inaweza kubadilisha kiapo cha ndoa ni haki ya " consummation" kwa wanandoa. Haijalishi ni ukubwa wa tango ama kibamia, bali ni uwezo wa mwanamme kupeleka moto na kuzalisha.mkuu umetoa wapi hayo mambo ya kutiana? mwenzio keshasema "anaitaji mtu wa karibu wa kumwangalia na kumsaidia kwa ukaribu".
Huyu ni Mwanasiasa kumbuka.Anaoaje wakati wa maombolezo ya mkewe alisema nanukuu
"Ni afadhali kwa namna nilivyokuwa nampenda mke wangu ningetangulia mm;
Je kama angetangulia yy je mkewe angepata mtu wa kumuoa?
Kuna mahali huyu mzee anamkosea mkewe na Mungu pia
Nani wa kumsaidia kufua chupi zake?Hatari Sana
Mzee Anataka Kuzaa Ama Ni Ndoa Tu
[emoji23][emoji23][emoji23].wazee wa Kanda maalum ni shidaaa!!Mzee anajibu mapigo ya marehemu mzee mengi na mzee kapuya ataki kushindwa
Mtu kama Mrema anashindwa kununua mashine ya kufua nguo hata hizo za ndani? Sema tu analake jambo maana siku hizi ukiwa na hela uzee umerahisishwa kwa vitu vya kufanya Kila kazi iwe kupika Kuna vyombo kama pressure cooker iwe kuosha vyombo Kuna dish washer na nguo Kuna washing mashine ambazo hata huyo mwanamke atatumia Ili apate muda wa kuwa naye.Usemacho ni kwelii ukilitazama kwa upande mwingine mzee kaona mbalii nani wa kumsaidia mambo yake binafsi kama si mke si jambo jema kwa mzee kama yule kuajiri mtu wa kumsaidia mambo yake mfano, magonjwa kufua nguo zake hususani za ndanii
Kapuya hajibiki...kwani anaupiga mwingi...Anamjibu Kapuya