Kaka shia wamegawanyika.Hapo Kwa mashia nakupinga ndio maana Kuna posti nimesema inabidi tufanye tafiti kwanza shia wanatambua shahada zote mbili na nguzo zote naomba uwafuatilie utagundua kitu
Kwamba wewe Mndali wa Kilwa Kipatimo unaujua uislam kuliko mwarabu?😁😁😁😁😁😁😁😁Wewe kenge nenda kawasubiri wa Italiano na Wajerumani wakupe riziki.
Haji inahusiano gani na alicho ongea ikiwa Mitume wa Mungu kina Ayoubu, Mussa, Yusufu, Nuhu, Ibrahim, Yesu na Muhammad walipitia mitihani kuna pepo unaenda bila kusumbukia labda pepo ya kikristo hio 😄 🤣
Mambo ya kungana walio enda Haji kwani wao ni serekali au kila mmoja anaenda kwa pesa zake kichaa tu ndio atasema Haji haina faida
Nani kakuambia Uislam ni Uwarabu hahaha nikisema wakanisa mna visa kama kanisa 😄 🤣Kwamba wewe Mndali wa Kilwa Kipatimo unaujua uislam kuliko mwarabu?😁😁😁😁😁😁😁😁
Al Hassan mwana wa al yule aliyenyonywa ulimi na kulambwa mdomo na mudsy ndio huyo? Je maselafi au wahabi utanikosea kama nimekosea sijui ndo ni akina nani?Kaka shia wamegawanyika.
Shia ambao ndio hawakutoka nje ya mstari ni wale shia wanaopatikana Yemeni.
Katika uislam Kuna shahada inayosema "Nashuhudia ya kuwa Ally ni walii wa Mwenyezi Mungu"?
Kuna shahada ya namna hiyo kaka!?
Hiyo kauli ya kunyonywa ulimi ni uzushi na uongo.Al Hassan mwana wa al yule aliyenyonywa ulimi na kulambwa mdomo na mudsy ndio huyo? Je maselafi au wahabi utanikosea kama nimekosea sijui ndo ni akina nani?
Sasa Kama wamegawanyika hatuwezi kutoa conclusion kwamba wote ni makafiri jua kuwa Kuna waislam ambao ni sunni na wao ni makafiri vilevile hivyo ukafiri sometimes ni ishu ya kiimani zaidi kam vitendo huvioni ni ngumu kumkonclude mtu Kama kafiri au laaKaka shia wamegawanyika.
Shia ambao ndio hawakutoka nje ya mstari ni wale shia wanaopatikana Yemeni.
Katika uislam Kuna shahada inayosema "Nashuhudia ya kuwa Ally ni walii wa Mwenyezi Mungu"?
Kuna shahada ya namna hiyo kaka!?
Uislamu wa kweli ni kujisalimisha kwa moyo wote, kwa dhati, kwa Mwenyezi Mungu kwa njia aliyoiamrisha kupitia kwa Mtume wake Muhammad rehma na amani ziwe juu yake kwa kufuata.Naomba niulize swali uislam wa kweli ni upi na mwisilam wa kweli ni Nan?
Muislamu wa kweli ni mja mtiifu kwa Allah kwa dhati ya moyo, anayefuata Sunnah, anayetenda mema, mwenye tabia njema, na anayejitakasa kiroho na kimatendo.mwisilam wa kweli ni Nan?
Mtume ametupatia onyo kali sana kumhukumu muislamu mwenzako kuwa ni kafiri.Iran naye tena kumbe ni makafiri siyo waislam
Tafsiri iwekwe sawa ndugu mtanzania: Bakwata ni chombo cha kiislamu lakini hakikuanzishwa kwa ajili ya waislamu, bali nia na madhumuni ni kuwadhibiti waislamu.Maana kwenu bakwata siyo waislam
Si kila kauli ina maana kama ilivyodhihirishwa. Kuna kauli nyengine zinabeba maana. Ikitamkwa Dubai si waislamu ina maanisha ya kuwa; Dubai haifuati sheria za kiislamu.Jana nilikuwa na mwisilam mmoja akasema Dubai siyo waislam nikamuuliza ni watu gani wale hakunipa jibu
Ndio maana mkuu nikasema 90% ya shia ambao wana practice ithnaa ashara sharia.Sasa Kama wamegawanyika hatuwezi kutoa conclusion kwamba wote ni makafiri jua kuwa Kuna waislam ambao ni sunni na wao ni makafiri vilevile hivyo ukafiri sometimes ni ishu ya kiimani zaidi kam vitendo huvioni ni ngumu kumkonclude mtu Kama kafiri au laa
Hivi unajua Kuna baadhi ya pure wakristo ni waislam kutokana na itikadi zao? Mathalani mkristo anae amini Mungu mmoja na Yesu si Mungu huyo anafit kabisa katka hukumu ya Uislam na atahesabiwa hivyo Hata wakristo tujiepusha kuwakufurisha Kwa sababu Uislam sio huu tuu alikuja nao Muhammad umeanzia mbali
Assalam aleykum kaka.Uislamu wa kweli ni kujisalimisha kwa moyo wote, kwa dhati, kwa Mwenyezi Mungu kwa njia aliyoiamrisha kupitia kwa Mtume wake Muhammad rehma na amani ziwe juu yake kwa kufuata.
Muislamu wa kweli ni mja mtiifu kwa Allah kwa dhati ya moyo, anayefuata Sunnah, anayetenda mema, mwenye tabia njema, na anayejitakasa kiroho na kimatendo.
Mtume ametupatia onyo kali sana kumhukumu muislamu mwenzako kuwa ni kafiri.
Hivyo, miongoni mwa masheikh zetu wakatuambia: "Huenda mtu akakosea kwa kauli, lakini moyo wake upo pamoja na Allah. Je, sisi tuna uwezo wa
hilo?
Hitimisho: Kumhukumu mtu kuwa kafiri ni jambo zito sana katika uislamu, na limewekewa masharti magumu na tahadhari kubwa.
Tafsiri iwekwe sawa ndugu mtanzania: Bakwata ni chombo cha kiislamu lakini hakikuanzishwa kwa ajili ya waislamu, bali nia na madhumuni ni kuwadhibiti waislamu.
Si kila kauli ina maana kama ilivyodhihirishwa. Kuna kauli nyengine zinabeba maana. Ikitamkwa Dubai si waislamu ina maanisha ya kuwa; Dubai haifuati sheria za kiislamu.
Waalaykumu ssalaam warahmatullahi wabarakatuhAssalam aleykum kaka.
Nzuri aisee za kupoteana?Waalaykumu ssalaam warahmatullahi wabarakatuh
Vipi hali yako ndugu yangu?
Toka lini MASHIA wamekuwa WAISLAM?
View: https://x.com/khamenei_ir/status/1918946047637733407
Kama Habari inavosema kutoka ukurasa rasmi wa Ayatollah Kiongozi mkuu wa Iran, amehoji sababu za ulazima na msingi Watu waende Hijja.
Naona Watu wanahisi Ayatollah hakusema hayo.
Mjadala uliendelea na akakazia Hijja ni tukio la Siasa, tumieni akili
View: https://x.com/khamenei_ir/status/1918948829220536470?t=PeGBCa2HA0vBBYjDAoziDQ&s=19
Sasa mada kwenu Kobazi wa Mpimbwe na Maji matitu kujadili maoni ya mtu mbobevu wa Dini ya Mudi na anayewapa kiburi magaidi Duniani.
Mwisho kama Dini zingine Dini zote hukua na kubadilika na kuja mpya Iran inaubadili Uislam
Kama hawana umoja,ambao unasisitizwa kwa swala za kila siku(kupanga safu),swala ya ijumaa,hijjah..basi ni kweli havijawasaidia, huwezi ondoa siasa kwenye uislamAliuliza je "Hijja imewasaidia Nini Waislam?"
Hijja ni takwa la Hiari, Msingi wake mkubwa ni Siasa...
Tusameheane ndugu yangu, ishtighali kwa kiasi zimeniandama.Nzuri aisee za kupoteana?
Aisee mbona umetembea sana!?Tusameheane ndugu yangu, ishtighali kwa kiasi zimeniandama.
Nilikuwa Dodoma, kisha nikawa Morogoro, kisha nikarudi Dar, kisha nikaenda Singida, kisha nikaenda Njombe.
Himaya ya Ottoman ilikua ni ya kiislam na ilitawala kihaki pande zote.Waumini wa hii Dini ya Haki, wangekuwa peke yao wangechinjana hadi wote waishe:
Halafu wanataka kuiongoza Dunia nzima Eti ifuate Sharia Laws.
Salman Rushdie alisha sema kila kitu na hawataki hata kuongea nae ili wamwelimishe alipo kosea:
Rushdie yuko sahihi kwa 100% that it is a Satanic:
Naona Ayatollah akili imemrejea.Elimu yako ndogo sana , umeshindwa kuelewa intended meaning kwenye huo ujumbe na kurelate na yanayoendelea sasa.
Kweli kunyimwa akili ni umasikini mbaya na zaidi umeioamba habari kiudaku na wengine wasio elewa wanafuata mkumbo . Anyway hata akisema sio ajabu hivyo hao ni Mashia Wana kufuru kubwa sana na ni maadui wa Uislamu.