Australia wakamata ngozi halisi za Simba na Chui zilizotengenezwa kama mazulia kutoka Tanzania. TAWA yasema inafanya uchunguzi

Australia wakamata ngozi halisi za Simba na Chui zilizotengenezwa kama mazulia kutoka Tanzania. TAWA yasema inafanya uchunguzi

Sasa wamesca, si lazima walinde usalama wa kwao? Au?

Hkuna ushabiki, usiwe mjinga, Tnzania tunasheria inayoruhusu kuwinda na kuwajausha wanyama na kuwasafirisha.

Tuna sheria mpaka ya kusafirisha wanyama wakiwa hai. Tusiwe wajinga.

Kuna vyure tumepeleka USA tena tunavilipia kuwekwa huko. Au ulikuwa hujazaliwa bado? Soma kuhusu vyura wa kihansi.

Usifikiri watu wote tu wajinga kama mwewe, hata sheria za kwenu huzijuwi.
Wewe ni mjinga,acha kunywa K Vant asubuhi asubuhi!
Vyura wa Kiansi ile Project inaeleweka na ipo kisheria pale hakuna smuggling kama Ili tukio la Australia.
 
Ila hawa Majambazi wa CCM usijekukuta ata sisi raia wa Tanganyika tunatafutiwa soko mahala tuuzwe![emoji1787]
Nani akununuwe wewe, enzako wenye soko mbona wanachukuliwa kwa maelfu kila mwaka.

Umelala usingizi mnono sana.
 
Alafu anakuja mpumbavu mmoja huko anaanza kubweka mbwa koko " mama anaupiga mwingi" ndio kupiga huko 🤔🤔 au ndio maana halisi ya kula kwa urefu wa kamba na kufinyana kidogo 🤔🤔, yani wazungu wanasikitika na kuona kilicho fanyika ni jambo la aibu lakini hawa waliopewa madaraka Wala hata hawaoni ubaya kwenye huu upumbavu wanao fanya 😡😡😡 alafu anatoka mbele anauliza eti hizo pesa mnazo kwapua mtazikwa nazo hamjatosheka tuu, 😡😡😡 maskini uswahilini hapa tumepigwa za kichwa nyingi sana
 
Å
Wewe ni mpumbavu sana hao hao wanaoua watu ndio hao hao wanaoiba rasilimali za nchi yetu kwa kutumia makaratasi kwa njia zisizofaa.

Mimi ndiye mpumbavu na wewe una akili nyingi usiyejali kuuliwa maelfu ya watu huku Zanzibar na unasikitikia kuuliwa Simba . Yaani Simba ni bora na ni rasilimali zaidi kuliko binaadamu?
 
Wewe ni mjinga,acha kunywa K Vant asubuhi asubuhi!
Vyura wa Kiansi ile Project inaeleweka na ipo kisheria pale hakuna smuggling kama Ili tukio la Australia.
Wewe huna thamani ya kuuzwa nje ya Tanzania, hata ngozi ya kenge in thamani kuliko wewe.

Kwa ujuha huu unaouonesha, wewe endelea kuishi maisha yako ya kajamba nani.
 
Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Yatoa Ufafanuzi.

Kuhusu video hiyo, zaidi soma Australia wakamata Simba na Chui waliouawa na kusindikwa kutoka Tanzania

Nyara.jpg
Nyara 2.png
 
Hakuna uhujumu wowote hapo, unafahamu maana ya uhujumu uchumi wewe?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga? Som hii nini?:

Wewe ndio waziri wautariiaje atuambie ualali wake
 
Tunaendelea kuwachekea tuliowapa madaraka mwisho wa siku tutajikuta tumekaa juu ya mawe
 
Wewe ndio waziri wautariiaje atuambie ualali wake
Kasome tena ha[po ulipopajibu, yalea maandishi ya blue bofya, utaukuta uhalali wake.

Unaonesha bado hata kutumia mtandao upo finyu.
 
Ni nyara za serikali zilizokamatwa kwenye makasha makubwa kwenye uwanja wa ndege nchini Australia, inasemekana zimepakiwa kutoka KIA nchini Tanzania, nani anahusika na uhujumu huu? Serikali itoe tamko. Tazama video.

View attachment 2742926
Hakuna tatizo, wakiwahesabu simba na chui wote ndipo itajulikana kama kuna upungufu au la, inawezekana wametoka Kenya kwani ndege ilipita juu ya anga ya Kenya.
 
Msimamizi (Mhifadhi mkuu) mwenyewe ni kada wa CCM, msanii wa nyimbo na pia aliwahi kuwa mbunge viti maalumu kwanini WIZI usifanikiwe na yeye anajinasuaje na tuhuma hii ya utoroshaji wa nyara za serikali?

Aibu sana serikali hii, scanner za uwanja wa ndege JNIA ai KIA kushindwa kubaini kilichofungashwa ndani ya mzigo!
 
Aisee! Rubi ilionekana Dubai, Tanzanite ikarudishwa na majirani, wanyama Australia! Na list inaendelea......
Inasikitisha sana.
 
Back
Top Bottom