Mkuu mambo ni mepesi, usijitwishe mzigo kwa kuyatengenezea scenario.
Kwanza anayetaka kuvunja mkataba ni Dube, sasa usilete scenario ya timu inayomtaka, ongelea kuhusu yeye kushindwa kulipa hiyo pesa maana yeye ndo kaomba kuvunja mkataba.
Pili, kwa sababu keshapewa dau la kuvunja mkataba wake yeye anatakiwa alipe pesa au aseme hicho kiwango ni kikubwa na sababu aziseme.
Mwisho, akishindwa atashtaki ili hilo jambo litatuliwe na kama kuna fidia basi wakulipwa alipwe.
Hapana. Wewe una mapenzi na Yanga. Umeshindwa kuwa huru kufikiri nje ya mapenzi yako kwa Yanga.