Wewe ni mjinga,acha kunywa K Vant asubuhi asubuhi!Sasa wamesca, si lazima walinde usalama wa kwao? Au?
Hkuna ushabiki, usiwe mjinga, Tnzania tunasheria inayoruhusu kuwinda na kuwajausha wanyama na kuwasafirisha.
Tuna sheria mpaka ya kusafirisha wanyama wakiwa hai. Tusiwe wajinga.
Kuna vyure tumepeleka USA tena tunavilipia kuwekwa huko. Au ulikuwa hujazaliwa bado? Soma kuhusu vyura wa kihansi.
Usifikiri watu wote tu wajinga kama mwewe, hata sheria za kwenu huzijuwi.
Nani akununuwe wewe, enzako wenye soko mbona wanachukuliwa kwa maelfu kila mwaka.Ila hawa Majambazi wa CCM usijekukuta ata sisi raia wa Tanganyika tunatafutiwa soko mahala tuuzwe![emoji1787]
Wewe ni mpumbavu sana hao hao wanaoua watu ndio hao hao wanaoiba rasilimali za nchi yetu kwa kutumia makaratasi kwa njia zisizofaa.
Haijalishi. Hskuna sheria ya Tanzania iliyovunjwa.Waziri wa utalii alikuwa nani
alafu walalahoi wakikamatwa hata na mboga pori wanakula miaka ya kutosha!
Wewe huna thamani ya kuuzwa nje ya Tanzania, hata ngozi ya kenge in thamani kuliko wewe.Wewe ni mjinga,acha kunywa K Vant asubuhi asubuhi!
Vyura wa Kiansi ile Project inaeleweka na ipo kisheria pale hakuna smuggling kama Ili tukio la Australia.
Wewe ndio waziri wautariiaje atuambie ualali wakeHakuna uhujumu wowote hapo, unafahamu maana ya uhujumu uchumi wewe?
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga? Som hii nini?:
Tanzania kuendesha mnada wa vitalu vya uwindaji; wawindaji kuruhusiwa kuua Tembo, Simba na wanyama wengine wazee
Tanzania inakusudia kuendesha mnada wa vitalu vya uwindaji, ambapo wawindaji wataruhusiwa kuwaua Tembo, Simba na wanyama wengine wazee. Mnada huo unakusudiwa kuzalisha TZS bilioni 69.6, na 25% ya fedha hizo zitaelekezwa kuzisaidia jamii zinazoishi jirani na vitalu hivyo.www.jamiiforums.com
Kasome tena ha[po ulipopajibu, yalea maandishi ya blue bofya, utaukuta uhalali wake.Wewe ndio waziri wautariiaje atuambie ualali wake
Hakuna tatizo, wakiwahesabu simba na chui wote ndipo itajulikana kama kuna upungufu au la, inawezekana wametoka Kenya kwani ndege ilipita juu ya anga ya Kenya.Ni nyara za serikali zilizokamatwa kwenye makasha makubwa kwenye uwanja wa ndege nchini Australia, inasemekana zimepakiwa kutoka KIA nchini Tanzania, nani anahusika na uhujumu huu? Serikali itoe tamko. Tazama video.
View attachment 2742926
Siku hizi Hakuna cha wachache ni wote.Hawa ndio watu tuliowapa madaraka na kusema ni wazalendo haswa.
Lakini kuna wachache wanaotumia mianya kujinufaisha wenyewe.
Nasikia kule kwa wamasai kuna ka skendo ka hivyo?!Hahaha!! Mambo ya KIZIMKAZI hayo na bado kukuta binadamu kafanywa ivyo tu.