Ayatollah Ali Khomeini auawa baada ya mashambulizi ya Israel na Marekani

na sasa wanakwenda kushusha elimu yetu zaidi na kuibomoa kabisa, wamejaza hijab kwenye wizara ya elimu na kuleta siasa badala ya perfomance ...
Wameshashusha ,,Hadi maksi zimeshushwa mashuleni

Na bado shule zao zinashika mkia
 
BREAKING: Israel assesses that more than 40 senior Iranian security and regime figures were killed in strikes during the opening operation, according to a senior Israeli security official.
 
Asingeweza kujificha sababu aliamini muda wa mashambulizi bado, kwakuwa kulikuwa na mazungumzo yanaendelea
 
Muda huu naangalia Aljazeera

Trump anasema anaamini tayari Ayatollah Ally Khomenei hayupo duniani

Iran media: Viongozi wa kijeshi wa Iran wanasema supreme leader yupo hai na anaendrelea na majukumu yake, hivyo wananchi wasife moyo na wasitoke ndani, vita bado vinaendelea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…