Kwani kilipopanda from 18l to 20k ilikuwa awamu ipi!?
Ila inatubidi tukajazane kwenye vibanda umiza ama kwenye mabaa,mechi zenyewe za ligi zilizo muhimu ni chache sana,Hawana Akili, watakosa hela za Vifurushi na badala yake watu wataenda kwenye vibanda umiza na maisha yataenda.
Hawajafanya tafiti kabisa kwenye hili.
HapanaHivi hicho kifurushi Cha elf15 kinaonesha Azam sports yaani mechi za bongo??
Utahamia wapiAcha azingue tukianza kumuhama kwa speed ya 6G atashangaa
Hatulipii tunapiga tu localUtahamia wapi
Mimi siwezi kuhama huwa nalipia jero siku nikitaka kuangalia najua azam wao ni kama luku tuu unalipia kwa mudaAcha azingue tukianza kumuhama kwa speed ya 6G atashangaa
Ndugu mteja, kuanzia 01/04/2022, kuna mabadiliko ya bei kwa baadhi ya vifurushi; cha 20,000 kuwa 23,000; 13,000 kuwa 15,000; 4,000 kuwa 5,000: na 800 Kuwa 1000.
Vita ya Urusi na Ukraine inatuonyesha mambo.
Hawana Epl mkuuAisee mmeanza kulia kifurushi hadi cha 1000? Kweli azam mnakula bata sisi tunaolipa 91,000 dstv tuseme nini sasa[emoji28]
Mimi huwa nalipa jero tuu hii ya buku labda kunao matajiriAisee mmeanza kulia kifurushi hadi cha 1000? Kweli azam mnakula bata sisi tunaolipa 91,000 dstv tuseme nini sasa[emoji28]
Mwendo wa jero jero tuuMimi huwa nalipa jero tuu hii ya buku labda kunao matajiri
Mkuu umeongea kwa kukurupuka Sana. Hii monthly subscription na niendelevu, bado Kuna vitu vingine pia vinavyohitaji hela monthly. Sasa viweke vyote kwa pamoja, then utaijua nguvu ya 3000Ni ujinga mwanaume kulalamikia ongezeko la 3000 kwa mwezi
Mkuu uliona mbali, ha ha Yanaenda kutimia bhana tushafika 25,000Kwamba wakitoka 20 kwenda 30 watu watalia hivyo wanaisogeza polepole. Baada ya hapo 25. Mara 30 hii hapa