Azam hiki mlichokifanya kwa Fei Toto ndicho mlitakiwa mkifanye kabla na sio kutaka kupitia mlango wa nyuma

azam na fei karma itawatafuna
 
haiwezekani aondoke unavyodhani wewe yanga wamemuuza kwa azam japo kwa mkopo azam watalipa deni hilo kwa awamu 2 na tayari yanga wanachukua mtu azam ambae amekataa kuendelea huko azam
 
haiwezekani aondoke unavyodhani wewe yanga wamemuuza kwa azam japo kwa mkopo azam watalipa deni hilo kwa awamu 2 na tayari yanga wanachukua mtu azam ambae amekataa kuendelea huko azam
Feisal na siyo Yanga ndiyo ameshika mpini kwenye hili suala. Kesi ipo CAS, kesi ipo Ikulu, kuna majadiliano tena hapo?
 
Azam ya Mzanzibari, feitoto Mzanzibari na Samia Mzanzibari. Hakika hawa jamaa kwa kubebana hàtuwawezi
 
Una uhakika wameweka mpunga wowote? Waweke pesa yoyote ya maana wakati wanajua Yanga wamepewa shinikizo kulimaliza suala lake? Sanasana ambacho mnaweza kuwa mmeambulia ni ile ile milioni 100 mliyopewa mwanzo mkairudisha.
Hapo waongezee na ile 12 ya mishahara ya miezi mitatu ambayo ndio 112m azam inadaiwa walimpa fei ili akavunje mkataba.
Azam hawana akili ya kitoto kutoa hela zaid ya hiyo.
Wanajua kabisa kwa mzozo uliopo Fei toto hawezi kugharamikiwa zaidi 112m kwa hao yanga
 
Una uhakika wameweka mpunga wowote? Waweke pesa yoyote ya maana wakati wanajua Yanga wamepewa shinikizo kulimaliza suala lake? Sanasana ambacho mnaweza kuwa mmeambulia ni ile ile milioni 100 mliyopewa mwanzo mkairudisha.
Nilijua lazima uje ubishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…