Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa nilipo wasipokata mchana wanakata usiku. Rais kaamua kukaa kimya baada ya kumhamisha dalali wa majenereta.Siku ya tatu hapa nilipo hakuna umeme wala taarifa yeyote
umesema kweliMimi naona ni awamu iliyo fanikiwa kuliko iliyopita.
Miradi mingi ya kimkakati imeanzishwa na mingine kumaliziwa ya awamu ya tano na ikiendelezwa vizuri.
Bei ya bidhaa kama Korosho , ufuta na Mbaazi kuimalika.
Biashara kuimalika
Ajira zinatangazwa na watoto wa masikini wanaajiriwa
Mzunguko wa pesa kuonekana
Uchumi wa mtu mmoja mmoja kuboreka na huduma za kifedha kuwa Bora zaidi hasa kibenki
Foreign direct Investment imeongezeka na viwanda vipya vinafunguliwa huko Mkuranga na Kibaha
Uboreshaji wa maslahi ya watumishi angalau kidogo
Uhuru wa mawazo na mikutano ya kisiasa umezidishwa
Wakulima angalau wanaona faida
Elimu ya juu pesa imeongezwa.
Huduma zote mhimu kwa wananchi zimefeli vibaya mno
Huduma za matibabu hovyo
Dollar hakuna
Katika yote aliyoandika umeona suala la Dollar tu? Kwa taarifa yako dollar haitumiki kuagiza tu kitu nje kwa matumizi ya mtu binafsi bali serikali nzima hivyo kupelekea ugumu wote ulipo sasa hivi hapa nchini. Vilevile tamaa ya wanasiasa ikijumuisha na wafanyabiashara wenye ushawishi na nguvu kiuchumi kwa kutaka faida kubwa wanatoa hongo ili mambo yao yaende huku majority wakiumia, tazama suala la umeme na mfumko wa bei.Ulitaka kuagiza nini nje ya nchi kwa kutumia Dollar ukakosa?
Kazi zipo rukuki dogo acha kulia. Private sector imenawili Sasa hivi nenda utafute kazi hukoUnazo kazi ngapi kijana, tuanzie hapo kwanza kama siyo kula kwa dada yako
Hili shairi umeandika hapa kisha nikicheck hakuna umeme, natamani hata ugongwe na gari ufe au upate kilema Cha maisha.Petrol inatoka nje ya nchi inanunuliwa kwa fedha ya kigeni, hakuna namna ambayo sisi tunaweza kuwa na utawala wa bidhaa ya kutoka nje, wanaitawala wenye kumiliki hizo biashara na sio sisi.
Huko Lindi wamepata hospitali mpya tangu nchi ipate uhuru, unapowaambia awamu hii ni mbovu inabidi uje na hoja zenye kuingia vichwani mwao.
Kodi huwezi kukwepa kuzilipa iwapo unataka huduma ziboreshwe. Hao wanaotupa misaada wanajinyima matanuzi ili sisi tuweze kuishi, kumbuka hilo kabla hujaendelea kulialia.
Bandari inapata mwekezaji DP World na mwezi Novemba anaanza kazi, kule Mbegani Bagamoyo pia anakwenda kupatikana mwendeshaji mahiri, hiyo sekta ya uchukuzi serikali imejipanga kisawasawa.
Masuala mengi ya kiuchumi yanakwenda kupata ufumbuzi.
Punguza kulialia.
Nimekuuliza swali jepesi sana, unaanza kuhororoja, kubwabwaja na ngonjera zisizo na manufaa.Mkuu, nilichoandika ninaushahidi nacho, bila shaka hata wewe, kinachobaki ni ushabiki usio na tija
Watakuita mchocheziHuduma zote mhimu kwa wananchi zimefeli vibaya mno
Huduma za matibabu hovyo
Dollar hakuna
Umeme hakuna
Huduma ya maji safi ni taabu
Pesa mtaani hakuna
Bidhaa juu, hadi kero
Mafuta hayana mdhibiti, mfanya biashara akiamka vibaya tu, hasira zote anazielekezea kwa walala hoi, anapandisha bei ama kuficha bidhaa hiyo
Bei za vifaa vya ujenzi havishikiki!
Bandari zimemshinda kuzisimamia
Ni awamu itakayeongoza kuwapeleka jela wanawake
Kodi nyingi na za ajabu ajabu, ni awamu hii
Lilianza suala la umeme, kutoka 27,000 hadi malaki ya fedha kuingiziwa umeme, badaye kulifuata Bima ya mtoto utadhani mtoto ana hatia kuzaliwa duniani!
Badala yake, tumeona sheria za wake za maraisi kuingizwa kwenye kulipwa utadhani na wao wanaingia ofisini
Mbona hawazungumziwi na au sheria hiyo kuwahusu wake za watumishi wote wa umma?
Unaambiwa wananchi wamechoka hadi watoto wao wananunuliwa viatu vya msaadaHuduma zote mhimu kwa wananchi zimefeli vibaya mno
Huduma za matibabu hovyo
Dollar hakuna
Umeme hakuna
Huduma ya maji safi ni taabu
Pesa mtaani hakuna
Bidhaa juu, hadi kero
Mafuta hayana mdhibiti, mfanya biashara akiamka vibaya tu, hasira zote anazielekezea kwa walala hoi, anapandisha bei ama kuficha bidhaa hiyo
Bei za vifaa vya ujenzi havishikiki!
Bandari zimemshinda kuzisimamia
Ni awamu itakayeongoza kuwapeleka jela wanawake
Kodi nyingi na za ajabu ajabu, ni awamu hii
Lilianza suala la umeme, kutoka 27,000 hadi malaki ya fedha kuingiziwa umeme, badaye kulifuata Bima ya mtoto utadhani mtoto ana hatia kuzaliwa duniani!
Badala yake, tumeona sheria za wake za maraisi kuingizwa kwenye kulipwa utadhani na wao wanaingia ofisini
Mbona hawazungumziwi na au sheria hiyo kuwahusu wake za watumishi wote wa umma?
Hebu ngoja tuone hao wanaoitwa wanyonge kipindi Cha awamu iliyopita na hali zao ilikuwaje.Ukiwa kwenye mfumo lazma uone maisha yako sawa maana uzembe hauna mashtaka awamu hii. Wizi umepewa baraka zote kwahio mtajenga sana, kununua sana mashamba kwa hela ya wizi.
Ishu ni kwa mtanzania ambaye riziki iko miguuni mwake. Hana bima wala support yeyote. Maisha hayawezi kuwa sawa
ziko mbwa zinamtetea huku ngoja zije!Serikali dhaifu kupata kutokea toka Tz imeumbwa ni hii ya 6 sijui, ni kama mbwa koko!.
Serikali pekee iliyobariki upigaji, rejea Mama akiwaambia wasaidizi wake (Mawaziri) wale kwa urefu wa kamba zao shingoni!.
Et wale ila wasivimbiwe!.
confidence 0% sasa tunajua anayekushika mkono ni yule mwizi wa msoga mpiga madili!