Kujificha wana jificha sana tu.Hawa jamaa huwa hawajifichi? Mbona wanauwawa kama nzige?
Au janja zao huwa ni kuwaonea wananchi tu wasio na silaha?
Fact. Intelijensia yao basdo siyo nzuri ndo maana wanarusha silaha hovyo.Tatizo la Iran haina mkakati wa kueleweka kwenye mashambulizi yake.
Inaweza kurusha roketi hata buku ila kusiwe na damage yeyote ya kifo cha kiongozi yeyote.
Silaha anazo bora ila inaonekana hana mbinu sahihi, kupiga base peke yake huku wale viongozi wakuu ambao ndio waanzilishi wa vita wako hai ni kupoteza mabomu yako tu.
Sisi USA hatutaki kuelewa hayo mambo ya legacy ya ugaidi, Sisi tunakupelekea moto tuuHakika mkuu. Japo viongozi wa haya makanisa ya kiinjili kama Mbaga Jr na Monetary doctor watabisha.
Xi na Trump nani mwenye mdomo?Xi apumguze mdomo.
Litampata jambo kama la Mzee wetu Khamenei.
Wewe umeiona hiyo picha?
😂😂😂Nyeto ndo msaada wako siku ya leo, mm kesho mapema sana naenda kanisani kuiombea mema USA wazidi kugawa moto kwa makobaz na kumshukuru Mungu kwa kuifanya USA kuwa mbabe wa dunia
Kuna Bimsumi huku bongo ana mdomo sana et "Who are you!?" anashika Hadi kiuno. Nadhani akiangalia Ile clip Trump huwa anacheeeka.Kuna mdau nilimwambia usilete imani ktk masuala ya ukweli, nikamkumbusha unamkumbuka msemaji wa Iraq alikuwa na mikwara mingi ila wakachapika? Akabisha nikatulia, nikamwambia sawa hao marekani sio wakuwabishia huwa wanatoa tahadhari kisha wanafanya kweli
Utaipata ngoja wakubwa waangalie kwanza.Wewe umeiona hiyo picha?
😭nakumbuka Israel walipomshambulia Nasrallah vyombo vya habari vya israel vilikuwa wa kwanza kutoa taarifa na watu wakakanusha lakini baadaye ikathibitishwa ni kweli...pia alipouwawa yahya sinwar, waziri mkuu wa Yemen na viongozi wengine wengi .... NAUMIA SANA MOYONI KUSIKIA TAARIFA HIZI ILA SINA bUDI KUSUBIRI TAARIFA KAMILI
Netanyahu muda siyo mrefu amelihutubua Taifa na kusema kuna kila dalili ya kwamba Ayatollah hatunaye tena....
kwa namna Netanyahu alivyo ni vigumu sana kutoa taarifa ambazo hana hakika nazo......ila pia inawezekana Ayatollah akawa Yuko salama kwa man inasemekana alishajificha kwenye handaki tangu mwezi uliopita...je nani msema kweli hapa??
Huyo bibi hapo Bongo hakuna haja ya Trump kuumiza kichwa.Kabakia Xi akae rada.
Kila goti litapigwa, Halafu eti Kuna kigagula mmoja anasema "Who are you!?". Ila Bongo nyoso.
Then what?Wamelipua lipua baadhi ya maeneo lakini
Shida ya kobazi hawataki kukubaliana na ukweli na uhalisiaKuna mdau nilimwambia usilete imani ktk masuala ya ukweli, nikamkumbusha unamkumbuka msemaji wa Iraq alikuwa na mikwara mingi ila wakachapika? Akabisha nikatulia, nikamwambia sawa hao marekani sio wakuwabishia huwa wanatoa tahadhari kisha wanafanya kweli
Naskia sigda inakuwa taa huko peponi, sasa peponi gani hy ina giza 😂 Hy n popobawa au pepo mchafu?Hahaha. Sigda ni tiketi ya kwenda kuwa na mabikra 72 walioko pepeoni mkuu.
Check hii hapa.nakumbuka Israel walipomshambulia Nasrallah vyombo vya habari vya israel vilikuwa wa kwanza kutoa taarifa na watu wakakanusha lakini baadaye ikathibitishwa ni kweli...pia alipouwawa yahya sinwar, waziri mkuu wa Yemen na viongozi wengine wengi .... NAUMIA SANA MOYONI KUSIKIA TAARIFA HIZI ILA SINA bUDI KUSUBIRI TAARIFA KAMILI
Netanyahu muda siyo mrefu amelihutubua Taifa na kusema kuna kila dalili ya kwamba Ayatollah hatunaye tena....
kwa namna Netanyahu alivyo ni vigumu sana kutoa taarifa ambazo hana hakika nazo......ila pia inawezekana Ayatollah akawa Yuko salama kwa man inasemekana alishajificha kwenye handaki tangu mwezi uliopita...je nani msema kweli hapa??
Sijui ambitions zao nadhani pengine hawakujipanga na hili ambalo limewakuta.Then what?
Kobazi Wana Jenga hoja kwa mihemko sana.Shida ya kobazi hawataki kukubaliana na ukweli na uhalisia
Wanadhani Marekani na Israel Wana akili kama zao
Hawajui uchumi,media ,n.k wameshika wao
Wewe huko kwenye simu yako ukiangalia hapo unaiona hiyo footage?Check hii hapa.
View attachment 3550259
NikweljHabari za kutunga