Azam mlichonga njia mbovu kumpata Feisal, sasa kibao kimewageukia muachieni pia Prince Dube akatafute maisha kwingine!

Azam mlichonga njia mbovu kumpata Feisal, sasa kibao kimewageukia muachieni pia Prince Dube akatafute maisha kwingine!

Mkuu, Fei alikuzwa na Yanga, bila platform ya Yanga huenda asingekuwa Fei anayetakwa. Lilikuwa ni suala jepesi tu, unataka kuondoka? Leta kiasi hichi kufidia thamani ya mkataba na thamani tuliyokupa kama mchezaji mpaka ukaonekana. Kama Azam walichofanya, Leta kiasi hichi, ONDOKA.
Lete kiasi fulani bila kukaa kikao? Wewe unazani Dube ana thamani ya 750k,si wanamkomoa tuu.
 
Hata Fei aliandika na kuweka hiyo pesa ambayo Yanga hawakuihitaji. Azam wameonyesha kuwa suala la Fei lilikuwa jambo jepesi, ni kumwambia cha kufanya ili avunje mkataba wake. Yanga wao walimwambia,

1. Timu inayokutaka ije.

2. Kubali mshahara mpya.

3. Malizia mkataba wako.

Katika hizi option, hakuna option ya yeye kuvunja mkataba wake.
Timu inayokutaka ije maanake ipo tayari kuvunja mkataba.
 
Ushabadilika wewe si ulisema kwenye comment zako za mwanzo Yanga hawa kutoa option?

Azam wapo wazi sababu baada ya mchezaji kuandika barua,wakamwita na kuongea nae maana kulikuwa na makubaliano.

Je Fei kwa nini hakukaa na Yanga? Mliona Fei kukaa kwao ni sawa,vip Dube nae arudi kwao agomee kucheza Azam?
Fei alijiamulia tu mwenyewe bei yake na kukaa nyumbani, husiongee sababu limetokea Yanga,alicho kifanya Fei ni uhuni, Dube Professionalism.

Kesho inaweza ikawa zamu yako, halafu maneno yako mwenyewe uliyo zungumza kwa Yanga yaka kuadhibu. Uache unafiki sema tuu nipo busy,ningeutafuta uzi ule wakipindi kile cha Fei.
Ndio. Yanga hawakutoa option ya Fei kuvunja mkataba wake kama Azam walivyotoa option.

Yanga wao walimwambia,

1. Timu inayokutaka ije.

2. Kubali mshahara mpya.

3. Malizia mkataba wako.

Katika hizi option, hakuna option ya yeye kuvunja mkataba wake.
 
Mkuu, Fei alikuzwa na Yanga, bila platform ya Yanga huenda asingekuwa Fei anayetakwa. Lilikuwa ni suala jepesi tu, unataka kuondoka? Leta kiasi hichi kufidia thamani ya mkataba na thamani tuliyokupa kama mchezaji mpaka ukaonekana. Kama Azam walichofanya, Leta kiasi hichi, ONDOKA.
Unarahisisha vitu visivyo rahisika.
Sasa Dube anataka kuondoka na pia hakuna atakae toa hzo 300,000USD. Wajulishe Azam na wao watafanyiwa uleule uhuni mpaka watakubali tu.
 
Ndio. Yanga hawakutoa option ya Fei kuvunja mkataba wake kama Azam walivyotoa option.

Yanga wao walimwambia,

1. Timu inayokutaka ije.

2. Kubali mshahara mpya.

3. Malizia mkataba wako.

Katika hizi option, hakuna option ya yeye kuvunja mkataba wake.
Wana haki ya kukataa kuvunja mkataba sababu hakuna mtu alilazimishwa Ku sign
 
Timu inayokutaka ije,maanake timu inayo mmiliki ipo tayari kuvunja mkataba.

Ulaya kwenyewe wakimuona mchezaji ana thamani hawatangazi dau,ila wanasema timu wanazomtaka waje,Declan Rice Chelsea, Liverpool na Arsenal wote walikuwa wanamtaka dau limeanza Pound 80m,ika 90m,ikaja 110m wakajitoa Chelsea na Liverpool akabaki Arsenal peke yake na ndio West Ham wakamwachia Rice.
 
Lete kiasi fulani bila kukaa kikao? Wewe unazani Dube ana thamani ya 750k,si wanamkomoa tuu.
Thamani ni ya mkataba boss siyo ya Dube. Aliyeshika mpini ni Azam sio Dube japo dube ana haki ya kuvunja mkataba wake kwa kufuata exit clause ya mkataba.

Yanga wao hawakutoa option ya Fei kuvunja mkataba wake, ni kama vile hakuwa na hiyo haki.

Wangesema ili uvunje mkataba leta kiasi fulani hapo jamii ingewaelewa sababu wao ndo wanammiliki mchezaji. Option za Yanga zilikuwa ni.
1. Timu inayokutaka ije.
2. Kubali mshahara mpya.
3. Rudi kambini Subiri mkataba uishe.
 
Wana haki ya kukataa kuvunja mkataba sababu hakuna mtu alilazimishwa Ku sign
Hiyo ni biashara ya utumwa. Hakuna mkataba usio na exit clause. Mkataba lazima uwe na exit cluse. Kwamba nikisaini sina namna yoyote ile ya kutoka? Mikataba gani hiyo? Watakataa kuvunja iwapo tu anayetaka kuvunja hajafuata masharti ya exit clause. Na hapo ndo msingi wa tatizo la Fei na Yanga.
 
Thamani ni ya mkataba boss siyo ya Dube. Aliyeshika mpini ni Azam sio Dube japo dube ana haki ya kuvunja mkataba wake kwa kufuata exit clause ya mkataba.

Yanga wao hawakutoa option ya Fei kuvunja mkataba wake, ni kama vile hakuwa na hiyo haki.

Wangesema ili uvunje mkataba leta kiasi fulani hapo jamii ingewaelewa sababu wao ndo wanammiliki mchezaji. Option za Yanga zilikuwa ni.
1. Timu inayokutaka ije.
2. Kubali mshahara mpya.
3. Rudi kambini Subiri mkataba uishe.
Timu inayokutaka ije,maanake timu inayo mmiliki ipo tayari kuvunja mkataba.

Ulaya kwenyewe wakimuona mchezaji ana thamani hawatangazi dau,ila wanasema timu wanazomtaka waje,Declan Rice Chelsea, Liverpool na Arsenal wote walikuwa wanamtaka dau limeanza Pound 80m,ika 90m,ikaja 110+m wakajitoa Chelsea na Liverpool akabaki Arsenal peke yake na ndio West Ham wakamwachia Rice.Njoo kwa Caisedo mpaka Madrid,Barca,Arsenal na Chelsea walikuwa wanamtaka Brighton hawa kutangaza dau,ila kila mtu anakuja na dau lake mmiliki anachekecha,hivyo hivyo kwa Mudrik.
 
Unarahisisha vitu visivyo rahisika.
Sasa Dube anataka kuondoka na pia hakuna atakae toa hzo 300,000USD. Wajulishe Azam na wao watafanyiwa uleule uhuni mpaka watakubali tu.
Kama mkataba unasema thamani ni dola hizo na hakuna atakayetoa Dube hana namna. Kashindwa yeye hajanyimwa kuvunja mkataba wake.
 
Yanga walikuwa wanasema anayemtaka aje mezani,hawampi avunje mkataba,na walikuwa wanafanya vile makusudi maana siyo kipindi cha usajili ili mtu aliyemwekea hela feisal akijitokeza wamshitaki,sasa nani atajitokeza kipindi hicho
Kwahiyo aliyeshindwa kujitokeza alikuwa anavunja taratibu?
Feisal alipewa option 3..!! Zote aliishia kuzijibu kwa ugali na sukari
 
Thamani ni ya mkataba boss siyo ya Dube. Aliyeshika mpini ni Azam sio Dube japo dube ana haki ya kuvunja mkataba wake kwa kufuata exit clause ya mkataba.

Yanga wao hawakutoa option ya Fei kuvunja mkataba wake, ni kama vile hakuwa na hiyo haki.

Wangesema ili uvunje mkataba leta kiasi fulani hapo jamii ingewaelewa sababu wao ndo wanammiliki mchezaji. Option za Yanga zilikuwa ni.
1. Timu inayokutaka ije.
2. Kubali mshahara mpya.
3. Rudi kambini Subiri mkataba uishe.
Ila si tulikuwa hatujashika mpini?.
Kila mchezaji anahaki ya kuvunja mkataba ila cha muhimu taratibu zifuatwe.

Wewe alicho kifanya Fei na alicho kifanya Dube,kipi unakiona kimefuata utaratibu wa kimpira (Professionalism)?
 
expand...Timu inayokutaka ije,maanake timu inayo mmiliki ipo tayari kuvunja mkataba.
Timu inaweza mfata mchezaji au mmiliki wa mchezaji. Ikiamua kumfata mchezaji basi ijiandae kumpa fedha ambazo mmiliki wake atazitaka ili mkataba uvunjike, Azam wameonyesha inavyopaswa kuwa.
Ulaya kwenyewe wakimuona mchezaji ana thamani hawatangazi dau,ila wanasema timu wanazomtaka waje,Declan Rice Chelsea, Liverpool na Arsenal wote walikuwa wanamtaka dau limeanza Pound 80m,ika 90m,ikaja 110m wakajitoa Chelsea na Liverpool akabaki Arsenal peke yake na ndio West Ham wakamwachia Rice.Njoo kwa Caisedo mpaka Madrid,Barca,Arsenal na Chelsea walikuwa wanamtaka Brighton hawa kutangaza dau,ila kila mtu anakuja na dau lake mmiliki anachekecha,hivyo hivyo kwa Mudrik.
Ulaya wachezaji wanaruhusiwa kuvunja mikataba yao.
 
Timu inaweza mfata mchezaji au mmiliki wa mchezaji. Ikiamua kumfata mchezaji basi ijiandae kumpa fedha ambazo mmiliki wake atazitaka ili mkataba uvunjike, Azam wameonyesha inavyopaswa kuwa.

Ulaya wachezaji wanaruhusiwa kuvunja mikataba yao.
Mchezaji yoyote duniani anaruhusiwa kuvunja mkataba ila kwa kufuata taratibu,sio yy kujiamilia.Caisedo Arsena na Chelsea walikuwa wanamtaka tokea dirisha dogo, mchezaji hakususa wala ni alifuata taratibu zote za club yake ya Brighton.

Kwa ulaya timu ikimfuata mchezaji bila kuanzia kwenye club yake,ukifanyika uchunguzi mchezaji na hiyo timu inayomtaka wote wanapewa adhabu.
 
Ila si tulikuwa hatujashika mpini.Kila mchezaji anahaki ya kuvunja mkataba ila cha muhimu taratibu zifuatwe.

Wewe alicho kifanya Fei na alicho kifanya Dube,kipi unakiona kimefuata utaratibu wa kimpira (Professionalism)?
1. Fei na Dube wote maboss zao ni vilabu vyao. Walisaini mikataba na vilabu vyao. Wanamilikiwa na vilabu vyao.

2. Fei na Dube wote wana haki ya kuvunja mikataba yao wenyewe bila kutakwa na vilabu vingine vya mpira.

3. Fei na Dube wote wanapaswa kufuata masharti ya exit clause ili waweze kuvunja mikataba yao.

Sasa, Azam wao wameweka wazi ili uondoke lipa kiasi hichi. (HII NI OPTION KWA MCHEZAJI KUVUNJA MKATABA WAKE MWENYEWE)

Yanga wao walichofanya ni kumpa option 3.
Ya kwanza Timu inayomtaka ije.(Hii option haimpi mchezaji haki ya kuvunja mkataba wake mwenyewe)

Ya pili akubali mshahara mpya(Hii ni option ya kumbakisha sehemu ambapo hapataki)

Ya tatu amalizie mkataba wake( Hii option haimpi haki ya kuvunja mkataba wake)

Embu niambie boss, tusipoelewana ni wapi?
 
1. Fei na Dube wote maboss zao ni vilabu vyao. Walisaini mikataba na vilabu vyao. Wanamilikiwa na vilabu vyao.

2. Fei na Dube wote wana haki ya kuvunja mikataba yao wenyewe bila kutakwa na vilabu vingine vya mpira.

3. Fei na Dube wote wanapaswa kufiata masharti ya exit clause ili waweze kuvunja mikataba yao.

Sasa, Azam wao wameweka wazi ili uondoke lipa kiasi hichi. (HII NI OPTION KWA MCHEZAJI KUVUNJA MKATABA WAKE)

Yanga wao walichofanya ni kumpa option 3.
Ya kwanza Timu inayomtaka ije.(Hii option haimpi mchezaji haki ya kuvunja mkataba wake mwenyewe)

Ya pili akubali mshahara mpya(Hii ni option ya kumbakisha sehemu ambapo hapataki)

Ya tatu amalizie mkataba wake( Hii option haimpi haki ya kuvunja mkataba wake)
Mbona swali umeliruka.

Wewe alicho kifanya Fei na alicho kifanya Dube,kipi unakiona kimefuata utaratibu wa kimpira (Professionalism)? (Tuachane na unazi tuzungumze professionalism).

Sasa naweka vipi option ya wazi ya kiasi cha fedha bila kufanya kikao na mchezaji kwani mkataba ulisaniwa na pande mbili,hata kuvunjwa inatakiwa iwe hivyo hivyo.
 
Unarahisisha vitu visivyo rahisika.
Sasa Dube anataka kuondoka na pia hakuna atakae toa hzo 300,000USD. Wajulishe Azam na wao watafanyiwa uleule uhuni mpaka watakubali tu.
Mzee, dube hana mama kizimkaz wa kumtetea, unadhani bila samia Fei angecheza Azam? Dube ajiandae kukaa kwenye bench au kulipa 750M
 
Mbona swali umeliruka.

Wewe alicho kifanya Fei na alicho kifanya Dube,kipi unakiona kimefuata utaratibu wa kimpira (Professionalism)? (Tuachane na unazi).
Sijaruka swali. Fei kukosea taratibu sio kesi maana ukikosea si unaadhibiwa halafu unapewa njia sahihi? Sasa Alikosea, alipewa miongozo ipi ili aweze kuondoka? Azam wametoa mwongozo wazi, kuwa ili uondoke LETA FEDHA DUBE, TUNATAKA FEDHA.
Sasa naweka vipi option ya wazi ya kiasi cha fedha bila kufanya kikao na mchezaji kwani mkataba ulisaniwa na pande mbili,hata kuvunjwa inatakiwa iwe hivyo hivyo.
Unaona Azam imeweka wazi inachokata? Huo ndo ulikuwa wajibu wa Yanga hata kama Fei ni mtukutu. Unasema tu, Fei hataki kukaa mezani na hayupo kambini sasa kama anataka kuondoka tunataka pesa ndo aondoke au tunamshtaki. Watu wangemgeukia Fei wangemwambia lipa pesa za watu acha utapeli.
 
Hiyo ni biashara ya utumwa. Hakuna mkataba usio na exit clause. Mkataba lazima uwe na exit cluse. Kwamba nikisaini sina namna yoyote ile ya kutoka? Mikataba gani hiyo? Watakataa kuvunja iwapo tu anayetaka kuvunja hajafuata masharti ya exit clause. Na hapo ndo msingi wa tatizo la Fei na Yanga.
Yaani kwa kauli hii, kuna uwezekano team nzima ikavunja mkataba kwa sababu wachezaji wana haki ya kuvunja mkataba muda wowote wanaojisikia, mpira hauko hivyo ndugu.... umesajili kikosi chako cha msimu na huna haki ya kuongeza mpaka dirisha la usajiri afu wachezaji 13 waamue kuvunja mkataba katikati ya msimu unafikri hiki kitu kinaiweka team katika hali gani?

Kilichofanyika kwa Fei ni uhuni, na Yanga hawakutaka uhuni uendelee wakaamua kumng'ang'ania(kusimamia mkataba kuwa ni mchezaji wao halali)...
 
Back
Top Bottom