Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yakutosha sana.Hivi maparachichi huwa na mafuta? Naomba kujuzwa?
Tukichemsha kama nazi tunaweza pata mafuta yaani mafuta yataelea?, @#$&@%...?Yakutosha sana.
#MaendeleoHayanaChama
salama humu ndani, mashine nilkwisha pata, hvi sasa natafuta soko la mafuta.Salama humu ndani! natafuta mashine ya kukamulia mafuta ya parachichi yenye uwezo wa kuzalisha kati ya 10 na 20KG kwa siku.