D Dumayayi1 New Member Joined Jul 21, 2016 Posts 3 Reaction score 0 Jul 13, 2022 #1 Salama humu ndani! natafuta mashine ya kukamulia mafuta ya parachichi yenye uwezo wa kuzalisha kati ya 10 na 20KG kwa siku.
Salama humu ndani! natafuta mashine ya kukamulia mafuta ya parachichi yenye uwezo wa kuzalisha kati ya 10 na 20KG kwa siku.
Crocodiletooth JF-Expert Member Joined Oct 28, 2012 Posts 20,561 Reaction score 24,428 Jul 14, 2022 #2 Hivi maparachichi huwa na mafuta? Naomba kujuzwa?
jiwe angavu JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 20,419 Reaction score 39,217 Jul 14, 2022 #3 Crocodiletooth said: Hivi maparachichi huwa na mafuta? Naomba kujuzwa? Click to expand... Yakutosha sana. #MaendeleoHayanaChama
Crocodiletooth said: Hivi maparachichi huwa na mafuta? Naomba kujuzwa? Click to expand... Yakutosha sana. #MaendeleoHayanaChama
Crocodiletooth JF-Expert Member Joined Oct 28, 2012 Posts 20,561 Reaction score 24,428 Jul 14, 2022 #4 jiwe angavu said: Yakutosha sana. #MaendeleoHayanaChama Click to expand... Tukichemsha kama nazi tunaweza pata mafuta yaani mafuta yataelea?, @#$&@%...?
jiwe angavu said: Yakutosha sana. #MaendeleoHayanaChama Click to expand... Tukichemsha kama nazi tunaweza pata mafuta yaani mafuta yataelea?, @#$&@%...?
Dr Ahmed Albah-Shahwa JF-Expert Member Joined Apr 12, 2022 Posts 848 Reaction score 1,604 Jul 14, 2022 #5 Oy wadau me mwenyew naingoja hio avopress
D Dumayayi1 New Member Joined Jul 21, 2016 Posts 3 Reaction score 0 Sep 10, 2023 Thread starter #6 Dumayayi1 said: Salama humu ndani! natafuta mashine ya kukamulia mafuta ya parachichi yenye uwezo wa kuzalisha kati ya 10 na 20KG kwa siku. Click to expand... salama humu ndani, mashine nilkwisha pata, hvi sasa natafuta soko la mafuta.
Dumayayi1 said: Salama humu ndani! natafuta mashine ya kukamulia mafuta ya parachichi yenye uwezo wa kuzalisha kati ya 10 na 20KG kwa siku. Click to expand... salama humu ndani, mashine nilkwisha pata, hvi sasa natafuta soko la mafuta.