Ayatollah wa Iran apinga Hajj, kuwa ni suala la Kisiasa

Mnapotaka kuisilimisha Dunia iwe ya Kiislamu:
Mnataka wote tuwe Suni au Shia ?
Au Ahammadiya:
Mtueleze basi ili tujue na kujiandaa Kusilimu.
 
Himaya ya Ottoman ilikua ni ya kiislam na ilitawala kihaki pande zote.
Mbona huzungumzii dini yenu ilivyomwaga damu hadi za wenyewe kwa wenyewe kipindi cha Roman Catholic kwa vita za crusade!?
Mnapotaka kuisilimisha Dunia iwe ya Kiislamu:
Mnataka wote tuwe Suni au Shia ?
Au Ahammadiya:
Mtueleze basi ili tujue na kujiandaa Kusilimu.
Ili tuishi kwa amani kuanzia hapo
 
Aisee mbona umetembea sana!?
Njombe nilienda kuangalia kilimo cha maparachichi aina ya Hass ili kuangalia kufanya uwekezaji.

Dodoma kuna shamba linasimamiwa na brother wangu (la familia), kuna baadhi ya vitu vilikuwa vinawekwa sawa.

Morogoro kuna shamba la familia pia la heka 30. Lengo nilikuwa nataka nitanue na ufugaji wa ng'ombe na kuku.

Singida napo ni mambo ya biashara tu ndugu yangu.
 
Shida hufuatilii mambo na ndio umejua leo hilo ukaona ni mada kubwa mno

Anyway, Hilo jambo sio geni kwa mashia na mashia sio waislamu japo wanaonekana ni waislamu kwa wasiowajua.

Hata hivyo ni vema ukajua kuwa nao wana hijjah yao ambayo si makkah

La mwisho na kwa umuhimu, UISLAMU SI MAONI YA MTU BALI QUR'AN NA SUNNAH

HATA aseme nani haiwezi ikawa hoja kama haipo kwenye Quran na sunnah
 
Ukristo hauna lengo ya kuibatiza dunia ili iwe ya Kikristo:
Uislamu unahamu kubwa ya kuisilimisha dunia ili iwe ya Kiislamu:
Na sisi tusio na dini tunataka kuishi kwa amani tu:
Sasa Waislamu mtuambie;
Mnataka tuwe Sunni, Shia, Ahamadia au Alshababu ?
Ili kuanzia hapo tuishi kwa amani hasa sisi tusio na Dini:
 
je wewe unaujua uislamu kuliko Ayatollah?
Ndio upumbavu wenu huo kwenye ukristo

Huyo Ayatollah katika UISLAMU ni takataka tu

Ukiona watu wanasifia Iran ni ile kauli ya kuwa adui wa adui yako ni rafiki yako

Huyo mpumbavu ana makolokolo mengi kama wagalatia tu
 
Kaa usome utajua UISLAMU ni Quran na sunnah basi
 
Sema hizi dini bhana kwaiyo haji ni ya matajiri tu? Kwamba kwenye zile nguzo zipo zingine zinatumiwa na wenye uwezo tu
Huoni kama unaongea ujinga

Hata funga sio kwa watu wote

Huwezi kumlazimisha maskini aende hijjah

Halafu mafundisho hayasemi tajiri bali mwenye uwezo
 
Hakuna Shia anaeamini kuwa Ali mtume bali ni moja ya maimamu 12 kwa mujibu wa fiqh ya Shia Ithn-ashara.
 
Mnapotaka kuisilimisha Dunia iwe ya Kiislamu:
Mnataka wote tuwe Suni au Shia ?
Au Ahammadiya:
Mtueleze basi ili tujue na kujiandaa Kusilimu.
Ili tuishi kwa amani kuanzia hapo
Mbona unajivuruga!?
Armenia ilitawaliwa chini ya Ottoman Empire himaya ya kiislam ikiwa Armenia ni Jimbo la kikristo na likiwa na makanisa mengi.
Madai yako ya uongo kuwa uislam ulilazimisha ama unalazimisha watu kusilimu ni ya uongo.
Hata hiyo Istanbul ambayo ni Constantinople ya zamani ilipotwaliwa makanisa yaliachwa na wakristo waliabudu hadi leo.
Huwa hamkosi cha kuropoka ama kudanganya.
 
Wewe una ushahidi gani? Au unaandika kwa kuwa una bando ?

Saudia inategemea hela za hijjah?
 
Mi nimeukubali Uislamu:
Nieleze tu niwe Sunni, Shiay Ahamadiya, Kardian au Islamic State ?
Niwe uapnde gani ili nitulie ?
Ndio maana ninekuambia usome

UISLAMU umezungumzia makundi katika UISLAMU 73 na tukaambiwa tuwe wapi

Halafu hiyo unayouliza ni elimu pana sana ya kuyajua makundi kwenye UISLAMU na sababu zake na usahihi huko wapi

Fuata Quran na sunnah ndio mafundisho ya UISLAMU ( ahlusunnah)
 
Ni kweli kabisa, hajapinga Hajj, anachosema ni kuwa mbali na ibada, Hajj iwe platform ya kumobilize political affairs za Muslims na kuimarisha unity. Ila naona kumekuwa na misconception humu.
Sio misconception ni interpretation ya theological meaning ya Hajj.

Ayatollah anaona na Kuamini Msingi wa Hija ni Siasa (Ilianzishwa for the political reasons) kwa hiyo itumike kuwaunganisha Waislam wote Kisiasa na kijamii

Argument ya Ayatollah ni kuwa Waislam wengi hasa Wassuni wanapinga huu ukweli wa wazi kuwa Hijja ni tukio la Kisiasa badala yake anaona hijja ni kama kupoteza muda, imekuwa fashion na utapeli na hakuna faida yake akatoa mfano mateso wanayopitia Wasyria na Wayem wakati kila Mwaka Waislam wanaenda Mecca Kuhiji
 
Ndugu Beira Boy
Uliyemnukuu si mjuzi, na hata kama akiulizwa swali hatojibu kiukamilifu, na hata kama ikizungumzwa na kuandikwa kweli hatosadiki.

Salam/amani iwe juu yake pamoja nawe pia.
Amina ndugu yangu

Tunakutegemea kwa madini humu ndani

Unajua nimegundua waislam wa TANZANIA hawajui kabisa uislam

Mimi haya haya tu madini madogo madogo ninayoyaokota humu ndan, huwa nawafumba midomo kabisa huku mtaan wananiogopa vibaya mno

Nawambiag uislam naujua vizur sana wote wana kaa kimiya

Natoa madini ya wizi humu ndan, wote hoi hawajui chochote
 
Huyu ana akili na ni mkweli
 
Jua kuwa Mashia wana hijjah yao

Kwa hiyo hiyo sio hoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…