Dada una tatizo gani kwani? Uwindaji wakuruhusiwa ni tofauti na ujangili. Tayari TAWA inasema haijatoa kibali. Unafikiri wengine hatujui kuna uwindaji halalo kwenye mipaka ya Tanzania?Tanzania kuendesha mnada wa vitalu vya uwindaji; wawindaji kuruhusiwa kuua Tembo, Simba na wanyama wengine wazee
Tanzania inakusudia kuendesha mnada wa vitalu vya uwindaji, ambapo wawindaji wataruhusiwa kuwaua Tembo, Simba na wanyama wengine wazee. Mnada huo unakusudiwa kuzalisha TZS bilioni 69.6, na 25% ya fedha hizo zitaelekezwa kuzisaidia jamii zinazoishi jirani na vitalu hivyo.www.jamiiforums.com
waarabu wameanza kufanya yao?Waarabu wamepewa KIA hakuna namna
Kilaza hukosekaniKwani haikufatwa sheria?
Siku hizi Austria ni ya Waarabu?
Hilo ka kula kwa urefu wa kamba tangu picha linaanza kwamama ni muendelezoWaambieni huko Australia huku kwetu tuliruhusiwa kula kwa urefu wa kamba zetu na mama yetu kiziwi.
Jina la mtu hilo, unamfahamu Juma kilaza wewe? Msikilize anakwambia nini hapa:Kilaza hukosekani
Hii post unayoi-copy kwa wadau bado ina walakini, kuna uharamia ktk ruhusa hii pia.Tanzania kuendesha mnada wa vitalu vya uwindaji; wawindaji kuruhusiwa kuua Tembo, Simba na wanyama wengine wazee
Tanzania inakusudia kuendesha mnada wa vitalu vya uwindaji, ambapo wawindaji wataruhusiwa kuwaua Tembo, Simba na wanyama wengine wazee. Mnada huo unakusudiwa kuzalisha TZS bilioni 69.6, na 25% ya fedha hizo zitaelekezwa kuzisaidia jamii zinazoishi jirani na vitalu hivyo.www.jamiiforums.com
unataka kutuambia ilitokea kipindi cha magufuri wewe kukuUnajua hiyo taarifa ya lini? Au mnajirushia tu mambo?
Uharamia ukiuona uripoti polisi, kuwa raia mwema.Hii post unayoi-copy kwa wadau bado ina walakini, kuna uharamia ktk ruhusa hii pia.
Wacha kutetea upuuzi
Kusema sio ajabu umekosea sana ijapo kuwa huta kubali kukiriUharamia ukiuona uripoti polisi, kuwa raia mwema.
Hata vatikano kuna uharamia, siyo ajabu hiyo.
Anaupiga mwingi mitano mingineZembwela na Kitenge wanasemaje?
TAWA Wakitoa mrejesho wa hii barua mnitagNi nyara za Serikali zilizokamatwa kwenye makasha makubwa kwenye uwanja wa ndege nchini Australia, inasemekana zimepakiwa kutoka KIA nchini Tanzania, nani anahusika na uhujumu huu? Serikali itoe tamko. Tazama video.
UPDATE
TAWA kuchunguza Nyara za Serikali kukamatwa Australia
View attachment 2743103
View attachment 2743104
Siyo kusema tu, hiyo siyo biashara haramu labda utake kuifanya kuharamu kwa ujinga tu au kukwepa kodi za serikali.Kusema sio ajabu umekosea sana ijapo kuwa huta kubali kukiri
Duh,Waarabu wamepewa KIA hakuna namna