Ntu Mpyaaa
JF-Expert Member
- Sep 13, 2024
- 986
- 1,823
We ni dini gani kwanza? maana sasa nataka nimjibu mtu kulingana na dini yake.Shia ni dhehebu kwenye uislam,sunni,ni dhehebu kama ilivyo ansaaar,ahmadiya,ibaadh nk ,yote ni madhehebu kwenye uislam
Pia ukiwa na njaa unafakamia kitimoto.Sio lazima 🤣🤣🤣kwani kama hauna ujitese , uislamu ni rahisi sana ..Ibada ziko nyingi ..Kuna kipind mwanamke hatakiwi kuswali akiwa kweny hedhi wala kufanya ibada nyingine...Ukiwa safari, mgonjwa ,mzee sana ,una mimba au kunyonyesha hautakiwi kufunga
asante mkuu kumbe ana washirika! kuna wenzio huwa wanaleta maelezo ya ajabu ajabu mara wingi,mara umoja,mara kiarabu we umesema direct kuwa ana watumishi wanaomsaidia.Ndio ni sahihi.
Kwani wewe chanzo chako ni nini kama sio manii ama shahawa!?
Na ni nani aliyetaka hizo maji maji ziwe kiumbe kama sio yeye Mungu!?
Kauli ya kusema tumemuumba ni ya kujumuisha utukufu wa nguvu zake na watumishi wake.
Wale ambao wanahusika kuja kupulizia roho kwenye mimba inayokua baada ya siku 40 za pili ni malaika ambao ni watumishi wa Allah.
Hivyo akitumia neno tumefanya ni sahihi.
Kuna utofauti kati ya mshirika na mtumishi.asante mkuu kumbe ana washirika! kuna wenzio huwa wanaleta maelezo ya ajabu ajabu mara wingi,mara umoja,mara kiarabu we umesema direct kuwa ana watumishi wanaomsaidia.
Jibu swali kama lilivyoWe ni dini gani kwanza? maana sasa nataka nimjibu mtu kulingana na dini yake.
Umeshasema alikuwa "Mtume" hilo ndilo jibu!Uislamu haufuati maelekezo ya mtu au inategemea na aina ya mtu? Mtume Muhammad SAW alikua ni mtu mbona waislamu hufuata maelekezo yake?
🤣
Ok endelea kubusu jiwe 😁😁😁😁Hayo ni mawazo yako mkuu, tena kwa kuwa sio imani yako,ila kwangu mimi kwa kuwa hajj imeandikwa kwenye quran na naamini ni maneno ya mungu basi naifuata quran km muongozo, siwezi kuungana na ayatollah kuya challenge maneno ambayo naamini ni amri ya mungu maana labda yeye haamini quran hii ana quran yake, mimi kwangu kupingana na amri za mungu ni tabia za shetani maana alianzaga hivyo hivyo mpaka akafukuzwa na mungu, nasisitiza kuwa quran ni muongoza wangu sitafuata maneno tupu ya mtu ambayo hayapo kwenye muongozo,maana leo amesema hili kesho anaweza akaamka tu kwa utashi wake akasema kutoa sadaka ni wizi na kuzidi kunipotosha!.
kwahio ana ratiba ya kupigwa maweMsimu ukifika anarudi kwenda kupigwa mawe.
Uislamu sio UKRISTO,kwamba papa akisema kuleni MAVI basi mnakulaAyatollah zimeanza kumfyatuka Haji ni katika Arkani Al Islam tano.
Hapo ndipo waislam wanavyo anza kuleta chuki, huyu Ayatollah yeye anaona siasa lakini Qur'an inasema Haji mwenye uwezo lazima aende mara moja ya kwake hakuna Haji mara mbili, hao wanao enda ya pili ni kuwahijia wengine sio wao na Haji huwa ni mara moja kwa mwaka katika mwezi wa Dhuh Al haji
Ayatollah Khomen naona zinataka kumruka 😄 🤣
Msingi wa ukristo ni kuamini yesu ni MunguMathalani mkristo anae amini Mungu mmoja na Yesu si Mungu
Wapo wakristo wa hivyoMsingi wa ukristo ni kuamini yesu ni Mungu
Kinyume chake sio mkristo atakuwa muislamu au dini yake nyingine
Msingi wa ukristo ni kukiri Yesu ni Mungu na kutambua utatu mtakatifu na kuukiriWapo wakristo wa hivyo
Wewe umeanza kuwakufurisha wenzako, Mzee wa upako nimewahi kumsikia Kwenye Moja ya channel zake akisema yeye ni miongoni mwa wasomi kabisa wa Bible hapa bongo na hakuna wa kumchallenge wewe ni nani? Na yeye ni mkristo na anatumia biblia hio hioMsingi wa ukristo ni kukiri Yesu ni Mungu na kutambua utatu mtakatifu na kuukiri
Kinyume chake sio mkristo
Msingi wa uislamu ni kukiri Muhammad ni mtume wa Allah , kinyume chake sio Muislamu
Ukipinga uungu wa Yesu wewe sio mkristo ata awe nani , mtu kaja juzi na kaukuta ukristo, na katuta misingi ya ukristoWewe umeanza kuwakufurisha wenzako, Mzee wa upako nimewahi kumsikia Kwenye Moja ya channel zake akisema yeye ni miongoni mwa wasomi kabisa wa Bible hapa bongo na hakuna wa kumchallenge wewe ni nani? Na yeye ni mkristo na anatumia biblia hio hio
Sio yeye ni biblia yenu bro.. yeye hana kosaUkipinga uungu wa Yesu wewe sio mkristo ata awe nani , mtu kaja juzi na kaukuta ukristo, na katuta misingi ya ukristo
Yeye aseme ameanzisha dini yake yenye kupinga uungu wa Yesu