Augustino Mrema kufunga ndoa Machi 24, 2022. Amepata kimwana mdogo

Augustino Mrema kufunga ndoa Machi 24, 2022. Amepata kimwana mdogo

mkuu umetoa wapi hayo mambo ya kutiana? mwenzio keshasema "anaitaji mtu wa karibu wa kumwangalia na kumsaidia kwa ukaribu".
Kanuni moja na ya pekee ambayo inaweza kubadilisha kiapo cha ndoa ni haki ya " consummation" kwa wanandoa. Haijalishi ni ukubwa wa tango ama kibamia, bali ni uwezo wa mwanamme kupeleka moto na kuzalisha.

Kama mwanaume huwezi kupeleka moto wa uhakika, hiyo huwa ni ndoa batili. Mwanamke haiachi familia yake kwa ajili ya hadhi ya kutolewa tu, bali ni katika kuridhishwa na majukumu halisi ya mume kwake.
 
Anaoaje wakati wa maombolezo ya mkewe alisema nanukuu
"Ni afadhali kwa namna nilivyokuwa nampenda mke wangu ningetangulia mm;
Je kama angetangulia yy je mkewe angepata mtu wa kumuoa?
Kuna mahali huyu mzee anamkosea mkewe na Mungu pia
Huyu ni Mwanasiasa kumbuka.
 
MKE WA KUMSAIDIA KWA SBB YEYE MZEE, SIO UNYUMBA.
HAPA MA EX NDIPO TUNAPO INGIA.
 
Usemacho ni kwelii ukilitazama kwa upande mwingine mzee kaona mbalii nani wa kumsaidia mambo yake binafsi kama si mke si jambo jema kwa mzee kama yule kuajiri mtu wa kumsaidia mambo yake mfano, magonjwa kufua nguo zake hususani za ndanii
Mtu kama Mrema anashindwa kununua mashine ya kufua nguo hata hizo za ndani? Sema tu analake jambo maana siku hizi ukiwa na hela uzee umerahisishwa kwa vitu vya kufanya Kila kazi iwe kupika Kuna vyombo kama pressure cooker iwe kuosha vyombo Kuna dish washer na nguo Kuna washing mashine ambazo hata huyo mwanamke atatumia Ili apate muda wa kuwa naye.
 
Vijana endeleeni kwenda gym mzee anaoa
IMG-20220321-WA0025.jpg
IMG-20220321-WA0024.jpg
 
nitakuwa naenda makomu hapo kwa raymond kila wekeend kumsaidia huyu mzee majukumu ya kitandani
 
hawa wazaee wanaokimbiliaga kuoa vibinti huwa wanajitafutiaga vifo kwa kupenda wao.
 
Back
Top Bottom