FYATU
JF-Expert Member
- Dec 7, 2011
- 5,567
- 4,683
Possibly...au aliruka ukuta/geti kuingia.Inawezekana pia, huyo jambazi labada alivua viatu ili kunyata na kupanda madirishani kwa urahisi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Possibly...au aliruka ukuta/geti kuingia.Inawezekana pia, huyo jambazi labada alivua viatu ili kunyata na kupanda madirishani kwa urahisi
Hakuna jipya ambalo katika tasnia yoyote lakini je ubunifu wanao ? wanavaa husika ? mtu anaigiza kufiwa ukimtizama usoni yeye anacheka sasa weye mtizamaji utahuzunika vipi ? warudi enzi za kina mama tekla mgaya mzee kambaulaya au mashaka utaona kama watu hawatavutiwa pana igizo moja nadhani liliitwa hujafa hujaumbika Chris mhenga alisimama kweli pale kina mzee kipara na mama haambiliki (rip )ilikuwa mtu unavutika kutizama .Watu wengi wanazipotezea bongo movie kwasababu sio wabunifu wanatengeneza kazi mbovu yaani jambazi anavua viatu kuingia kufanya tukio!![]()
Bwahaha. .umenichekesha sana walahii. .Watu wengi wanazipotezea bongo movie kwasababu sio wabunifu wanatengeneza kazi mbovu yaani jambazi anavua viatu kuingia kufanya tukio!![]()
Hata mie huwa sipotezi muda wangu kuangalia,mwanzo wa muvi tu tayari unajua mwisho utakuwajeMimi ndo hata siangaliagi
Anaogopa kuchafua tilesWatu wengi wanazipotezea bongo movie kwasababu sio wabunifu wanatengeneza kazi mbovu yaani jambazi anavua viatu kuingia kufanya tukio!![]()
Msanii wa Bongo movie aunt ezekiel amedai bongo movie bado ina uhai ila soko limedorora kidogo, lakini kudorora huko ni kutokana na watanzania kutopenda vitu vya kwao
Amesema ni bora kununua bongo movie kuliko kununua movie za nje ambazo haziwahusu na za kutafsiriwa
Especially pale kwenye sub tittles yaani inatia kinyaa. Halafu pia script writers pia wajiongeze maana sehemu kubwa ya hizi movies ni vinanda vitupu hakuna maongezi zaidi ya kinanda na kuonyesha jiji la dar maghorofa na bahari...Ongezeni basi standards kwenye bongo movie.
Nilimsikia ray kwa masikio yangu akisema kwa waigizaji wa kike mostly wanaangalia mvuto yaan hata hujui kuigiza kazi utapataila kiukweli bongo movie bado sanaa..zitaishia kutazamwa na house girls tu..
mwisho wa mwaka 2016 nilikuwa nafatilia tuzo za Korea kule nilichokuja kugundua mbali na vipaji walivyo navyo wale waigizaji pia ni wasomi sana wana masters za na degree za masuala ya uigizaji..
sasa imagine mtu anakipaji cha kuigiza jumlisha na elimu ya masuala ya uigizaji hapo kitu kinachotoka ni perfect combo😀😀😀😀😀
sisi tuna force kipaji na exposure ya masuala ya uigizaji Zero
yaani Mtanzania akiwa na makalio makubwa na sura nzuri tu basi nae anajua kuigiza WTF😛😛😛😛😛
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] eti masaa mawili ya maisha yako... ReallyYaani nipoteze masaa mawili ya maisha yangu, kuangalia Bongo Movie, kweli?
Hii nyumba naijua,mwenye nayo aliwaambia wasiingie na viatu ndani!Watu wengi wanazipotezea bongo movie kwasababu sio wabunifu wanatengeneza kazi mbovu yaani jambazi anavua viatu kuingia kufanya tukio!![]()
Siri ya mtungi huwezi fananisha kabisa na Bongo muvi... Ile ni levo nyingineKama sikosei ni Siri ya mtungi
wana vipaji mkuu.Sanaa inahitaji ubunifu ambao unakuja kwa kutokana na udadisi, unaoonglea hizo movie za Hollywood nyingi zimetokana na novels. Uliza wasanii wetu mwaka uliopita tu wamesoma vitabu vingapi? Ukiamua kufanya kitu kuwa occupation yako unahitaji kujenga passion na kitu hicho. Mfano ukisoma murder she wrote, unaangalia utamaduni wetu, unachanganya na current technology available. Hapa ndiyo ninapoona tatizo.