Awamu ya tano ndiyo ya hovyo kuliko awamu zote

 
Mkuu itakuwa umepokonywa tonge mdomoni.

Kuna maslahi yako yameguswa maana sio kwa hili povu.
 
Kwa watakaosalia na hili janga ni kwamba Corona inaondoka ba CCM.
Unaringanishaje athari za kiuchumi na roho za watu wako!! Uchumi unaweza kuwa repaired hata kwa miaka 20, rojo za watu je?

Lockdown watu wako...kopa pesa toka mataifa makubwa mabenki ya kidunia utapewa tu, wape chakula watu wako kwa walau miezi mitatu....

Haya yote kwa sasa ni too late!! gonjwa lishasambaa!!
 

Naunga hoja kwa miguu na mikono hilo yani kuna kiongozi mmoja alisema kuwa TANZANIA Tunaweza kujiendesha wenyewe bila kutegemea misaada ya nchi zingine daaaaah hakika nilisikitika saba yani vifaa vyenyewe mahospitalini havipo mnakataa kusaidiwa

Ona sasa Tanzania inavyohangaika na huu ugonjwa ambao ndiyo kwanza umeanza wanaanza kutangaza maombi ya siku 3 hii hata haikai akilini yanu mimi na familia yangu niombee TANZANIA ambayo ilikuwa inajitapa kuwa inaweza kujiendesha bila msaada wa mataifa mengine

Sasa hizo ndege zenu na fly over mara sijui standard gauge mlizokuwa mnatusumbua kila kukicha uzinduzi wazifanye ziwe Quarantine sasa

Tanzania inabidi haya maombi ya siku 3 yaliyotolewa tungeyageuza kuwa ya kumshukuru Mungu imeanzia huku kwa watu wenye utaalamu wao maana ingeanzia huku hakika naapa tungekufa kama kuku


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Tanzania itaanzia wapi kupata hiyo mikopo wakati kuna kipindi kiongozi fulani alikuwa anatamba kuwa tunaweza kujiendesha sisi bila misaada ya mataifa mengine

Angalia tu kabla ya hii Corona kuingia gharama za wajawazito zimepanda kwa kiwango cha juu kila kitu hela hata tu zile dawa wanazotumia wajawazito kuongeza damu zimeanza kuunzwa wakati JK yeye kipindi chake wajawazito wote walikuwa wanatibiwa bure


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ugonjwa umekuja kuumbua madikteta,
 
BAVICHA mnatukwamisha kimaendeleo. Kama mngechapa Nazi kama wanaCCM maisha yangekuwa murua kabisa
Mmejikwamisha wenyewe msitafute mchawi.badala ya kupambana na ufisadi, tatizo la ajira, njaa na kilimo kutwa kucha mmewekeza kumshughulikia mbowe kuliko shida zetu
 
Eti anamuenzi Nyerere unaenzi vitu ambavyo ni outdated vilifaa kwa zama zile za Giza.Nyrre aliishi dunia yake ambayo haifanani kabisa kwa dunia ya Sasa.Nyerere alizifungia akili za watu kwenye box kwa maana hakutaka kabisa yeyeto afikiri kumzidi utajikuta uko karantini uruhusiwi kutembea bila ruhusa ya mwenyekiti wa Kijiji.Huu ulimwengu wa Sasa umebadilika kila kitu kizazi cha sasa kina global vision sio kile kilichofungiwa akili kwenye box.Kumuenzi Nyerere ni sawa na kutumia record player kwenye ulimwengu wa Sasa wa itune na YouTube
 
2017 tuliambiwa atakae bakia mjini Hadi juni ni mwanaume huu mwaka wa tatu bado tupo Sana mjini wamekimbia wao wametuachia mji tunadunda hatufi kwa Corona Wala kwa kusomeshwa namba.
 
Uchumi upi usio na ground, huwezi Jenga uchumi kwa kusomesha watu namba.Ufisadi unaousema nenda kapanguse vumbi mahakama ya mafisadi iliyokufa kibudu baada ya kugundua ccm wote wangeishia kule.Mlimtimua Assad uzuri namba hazijifichi aliyopo nae kawaumbua sijui mtamtumia wasiojulikana.
huwezi ukajenga chama kwa kutegemea polisi badala ya hoja utafail tu
 
Nimesoma kichwa cha habari tu lakini naunga mkono hoja yako! Ni ya hovyo pengine kuliko zote zitakazofuata!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
lowasa, chenge,Rostam, Tibaijuka hao sio mapapa ya ufisadi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ni waovyo kama Corona!
 
I agree...

ilikua kama Gold ...

Now muda umepita tumejua ni Gold feki..

Bahati mbaya tunalo hili kwa kipindi kingine….
Umeamini Sasa mwana lumumba wwe tena uliongoza Sana kuisafisha gold tuliwaambie hii sio gold mlitucheka mmepata mrejesho Sasa naona b7 wanazidi kupungua tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…