joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Lete kiasi fulani bila kukaa kikao? Wewe unazani Dube ana thamani ya 750k,si wanamkomoa tuu.Mkuu, Fei alikuzwa na Yanga, bila platform ya Yanga huenda asingekuwa Fei anayetakwa. Lilikuwa ni suala jepesi tu, unataka kuondoka? Leta kiasi hichi kufidia thamani ya mkataba na thamani tuliyokupa kama mchezaji mpaka ukaonekana. Kama Azam walichofanya, Leta kiasi hichi, ONDOKA.