Ayatollah wa Iran apinga Hajj, kuwa ni suala la Kisiasa

Ile Ni tourism attraction, sema wameisokota na dini. Saudia wanaloga sana hela.
Kama unaona ni tourism attraction na wewe anzisha yako upige hela

Hizo ni chuki na UISLAMU tu, wazungu wanakuja kupiga pesa hapa hapa bongo kwa kuiba madini, gas, mikata ya hivyo nk Kisha anawaletea ARV na Kondom za msaada mbona hamuongei?

Kwa kuwa imekuwa ni UISLAMU pamoja na kuwa haukupunguzieni Chochote ila kelele nyingi kama mmebanwa kende zenu
 
Hakuna kitu kama hicho.
Katika Uislam Mwarabu ni bora kuliko Mmatumbi au Mpogoro.

Tunasimama na Ayatollah full stop.
Ili uwe mtu bora katika uislam aipimwi kwa kuangalia jamii yako,kinachoangaliwa ni jinsi gani unakatazika na makatazo na unafanya ya yale uliyoamlishwa, aiwi kwa kuwa wewe ni mwarabu ndo hata ukizini,uibe, useme uwongo, na ufanye kila lililokatazwa, eti ndo utakua bora kwa uarabu wako kuliko mtu mweusi ambae amekatazika, uislam haupo hivyo broo, kwetu mtu bora ni yule mwenye kuacha makatazo na kufuata ya tuliyoamlishwa.
 
Hakuna kitu kama hicho.
Katika Uislam Mwarabu ni bora kuliko Mmatumbi au Mpogoro.

Tunasimama na Ayatollah full stop.
Kwa akili hizi tunapoteza muda kujadiliana na wagalatia

Yaani tukomae na maneno ya mtu tuache mafundisho?

Ndio maana mnakulana tigo kisa papa karuhusu
 
Hao jamaa ni wapuuzi tu achana nao ndugu

Mtu anataka alazimishe akili zake za kigalatia tuzitumie kwenye UISLAMU

Waarabu kibao walimpinga mtume wakina Abuu jahal kwa hiyo hao walikuwa Bora? Wanajua ila hawana hoja
 
Maana yake yeye sio muislamu ndio maana anauliza waislamu wanapata nini?

Kama haoni basi aache kwenda
 
Kwa kweli hawa ni wa kuachana nao, maana hawajauliza kwa mwenye uelewa nacho ili waelekezwe wasichokielewa, bali wameleta mada ili wapate wa kubishana nae, sasa mtu wa ivyo inakua ngumu kuzingatia unachomuelekeza kwa kuwa akili zake hazipo kwa ajili ya kujifunza bali zipo ki ubishi, kwa leo sitajibu tena hoja zao bora niwaache.
 
Jambo lipo kwenye Quran na hadithi wanataka tuliache kisa amesema mtu fulani.

Wakati sisi imani yetu kukiwa na mzozo tunarudi katika Quran na sunnah ndio mafundisho

Uzuri UISLAMU upo clear na umesema hawatakuwa radhi mpaka tufuate dini zao

Chuki zilizo katika nyoyo zao ni kubwa sana kuliko wanazodhihirisha
 
Maana yake yeye sio muislamu ndio maana anauliza waislamu wanapata nini?

Kama haoni basi aache kwenda
Huyo ayatollah pamoja na wanaosapoti hapa wanadhani malipo ya ibada unaweza kuyafungulia nbc acount! maana kwa akili zao hawa! sio mda wataenda kwa manara na mwijaku kutaka waonyeshwe malipo ya ibada ya hajj.
 
Kobazi Mudi aliwatapeli akili
 
Nani ameikataa Iran!?
Iran tunaikubali na kuiunga mkono kwenye masuala ya geopolitics usifananishe na masuala ya dini.
Toka huko haraka sana.
Siku ndugu yangu akiwa kobazi basi na undugu unakufa. Kobazi akili zao za kijinga sana
 
Siku ndugu yangu akiwa kobazi basi na undugu unakufa. Kobazi akili zao za kijinga sana
Chizi siku zote huwaona wenye akili ni wajinga
Waislamu hawawezi kutaka kuwa na ndugu mwenye akili za kipumbavu za kumuamini muigizaji kuwa Mungu na akawekwa makanisani, kuta za nyumba, rozari nk
 
Attachments

  • images.jpeg
    32.2 KB · Views: 10
mm mwenyewe sio muislam ila katika mipango yangu ya mbelen lazima niende kwenye alkaaba nikapaone tu sio kwamba najua sababu ila nmesoma tu historia yake both postive na negative
 
Chizi siku zote huwaona wenye akili ni wajinga
Waislamu hawawezi kutaka kuwa na ndugu mwenye akili za kipumbavu za kumuamini muigizaji kuwa Mungu na akawekwa makanisani, kuta za nyumba, rozari nk
Ndugu yangu waache watakuingiza ktk kukufuru hao, hao wanaamini akuna watu bora kuzidi wayahudi maana ndo binadamu pekee walio bahatika kumpiga madochi mungu wao,yaani mungu wa hao jamaa alikula vitasa vya maana mpaka akalia "babaaa mbona unaniacha" mi nikashangaa yaani mungu anashindwa kujiokoa mpaka anataka msaada! sasa nani amsaidie wakati yeye ndo mungu! yaani mungu analia kwa ajili ya kipondo alichopewa na viumbe wake mwenyewe!.
 
Si wajenge Al-Kaaba yao ya Washia:
Wataenda huko Washia kumpiga mawe Shetani:
 
Chizi siku zote huwaona wenye akili ni wajinga
Waislamu hawawezi kutaka kuwa na ndugu mwenye akili za kipumbavu za kumuamini muigizaji kuwa Mungu na akawekwa makanisani, kuta za nyumba, rozari nk
Je anayeamini kuwa akifa atapewa mabikra 72 na mito ya maziwa na pombe, huyo si ndiye chizi balaa. Huyo mudi wenu unajua kuwa alioa katoto? Ndiyo maana hakuna mvaa kobazi mwenye akili
 
Hayo ni mawazo yake binafsi na sio maelekezo ya Uislam
kwa taarifa; Waislam hawafuati mawazo ya mtu, BALI wanafuata mafundisho ya Quran yalifikishwa kwetu kupitia mitume wa wa Allah.
Umuhimu wa Hija (Hajj), umeelezwa kwenye Quran; Unaweza kusoma Sura ya 22 Suratul Hajj (25 - 28)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…