Azam mlichonga njia mbovu kumpata Feisal, sasa kibao kimewageukia muachieni pia Prince Dube akatafute maisha kwingine!

Kuna sehemu nimepingwa mkataba kuvunjwa?

Je taratibu na kanuni za usajili zilifuatwa kwa mchezaji (Fei) aliyetaka kuvunja mkataba ?
Taratibu zipi? Azam imesema wazi nini kifanyike.
Je umeona utofauti wa Fei na Dube wa approach yao ya kutaka mkataba uvunjwe,WEWE UMEGUNDUA NINI ktk hii miwili hasa upande wa uweledi?
Unarudi kule kule. Dube kaandika barua kajibiwa. Fei aliandika barua kaweka na fedha kaambiwa huo si utaratibu, suala hapo lilikuwa ni kuambiwa wazi wazi la kufanya kama Azam walivyofanya.
Narudia tena mchezaji yoyote anaweza kuvunja mkataba as long sheria na kanuni zifuatwe,kama mkataba ulisainiwa na pande mbili basi hata kuvunjwa utavunjwa na pande mbil.
Kwani hata barua unapotumiwa ya kuvunja mkataba si ni pande mbili?
 
Taratibu zipi? Azam imesema wazi nini kifanyike.

Unarudi kule kule. Dube kaandika barua kajibiwa. Fei aliandika barua kaweka na fedha kaambiwa huo si utaratibu, suala hapo lilikuwa ni kuambiwa wazi wazi la kufanya kama Azam walivyofanya.

Kwani hata barua unapotumiwa ya kuvunja mkataba si ni pande mbili?
Sasa mbona Yanga walikuwa wazi,tatizo ww wazi yako unataka iwe sawa na Azam.

Ila approach aliyo itumia Yanga ilikuwa sahihi sababu hakuvunja kanuni yoyote ile.

Mbona unakuwa biased.
 
Hili mtoa mada alishajibu ngoja aje aleze mwenyewe maana una kichwa kigumu
 
  • Kicheko
Reactions: Tsh
Inakikumbuka hiki ulicho kiandika.

"Hata hivyo tunafurahi aliingilia sababu viongozi wa Yanga wangemnyoosha yule kijana."
KABISA. Yaani wangemnyoosha sababu nguvu wanayo ya kumnyoosha.
Hii statement kwako si ina maana Yanga hakuwa na haki kwa Fei ndio maana ulifurahi.
Yanga hawakusema wanataka nini kwa Fei. Hawakuwa wazi, wanataka nini? Mchezaji hajafata taratibu so? Nini mnataka kwake? Fidia? Kiasi gani? Hiyo ni Alert kuwa nia ilikuwa ni kumnyoosha na si maslahi ya Club.
Mbona option alipewa yy hakufuata sababu ya watu waliokuwa wakimpa kiburi.Ndio maana nika kuuliza tena kwa Dube vipi yy akamua tu kama alivyo amua Fei akae kwao,hasicheze je utafurahi kama ulivyo furahi kwa Fei,maana Azam lazima wamnyooshe.
Option ipi alipewa? Embu iseme? Usilete siasa. Sema option kama Azam walivyotoa option straight.
 
Hayo yote yanakuwepo kwenye mkataba, ukitaka kuondoka unalipa hiki
Usikalili mkataba ni dynamic na hamna aliye uona mkataba wa Sawadogo na mikaaba yote lazima pande zote zihusike.
 
Wewe unayesema lazima pande mbili zihusike sio lazima, na sheria za FIFA hiyo unilateral contract termination ipo kama unabisha google nadhani sitobishana tena na hili swala na wewe nimekulekeza na kukuelekeza.
 
KABISA. Yaani wangemnyoosha sababu nguvu wanayo ya kumnyoosha.

Yanga hawakusema wanataka nini kwa Fei. Hawakuwa wazi, wanataka nini? Mchezaji hajafata taratibu so? Nini mnataka kwake? Fidia? Kiasi gani? Hiyo ni Alert kuwa nia ilikuwa ni kumnyoosha na si maslahi ya Club.

Option ipi alipewa? Embu iseme? Usilete siasa. Sema option kama Azam walivyotoa option straight.
Yanga walikuwa wazi ndio style iliyotumika kwa Brighton kwa Caisedo,hiyo hiyo West Ham kwa Rice,Yanga hakuvunja taratibu aliweka milango wazi kwa timu zinazo mtaka.Timu zenyewe hazijaja,vp ulitaka Yanga afanye nini?

Okay mfano Dube anataka kuvunja mkataba,lile dau lake itokee hamna timu itakayo ifikia na yy anataka kuvunja mkataba,kwa ushauri wako wakifikia stage hiyo (na wataifikia) Je Azam wafanye nini?

Tatizo lako unataka wazi yako ya Azam iwe sawa na Yanga ndio unaona sahihi.
 
Wewe unayesema lazima pande mbili zihusike sio lazima, na sheria za FIFA hiyo unilateral contract termination ipo kama unabisha google nadhani sitobishana tena na hili swala na wewe nimekulekeza na kukuelekeza.
Wewe unayesema unaweza kuvunja mkataba ukijisikia,mimi ndio na isikia kwako kwenye mpira.
 
Yanga walikuwa wazi ndio style iliyotumika kwa Brighton kwa Caisedo,hiyo hiyo West Ham kwa Rice,Yanga hakuvunja taratibu aliweka milango wazi kwa timu zinazo mtaka.Timu zenyewe hazijaja,vp ulitaka Yanga afanye nini?

Okay mfano Dube anataka kuvunja mkataba,lile dau lake itokee hamna timu aitakayo ifikia na yy anataka kuvunja mkataba,kwa ushauri wako wakifikia stage hiyo (na wataifikia) Je Azam wafanye nini?

Tatizo lako unataka wazi yako ya Azam iwe sawa na Yanga ndio unaona sahihi.
Unilateral contract termination, hata yeye analipa pesa basi swala linaisha.

Kwa kesi ya Feisal yeye alisema hamna timu inayomtaka na hakuna timu nyuma yake, yeye anavunja yeye kama yeye.
 
Wewe unayesema unaweza kuvunja mkataba ukijisikia,mimi ndio na isikia kwako kwenye mpira.
Nenda kagoogle kuhusu unilateral contract termination kwa player wa football au soma FIFA regulations on the status and transfer of players article 17 na ina consequences zake.

Kwani kazi ni utumwa ?
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Yanga walikuwa wazi ndio style iliyotumika kwa Brighton kwa Caisedo,hiyo hiyo West Ham kwa Rice,Yanga hakuvunja taratibu aliweka milango wazi kwa timu zinazo mtaka.Timu zenyewe hazijaja,vp ulitaka Yanga afanye nini?

Okay mfano Dube anataka kuvunja mkataba,lile dau lake itokee hamna timu itakayo ifikia na yy anataka kuvunja mkataba,kwa ushauri wako wakifikia stage hiyo (na wataifikia) Je Azam wafanye nini?
Mkuu mambo ni mepesi, usijitwishe mzigo kwa kuyatengenezea scenario.

Kwanza anayetaka kuvunja mkataba ni Dube, sasa usilete scenario ya timu inayomtaka, ongelea kuhusu yeye kushindwa kulipa hiyo pesa maana yeye ndo kaomba kuvunja mkataba.

Pili, kwa sababu keshapewa dau la kuvunja mkataba wake yeye anatakiwa alipe pesa au aseme hicho kiwango ni kikubwa na sababu aziseme.

Mwisho, akishindwa atashtaki ili hilo jambo litatuliwe na kama kuna fidia basi wakulipwa alipwe.
Tatizo lako unataka wazi yako ya Azam iwe sawa na Yanga ndio unaona sahihi.
Hapana. Wewe una mapenzi na Yanga. Umeshindwa kuwa huru kufikiri nje ya mapenzi yako kwa Yanga.
 
Unilateral contract termination, hata yeye analipa pesa basi swala linaisha.

Kwa kesi ya Feisal yeye alisema hamna timu inayomtaka na hakuna timu nyuma yake, yeye anavunja yeye kama yeye.
Hana uwezo wa kulipa hela hiyo 750m na hataki kucheza kasusa, Azam afanye nini?

Hamna kitu cha yy kama yy ,maana waliingia mkataba pande mbili utavunjwa na pande mbili au kipindi kile cha TFF hiyo Unilateral wanasheria wa TFF hawa kuliona?
 
Kama huna pesa unarudi kutumika club yako, unataka kusepa lipa.

Sasa wewe unatumia hisia kuliko facts nimekuelekeza nenda google katazame hiyo unilateral contract termination
 
Mkuu mambo ni mepesi, usijitwishe mzigo kwa kuyatengenezea scenario.

Kwanza anayetaka kuvunja mkataba ni Dube, sasa usilete scenario ya timu inayomtaka, ongelea kuhusu yeye kushindwa kulipa hiyo pesa maana yeye ndo kaomba kuvunja mkataba.

Pili, kwa sababu keshapewa dau la kuvunja mkataba wake yeye anatakiwa alipe pesa au aseme hicho kiwango ni kikubwa na sababu aziseme.

Mwisho, akishindwa atashtaki ili hilo jambo litatuliwe na kama kuna fidia basi wakulipwa alipwe.

Hapana. Wewe una mapenzi na Yanga. Umeshindwa kuwa huru kufikiri nje ya mapenzi yako kwa Yanga.
Kwani ulijua kama Fei atasusa kucheza Yanga,si ilitokea tu na ndio maana nikasema kama ikitokea Dude kasusa....... sababu niliona ilitokea kwa Fei.

Wewe upo biased ndicho ninacho bishana na ww. Sababu unacho kiapply kwa Yanga kwa the same scenario hutaki kukiapply kwa Azam sabau wewe kwa unazi wako wa unaona Yanga alikuwa hana haki na ndio maana na kushangaa.
 
Kama huna pesa unarudi kutumika club yako, unataka kusepa lipa.

Sasa wewe unatumia hisia kuliko facts nimekuelekeza nenda google katazame hiyo unilateral contract termination
Sawa kashindwa kulipa na hataki kucheza,Azam wafanye nini?

Fact zipi kesi ya Fei ili amuliwa mara tatu,ina maana hao wana sheria wa TFF hawakuona hiyo fact ya Unilateral agreement. Siongei kwa hisia naongea kwa reference, so ina maana hawa kuliona hilo wanasheria wa TFF.
 
Hana uwezo wa kulipa hela hiyo 750m na hataki kucheza kasusa, Azam afanye nini?
Azam anamshtaki. Yeye bado ni mchezaji wa Azam mpaka atakapolipa hiyo pesa au kama atapunguziwa. Hapa suala ni uwazi wa kinachohitajika kufanyika. Azam wameshamaliza upande wao. Sasa kazi kwa Dube.
Hamna kitu cha yy kama yy ,maana waliingia mkataba pande mbili utavunjwa na pande mbili au kipindi kile cha TFF hiyo Unilateral wanasheria wa TFF hawa kuliona?
Yeye anavunja mkataba akitaka. Atimize matakwa tu ya Exit clause. Azam ishaweka wazi kuwa according to wao Exit clause ni M750, kama anaona haipo sawa anapaswa kusema wakishindwana then wanashtakiana.
 
Sawa kashindwa kulipa na hataki kucheza,Azam wafanye nini?

Fact zipi kesi ya Fei ili amuliwa mara tatu,ina maana hao wana sheria wa TFF hawakuona hiyo fact ya Unilateral agreement. Siongei kwa hisia naongea kwa reference, so ina maana hawa kuliona hilo wanasheria wa TFF.
Rejea #42 nimeeleza hii
 
Back
Top Bottom