Aunt Ezekiel: Tununue bongo movie, movie za mbele hazituhusu

Aunt Ezekiel: Tununue bongo movie, movie za mbele hazituhusu

Yaani manzi yangu huwa ana swaga za kuangalia bongo movie huwa ananiboaaaaa.........maana mimi mtu akiwamfuatiliaji wa bongo movie sijui huwa namuonaje?!
 
Watu wengi wanazipotezea bongo movie kwasababu sio wabunifu wanatengeneza kazi mbovu yaani jambazi anavua viatu kuingia kufanya tukio!
20aecc8e906dc6be43d324f47c9fb8f2.jpg
Hakuna jipya ambalo katika tasnia yoyote lakini je ubunifu wanao ? wanavaa husika ? mtu anaigiza kufiwa ukimtizama usoni yeye anacheka sasa weye mtizamaji utahuzunika vipi ? warudi enzi za kina mama tekla mgaya mzee kambaulaya au mashaka utaona kama watu hawatavutiwa pana igizo moja nadhani liliitwa hujafa hujaumbika Chris mhenga alisimama kweli pale kina mzee kipara na mama haambiliki (rip )ilikuwa mtu unavutika kutizama .
Sasa hawa yupo kijijini hajawahi fika mjini lakini unamuona ana Brazilian hair unabaki kushangaa
 
Kickass torrent
Yiyf torrent
Piratebay torrent
Torrentz
Ingia hapo juu kupakua movies za mbele.Piga chini hizo Bongo movies
 
Msanii wa Bongo movie aunt ezekiel amedai bongo movie bado ina uhai ila soko limedorora kidogo, lakini kudorora huko ni kutokana na watanzania kutopenda vitu vya kwao
Amesema ni bora kununua bongo movie kuliko kununua movie za nje ambazo haziwahusu na za kutafsiriwa

Kwani Za Bongo zinatuhusu.Aende akakatike viuno kwenye mkutano wa CCM
 
Bongo movie bhana eti mtu amekaa anawaza miaka ya nyuma wakati yupo unapigwa wimbo wa DARASA muziki hivi kweli utapata hamu ya kuangalia hizo movie zao kweli????

Au mtu anawaza kipindi cha utoto wake tena utakuta kwenye screen wanaandika 1992 kisha unaona gari aina ya kirikuu(Suzuki carry) tena ikiwa na huu mfumo wa namba wa T000DFG badala ya ule wa TZ kama ilivyokuwa kipindi husika . Uhalisia upo wapi ili umshawishi Mtanzania aipende kazi yako ewe mbongo movie.
 
Ongezeni basi standards kwenye bongo movie.
Especially pale kwenye sub tittles yaani inatia kinyaa. Halafu pia script writers pia wajiongeze maana sehemu kubwa ya hizi movies ni vinanda vitupu hakuna maongezi zaidi ya kinanda na kuonyesha jiji la dar maghorofa na bahari...
 
Makuwadi wakubwa aoo mazaa fantaaa. ........wakauze lumumba.
Screenshot_2017-01-06-19-21-23.png
 
Scenes 3 tu wanakwambia WATCH PART 2 [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hapo tu ndio panapo boa
 
ila kiukweli bongo movie bado sanaa..zitaishia kutazamwa na house girls tu..
mwisho wa mwaka 2016 nilikuwa nafatilia tuzo za Korea kule nilichokuja kugundua mbali na vipaji walivyo navyo wale waigizaji pia ni wasomi sana wana masters za na degree za masuala ya uigizaji..
sasa imagine mtu anakipaji cha kuigiza jumlisha na elimu ya masuala ya uigizaji hapo kitu kinachotoka ni perfect combo😀😀😀😀😀

sisi tuna force kipaji na exposure ya masuala ya uigizaji Zero

yaani Mtanzania akiwa na makalio makubwa na sura nzuri tu basi nae anajua kuigiza WTF😛😛😛😛😛
Nilimsikia ray kwa masikio yangu akisema kwa waigizaji wa kike mostly wanaangalia mvuto yaan hata hujui kuigiza kazi utapata
 
Yaani nipoteze masaa mawili ya maisha yangu, kuangalia Bongo Movie, kweli?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] eti masaa mawili ya maisha yako... Really
 
Sanaa inahitaji ubunifu ambao unakuja kwa kutokana na udadisi, unaoonglea hizo movie za Hollywood nyingi zimetokana na novels. Uliza wasanii wetu mwaka uliopita tu wamesoma vitabu vingapi? Ukiamua kufanya kitu kuwa occupation yako unahitaji kujenga passion na kitu hicho. Mfano ukisoma murder she wrote, unaangalia utamaduni wetu, unachanganya na current technology available. Hapa ndiyo ninapoona tatizo.
wana vipaji mkuu.
hata geneous mwenyewe anaenda shule sasa movies za bongo mtu hata herufi "a" hajui Leo actor....
wana vipaji ............vaya kuonesha their own bared land hahahhahahahha
 
Hata wagawe cd bure siangalii,za kikorea na marekani aangalie nani? Hao wenyewe hawaangalii hizo muvi
 
Back
Top Bottom