zerominus10
JF-Expert Member
- Aug 25, 2022
- 8,142
- 13,721
Ungeangalia makala ya startimes wakionyesha jinsi watanzania wanavyofanya dubbing kule China ingekusaidia sana ila kwa kufupisha ni wanasoma Script wanaandikiwa wao ni kucheza na mdomo tu hakuna cha kujua lugha walioenda China hata kiChina hawajui dubbing ni sanaa ukitaka kufanya dubbing inabidi ujue kuigiza sautinakataa kuamini dubbing inafanywa kwa kuangalia subtitles
inabidi dubber ajue lugha husika
mfano sentensi ya kiingereza "head in the clouds" ukiitafsiri kama ilivyo mtazamaji atapoteza maana kwasababu huo ni msemo unaomaanisha mtu kapoteza umakini
kuna mafunzo fulani inabidi upitie