Basi kuna baadhi zinafanyika back yard. We sikiliza sauti za voice over artist iwe azam dstv, mambo moto yani sauti ni zile zile hata kwenye nguzu.Sio kweli Azam wana studio yao palepale Tabata hivi hamfuatilii makala zao za dubbing mboni wana vipindi hivyo hua wanaonyesha behind nini kinachofanyika
Jamaa alinipa bei ya kufanya voice over, sound director 300000 kwa saa, sio, studio session kwa saa sijui alisema 150000, bado sijamlipa artist... Nikajua nimepatana vibaya aisee. Nikawambia waturuki hii kazi naona mpelekee mtu mwingine.