Awamu ya Rais Samia ndiyo awamu iliyofeli kuliko awamu zote na kufanya wananchi kujutia zaidi uongozi huu

Waliopo kwenye construction industry ndio wanaopiga hela Sana awamu hii.
 
Kuna sehemu wamefanikiwa na kuna sehemu wamefeli kwaiyo ni 50 kwa 50.
 
Halafu huyo Samia akija kijijini kwenu wewe na mkeo mnakesha mkimshangaa Harmonize
 
Mradi gani umeanzishwa?
 
Awamu ya mateso Dadeki hadi Malaya wanalia usifanye mchezo, UTI ni ugonjwa wa Taifa kwenye utawala huu na USHOGA na usagaji vinaongeza
 
Ukijuta wewe usidhani Kila mtu anajutia.

Ulishawahi ona wapi awamu iliyofeli inamimina mabilioni Kwa mabilioni kwenye miradi ya Wananchi?
 
Hapana!!! Una haki ya kumchukia Samia lakini nakuhakikishia PERFORMANCE ya Samia ni bora kuliko ya Magufuli!!

Tofauti iliyopo Magufuli alikuwa anadanganya kila kitu na huku akiwa ametishia ukosoaji na uhuru wa vyombo vya habari.

Samia anaonekana ni "dhaifu" kwa vile amewaacha museme kila mnachotaka japo mumeingiza na matusi.

Ni Omani yangu kuwa Samia tutampima mwaka 2025 kwa TAKWIMU za kukua kwa uchumi na siyo MIPASHO kama ya kwako Nsanzagee
 
Mkuu, maumivi kwa magufuli yalikuwa kwa wachache, hasa kwa wale yeye aliamini ni wapinzani wake wakiwamo wafuja fedha n.k

Ila kwa waliokuwa wengi, hawawezi kusikiliza maoni haya Stuxnet
 
Hao ni wanafiko tuu,hakuna awamu iliyofanikiwa kama awamu ya 6 ya Samia kuanzia utitiri wa miradi Hadi Ustawi wa Maisha huko mtaani.

View: https://twitter.com/mamayukokazini/status/1704772566999540114?t=vIUSWpXkgoBSB6NU5orrTQ&s=19
 
Biashara ipi wewe unafana na inatembea mkuu??
Tatizo mmekalili kwamba raisi ndiye atakae kufanyia uishi maisha mazuri. Hilo mzee sahau hata wapite marais 1000 haliwezi kutokea kama ww mwenyewe huto pambania maisha yako.
 
Tatizo mmekalili kwamba raisi ndiye atakae kufanyia uishi maisha mazuri. Hilo mzee sahau hata wapite marais 1000 haliwezi kutokea kama ww mwenyewe huto pambania maisha yako.
πŸ€” Tunachagua rais ili iwe nini mkuu!

Ni kwamba ahakikishe kila kitu kinaenda hovyo?

Kuhakikisha wananchi wanakuwa na maisha nafuu ni sehemu ya uongozi na usimamizi wa rais
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…