Hiki ni 'Kidhungu' cha Unguja hiki!Oktober imesimama! Oktoba ya Mama!
Kama mlifikiri mwajua pekeenu mlijidanganya. Mshanfahamu! Endelee kujigeza, mwamulika mchana kwenye jua halooo! Ona mweishiwa na betirii. Mtabadili laini za Simu kuwasiliana lakini mkae mkijua tushawageuza kama chapati la Mombasa. Pangeni mjuavyo lakini hamchomoki walahi! Na oktober mkae mkijua ndio kiyama chenu. Mwatuma watu huku mnakunywa nasi mezani. Mnafikiri hatujui. Sasa tutajuana! Tujuane na hatutaki lawama! Ushanfahamu! Mlishauri tumweke ndani Yule Simba wa unguja, kupaka matope. Mwezi wa nane tunamtoa alafu tuone
Oktoba imesimama palepale. Oktober ya Mama.
Hongera ndio siasa bobOktober imesimama! Oktoba ya Mama!

Mbona matikisikoChauma kulikoni?Taarab ya mama .View attachment 3410927
Mchengerwa na Abdul hawajaingiza kwenye account allowance za mwezi huu.Mbona matikisikoChauma kulikoni?
Wakimbie tena sasaMchengerwa na Abdul hawajaingiza kwenye account allowance za mwezi huu.
😆😆😆Kwani wewe ni Samia
Hongera ndio siasa bob
Hiki ni 'Kidhungu' cha Unguja hiki!
Sasa tuelewe liPi,..., "Oktoba ya Mama"? Kwa namna gani?
Sina hakika kama unaelewa unacho kizungumzia; na kama unakielewa, basi itakuwa ni kwa sababu ya kilevi kinachokuwezesha kufanya hivyo.Washasoma wenzio barua yao
Sina hakika kama unaelewa unacho kizungumzia; na kama unakielewa, basi itakuwa ni kwa sababu ya kilevi kinachokuwezesha kufanya hivyo.
Utaendelea kuwa mlevi?Na Bado
Utaendelea kuwa mlevi?
Kiswahili Cha KizenjiOktober imesimama! Oktoba ya Mama!
Kama mlifikiri mwajua pekeenu mlijidanganya. Mshanfahamu! Endelee kujigeza, mwamulika mchana kwenye jua halooo! Ona mweishiwa na betirii. Mtabadili laini za Simu kuwasiliana lakini mkae mkijua tushawageuza kama chapati la Mombasa. Pangeni mjuavyo lakini hamchomoki walahi! Na oktober mkae mkijua ndio kiyama chenu. Mwatuma watu huku mnakunywa nasi mezani. Mnafikiri hatujui. Sasa tutajuana! Tujuane na hatutaki lawama! Ushanfahamu! Mlishauri tumweke ndani Yule Simba wa unguja, kupaka matope. Mwezi wa nane tunamtoa alafu tuone
Oktoba imesimama palepale. Oktober ya Mama.
Hadi haPo utakaPo nyang'anywa kilevyi?Na bado
Hadi haPo utakaPo nyang'anywa kilevyi?
Ukweli ni kuwa ninakuelewa vizuri; hali imekuwa ni ngumu sana. Inasumbua mioyo.Na bado
Ukweli ni kuwa ninakuelewa vizuri; hali imekuwa ni ngumu sana. Inasumbua mioyo.
Ninakuelewa sana mkuu; na nitangulize P ongezi kwako kwa kuyafahamu yote haya wakati huu.Utanfahamu tuu
Mkuu Kalamu mambo ninayosikia kwenye ''corido'' yanatia matumaini japo bado niko sceptical kwa sababu kumwondoa shetani kwenye mwili wa binadamu si kazi rahisi! Ushauri wako ni nini? Nimeshanunua sanduku la Safari Larger nasubiri!Sina hakika kama unaelewa unacho kizungumzia; na kama unakielewa, basi itakuwa ni kwa sababu ya kilevi kinachokuwezesha kufanya hivyo.