Mchumia Rungu
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 1,439
- 826
Wanaume wawe nchi hii? Bure kabisa. Mwanaume unategemea mabusha, cancer, corona, nk iondoke kwa maombi?Jitihada zinazofanywa na kamati zilizoundwa pamoja na wakuu wa mkoa ili kuthibiti kusambaa kwa maambukizi ya corona wewe huoni
Endelea kulaumu wanaume wako kazini
Wanaume wanasubiri chanjo kutoka kwa mabeberuWanaume wawe nchi hii? Bure kabisa. Mwanaume unategemea mabusha, cancer, corona, nk iondoke kwa maombi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe utakuwa zuzu kabisa kama mpaka sasa hujui la kufanya!Hii ni nchi pekee ambayo kiongozi wake mkuu kajificha na kuacha wananchi wake wasijue nini la kufanya
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe mnajua kuwa mtaani pesa hamna! Zimehadimika kwasababu hakuna ufisadi na sio kwamba kuna watu wamezificha kwa lengo la kumhujumu Jiwe? Lakini kama hakuna pesa mtaani ubora wa maisha ya raia utatokana na nini wakati hakuna ajira na biashara hailipi kwakuwa wateja hawana pesa za kununua?Awamu ya tano inatengeneza uchumi ambao watoto na wajukuu wako watautimia
Tatizo wabongo mnapenda spoon feed
Hata hivyo ukumbukuke madawa ya kulevya hayapo tena mtaani
Mafisadi hayapo Tena Ndio maana unaona pesa haipo mtaani
Ukifanya kazi pesa ipo ila km unakaa kwa dada kula kulala pole
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpaka ukichukua akili ulizokabidhi kwa kina Mbowe ndio utamwelewaNamtafakari Magufuli sipati majibu..
Yani simuelewi kabisaa
Kwanini usije na ile Id yako tuliyoizoea?Wew umejiunga juzi tuu hapa kuja kuongeza mapambio na kulamba matako watu huna hoja zaidi kushinda mtandaoni kisha kulipwa buku7 lumumba. Sisi tunazo kazi za kufanya, Tuache sisi tujadili mustakabali wa taifa wew binti. Kwani mzee Mangula mmempekeka wapi eti baada ya kumlisha sumu ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kimsingi kila mtu hufanya makosa hakuna binadamu mkamilifu. Lakini unapofanya Makosa ambayo wenzio tayari wameyafanya na ungeweza kuyaepuka hapo ndipo tunasema awamu hii imekosa weredi, zaidi sana inatumia nguvu kubwa kuliko Akili.
Wakati Rais Donald Trump akililaumu shirika la Afya Duniani WHO kwamba hawakutoa taarifa sahihi kuhusu Athari za ugonjwa wa Corona na hatimaye kuondoa ufadhili kwa shirika hilo. Rais wa Tanzania yeye anahamasisha watu wafanye mikusanyiko isiyo ya lazima eti wakafanye maombi.
Rais ameshindwa kuchukua hatua stahiki kulinda uhai wa wanachi wake. Wagonjwa wanazidi kuongezeka toka mgonjwa mmoja mpka 148 haoni kwamba Maombi hayasaidii. Viongozi wa Dini wenye Akili wameng'amua kuwa sasa hatuna uongozi wameanza kuchukua hatua kulinda waumini wao kwa kufunga shughuli za lbada.
Hivi unakuwa na Akili zako timamu unaenda kufanya Maombi kuondoa Corona ? Malaria inaongoza kwa kuua watu kuliko Ukimwi mbona hamfungi na kuomba ili malaria iondoke ? Basi tukimaliza Maombi haya tuanze Maombi mengine ya kuondoa Mabusha, Kansa, Kipindu pindu na homa ya Ini. Kweli Biblia inasema watu wanaangamia kwa kukosa Maarifa.
Rais mstaafu J.Kikwete alimuonya kutotegemea Polisi kufanya Siasa maana watanzania wameichoka CCM. Rais Mstaafu B. Mkapa pia alimueleza bwana yule kuwa ktk vitu anavyo jutia ni kutumia vibaya Polisi na kuua raia wasio na hatia huko Zanzibar.
Lakini sikio la kufa halisikii Dawa bwana yule ndo sasa anatumia mabunduki kuvurumisha ktk majumba ya watu wanao mkosoa. Hana kabisa hoja shawishi wala plani kiutawala. Watu kupotea, kutekwa kuteswa na kuuawa vimekithiri.
Yaani mpaka wakenya sasa hivi wanatusaidia ktk mtandao wa twita kumkosoa bwana yule kwa udikteta wake. Wakenya wakisha mnanga bwana yule humalizia na kamsemo kao "Ukaidi wa Jiwe"
Cc. Mataga
Kwa nini usilete takwimu zako wewe unazozijua?Mnadanganya idadi ya vifo na wagonjwa, huku mnafanya maombi!
• Mnaacha Baa zote nchini wazi, watu wanalewa na kuzini usiku kucha, huku mnaendelea kufanya maombi!
Watanzania wenzangu, tuambizane ukweli, hakuna Mungu atakayepokea maombi yetu, labda Mungu wa Chato
Ndio mana anawajali sana! Kwake yeye ni heri wabongo wafe kwa korona wakiendelea "kuchapa kazi" ili ndugu zake waishi.
Kumbe mnajua kuwa mtaani pesa hamna! Zimehadimika kwasababu hakuna ufisadi na sio kwamba kuna watu wamezificha kwa lengo la kumhujumu Jiwe? Lakini kama hakuna pesa mtaani ubora wa maisha ya raia utatokana na nini wakati hakuna ajira na biashara hailipi kwakuwa wateja hawana pesa za kununua?
Hebu tuambie matokeo ya jitihada zilizofanywa na serikali ya sasa ya kuzuia pesa chafu na ufisadi katika ukuaji wa uchumi wa taifa. Je, sarafu imeimarika kwa sasa ukilinganisha na awamu zilizopita (za kifisadi)?, Je, chumi umeongezeka kwa asilimia ngapi hivi sasa ukilinganisha na awamu zilizopita?
Awamu ya tano inatengeneza uchumi ambao watoto na wajukuu wako watautimia
Tatizo wabongo mnapenda spoon feed
Hata hivyo ukumbukuke madawa ya kulevya hayapo tena mtaani
Mafisadi hayapo Tena Ndio maana unaona pesa haipo mtaani
Ukifanya kazi pesa ipo ila km unakaa kwa dada kula kulala pole
Sent using Jamii Forums mobile app
kuna uchumi bila ya watu ?
watu wakifa kwa corona huo uchumi unadhani utakuwepo ?
alafu usidhani miundombinu ndio muhimu sana bila maisha ya watu kuimarishwa mfano mishaharana nk
pale congo MOBUTU aliweka mitambo kwenye bwawa la inga lina uwezo wa kuzalisha umeme wa kutosha Africa nzima na ukabaki ila bado wacongo wanalia
wacongo wana mtambo wa ku generate
~38.9 GW. hiki ni kiwango kikubwa mara mbili ya kinachopatikana china (china ndio inazalisha kiasi kikubwa duniani cha umeme kwa sasa) ,hii ni sawa na kusema congo pekee inao uwezo wa ku supply umeme duniani kote, lakini tazama congo ilivo
WATANZANIA TUJIFUNZE KUSOMA,CCM INAWADANGANYA SANA
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mzee, Bia yetu, na Mimi nakusihi unifundishe yafuatayo:-
Usiangalie korona tu kuna Ukimwi pia
Serkali yako ipo macho inakuhudumia
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mzee, Bia yetu, na Mimi nakusihi unifundishe yafuatayo:-
1. kusifu na kuabudu watu wanaopanga mauauji kwa wale ambao wana maono tofauti na wao.
2. Kuwaabudu Watekaji na kuwatetea kwa nguvu zangu
3. Nifundishe matusi na kushambulia watu bila sababu ya msingi ili mradi tu so wapenzi wa chama changu.
4. Kushabikia na kufurahia watu wanapobambikizwa kesi za uhujumu uchumi na utakatishaji fedha kwasababu tu waliandika ukweli kwamba nchi haina demokrasia na inaongozwa kidikteta
CcKimsingi kila mtu hufanya makosa hakuna binadamu mkamilifu. Lakini unapofanya Makosa ambayo wenzio tayari wameyafanya na ungeweza kuyaepuka hapo ndipo tunasema awamu hii imekosa weredi, zaidi sana inatumia nguvu kubwa kuliko Akili.
Wakati Rais Donald Trump akililaumu shirika la Afya Duniani WHO kwamba hawakutoa taarifa sahihi kuhusu Athari za ugonjwa wa Corona na hatimaye kuondoa ufadhili kwa shirika hilo. Rais wa Tanzania yeye anahamasisha watu wafanye mikusanyiko isiyo ya lazima eti wakafanye maombi.
Rais ameshindwa kuchukua hatua stahiki kulinda uhai wa wanachi wake. Wagonjwa wanazidi kuongezeka toka mgonjwa mmoja mpka 148 haoni kwamba Maombi hayasaidii. Viongozi wa Dini wenye Akili wameng'amua kuwa sasa hatuna uongozi wameanza kuchukua hatua kulinda waumini wao kwa kufunga shughuli za lbada.
Hivi unakuwa na Akili zako timamu unaenda kufanya Maombi kuondoa Corona ? Malaria inaongoza kwa kuua watu kuliko Ukimwi mbona hamfungi na kuomba ili malaria iondoke ? Basi tukimaliza Maombi haya tuanze Maombi mengine ya kuondoa Mabusha, Kansa, Kipindu pindu na homa ya Ini. Kweli Biblia inasema watu wanaangamia kwa kukosa Maarifa.
Rais mstaafu J.Kikwete alimuonya kutotegemea Polisi kufanya Siasa maana watanzania wameichoka CCM. Rais Mstaafu B. Mkapa pia alimueleza bwana yule kuwa ktk vitu anavyo jutia ni kutumia vibaya Polisi na kuua raia wasio na hatia huko Zanzibar.
Lakini sikio la kufa halisikii Dawa bwana yule ndo sasa anatumia mabunduki kuvurumisha ktk majumba ya watu wanao mkosoa. Hana kabisa hoja shawishi wala plani kiutawala. Watu kupotea, kutekwa kuteswa na kuuawa vimekithiri.
Yaani mpaka wakenya sasa hivi wanatusaidia ktk mtandao wa twita kumkosoa bwana yule kwa udikteta wake. Wakenya wakisha mnanga bwana yule humalizia na kamsemo kao "Ukaidi wa Jiwe"
Cc. Mataga
Wewe utakuwa zuzu kabisa kama mpaka sasa hujui la kufanya!
Sasa subiri rais atakuja n fimbo kukuambia cha kufanya
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kama anatufanya misukule atule nyamaNamtafakari Magufuli sipati majibu..
Yani simuelewi kabisaa